Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Absolutely, dogo alivimba kichwa na kuanza kuongea upuuzi ila kwa sasa Political carrier yake imesha oza hana pa kujishikiza tena. He is finished.
Uzuri anajua serikali ya Magufuli haibebi mtu hata awe na wadhifa gani. Meenzenu nasubiri press release tu hapa nothing else
 
Ha ha ha ha ha . Umewapatia
Sasa January yupo na Ruge wamejichimbia sehemu na Utitiri wa waganga wa kienyeji wanapanga jinsi ya kupangua mawe na kumkomoa mange na umoja wa Vijana unasukiwa Zengwe pia , Makamba baba Yao na yeye yupo busy na Ndumba hii ni Hatari wameamua kukomaa na nguvu za giza wakidhani watakwepa hilo JIPU .
ha
 
Nimefuatilia kidogo hili swala la makamba naona kama watu wanavuana nguo za ndani,

Sina cha kuongezea but ni chafu sana tena sana,
Huyu dada nilikuwa nampenda sana nimekumbuka wimbo wa power of a woman.
Hii hata isitoke kwenye magazeti ibakie hukohuko instagram.
weka mbali na watoto.

I am singing "All is falling down".[/QUOTE
Ndio ishatoka....!! Na wana jitahidi kutumia mawakala kujisafisha lakini sijui....!!!
 
nia inaweza kua nzuri ila naona kama kuna beef flani hivi na kuna mtu anatumika katika vita..
 
January majuzi kasema serikali ya JK ilikuwa ya kuleana ....ni dhahiri January anajaribu kujiweka karibu na JPM akijua akina JK hawana lao tena ....lakini anasahau JK alikuwa amri jeshi na pengine hata huyo January kalelewa sana tu na rekodi zipo ....pengine amri jeshi mkuu mstaafu anawakumbusha hawa vijana kuwa alikuwa amri jeshi na taarifa zao alikuwa anazipata ila akawalea ....wasimtusi sasa ....[emoji35] [emoji35] [emoji35]

there you are
 
..............??
 
Attachments

  • 1457287595124.jpg
    1457287595124.jpg
    55.5 KB · Views: 54
  • 1457287607979.jpg
    1457287607979.jpg
    74.3 KB · Views: 46
  • 1457287622340.jpg
    1457287622340.jpg
    68.2 KB · Views: 49
Nnimegundua chuki za watanzania ni kwa sababu ya visasi tu....eti walimtukana el...who is el by the way...yaan tuhuma ni kwa sababu ya reference fulani...mwishowe ukawa huyoooi...
 
Nnimegundua chuki za watanzania ni kwa sababu ya visasi tu....eti walimtukana el...who is el by the way...yaan tuhuma ni kwa sababu ya reference fulani...mwishowe ukawa huyoooi...

Wengine wala hatusapoti CHADEMA wala EL lakini tunapenda maadili ya uongozi yazingatiwe. Usifikiri ni wote wenye njaa na uchu wa madaraka hata kuiba kura na kutumia influence zao kuvuna pesa.
 
Wengine wala hatusapoti CHADEMA wala EL lakini tunapenda maadili ya uongozi yazingatiwe. Usifikiri ni wote wenye njaa na uchu wa madaraka hata kuiba kura na kutumia influence zao kuvuna pesa.
lowasa ana maadili ya uongozi?
 
Katika masaa 48 yaliopita account ya instagram ya mange kimambi wameongezeka followers 12800+
 
Inawezekana lakini ninavyomjua JK na Yusuph Makamba
sidhani JK anaweza kutoa order kijana 'amalizwe'
nna uhakika JK angeongea na Yusuph Makamba kijana akaomba msamaha..

wasiwasi wangu ni kuwa kuna 'watu walikuwa wanamtafutia timing'
kwa hiyo wameona nafasi sasa....

Kijana anasifika kwa 'kujiona wa maana sana'
wanaita 'entitlement feelings'...

Hawa maadui wake walijikusanya siku nyingi
only now ndo wanamu attack...

kuna kitu still hatukijui

So it's very possible that this whole thing is just a political hit job.

And that there is actually no there there but they [whoever they are] just want to cut him down to size and shake him up a little bit [possibly to warn him so he keeps his mouth shut]?

For some reason I'm starting to get the feeling that the 'scandal' is losing some steam already.
 
Hakuna aliyekamilika, kitendo cha yeye kufikia ngazi ya uwaziri c kitu chakubeza. Mwisho wa siku kila mtu anamtazamo wake. Naheshimu mawazo yako.

Sent from my SM-J100FN using JamiiForums mobile app
Umeshaambiwa kuwa historia yake tokea mwanzoni sio nzuri na tunataka viongozi WAADILIFU,sasa unaposema ni kijana anayefaa kuigwa...Tuambie anafaa kuigwa kwa lipi?

Kuwa Waziri sio tatizo ila swali ni kwamba KAUPATAJE HUO UWAZIRI?
 
Aweke more evidences na amtaje huyo aliyemwambia kuhusu uchafu wa makamba. Sio kuchafuana bali haki itendeke.

Amtaje tena aliyemwambia ili iweje wamsute? Swala Makamba ajitathmini mwenyewe kama sikweli akane hizo evidence
 
Back
Top Bottom