Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,680
8,868
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.

Jaribu kupitia..

(Mazungumzo ya Sauti yameambatanishwa)

005b63a5fa8710a5ceac0c39f51af7d0.jpg
 

Attachments

  • @mangekimambi_ • Instagram photos and videos-1.mp4
    221.1 KB · Views: 354
  • @mangekimambi_ • Instagram photos and videos-3.mp4
    144.8 KB · Views: 267
  • @mangekimambi_ • Instagram photos and videos-2.mp4
    144.8 KB · Views: 237
  • @mangekimambi_ • Instagram photos and videos-4.mp4
    144.5 KB · Views: 228
  • @mangekimambi_ • Instagram photos and videos-5.mp4
    144.5 KB · Views: 213
  • @mangekimambi_ • Instagram photos and videos-6.mp4
    144.8 KB · Views: 209
  • @mangekimambi_ • Instagram photos and videos-7.mp4
    221.1 KB · Views: 219
  • @mangekimambi_ • Instagram photos and videos-8.mp4
    215.2 KB · Views: 235
mpaka sasa mwanadada mange kule mtandao wa insta anapost clip na picha mbalimbali za ushahidi wa jinsi mwanadada mwamvita anavyotafuta watu wenye pesa na kuwaunga na kaka ake watoe hongo wapate dili serikalini. kuna muitaliano anadai usd 1million baada ya kuahidiwa dili la kujenga bandari ya bagamoyo
picha na sauti nashindwa upload
 
sio kama aliishikia dede akijua itamchunga? tusubirie jipu hili sasa.

Yaani ni hatari kwa kweli,kumbe Makamba ni mla RUshwa,ANGEKUWA RAIS JE?Makamba angeongoza hii nchi kwa remote Mwamvita
January alijua atakua Rais so alijiandaa kitambo ili mitandao isimwanike na alifanikiwa, ila nazan pia kuna bifu kati ya mange na mwamvita. Kuna bosi wangu flan aliniambia mtu akija kumsemea flan cha kwanza chunguza uhusiano wao huyo msemaji na msemewa
 
Back
Top Bottom