Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

picha ya nini nyie wehu january kashasema amepewa ela na dada yake kuna ubaya gani..nendeni mkamdai dada yake hizo pesa kama mns uchungu san na hizo ela za huyo mzungu koko

Sisi wehu lakini ngojeni information zaidi zinakuja, mkubali this time Mange amewashika pabaya na mkijitekenya anaongeza maumivu.
 
January seems like a good guy...sema ndo hivyo you can resist everything but not temptation..let me see how he recovers..maana najua ameshinda JF kufuatilia thread zinazo muhusu...good luck
Duh! Kupenda huku. "Seems like a good guy" And who's a bad guy?
 
Back
Top Bottom