Daata
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 4,762
- 2,069
Aliyoyapanda sasa yamekua yanatoa matunda. Ndip haya.mnajaribu kumuhusisha january na upuuzi wenu lakini mmegonga mwamba...
Aliyoyapanda sasa yamekua yanatoa matunda. Ndip haya.mnajaribu kumuhusisha january na upuuzi wenu lakini mmegonga mwamba...
Siyo akamatwe kwa kumsingizia mkuu wa mitandao???mange ni mgonjwa wa akili anajulikana..hatua anayotakiwa kuchukuliwa ni kupelekwa mirembe akatibiwe
Niliwahi kusema humu mwaka jana CCM ukimwondoa Mwigulu wengine wote wameoza, licha ya kufahamu Mwigulu yuko na potential yet nlienda kwa Lowassa, sikuwahi kumwamini kabisa kipara.January alifisadi ela za kampeni na mwenzake mwigulu. Hivyo kudhulumiana kwao kuna pelekea hayo
Sasa hapa upo wapi pumba weweee.... Hujui leo ni jumapili?nendeni mpeleke ushahidi mahakamani mlivyo wapumbavu mnakuja huku kwenye mitandao haiwasaidii chochote mtabaki tu na chuki zenu za kipumbavu...
Hawako smart kihivyo zaidi ya usanii. Ila kwa hili la umeya ni kama wana poteza muda tu. Hakuna miujiza CDM ni haki yao na haitapoteaNa mmeshama na hivi karibuni uchaguzi wa meya unaitishwa,utaona kitalachotokea ccm wapo smart sana kwenye mind game za kibogo.
January majuzi kasema serikali ya JK ilikuwa ya kuleana ....ni dhahiri January anajaribu kujiweka karibu na JPM akijua akina JK hawana lao tena ....lakini anasahau JK alikuwa amri jeshi na pengine hata huyo January kalelewa sana tu na rekodi zipo ....pengine amri jeshi mkuu mstaafu anawakumbusha hawa vijana kuwa alikuwa amri jeshi na taarifa zao alikuwa anazipata ila akawalea ....wasimtusi sasa ....[emoji35] [emoji35] [emoji35]January hapambani na Mange
Mange ametumika tu
January anapambana na watu very powerful...
Swali hapa hao watu ni kina nani?
na hao watu January amewakosea nini?
"Serikali ya awamu ya nne ilijaa kubebana" .January hapambani na Mange
Mange ametumika tu
January anapambana na watu very powerful...
Swali hapa hao watu ni kina nani?
na hao watu January amewakosea nini?
"Serikali ya awamu ya nne ilijaa kubebana" .
Ungekua wewe ndiye aliyeongoza hiyo serikali unge react vipi na ukijua dhahiri anayekubeza ndiye alikua mnufaika mkubwa na alishaiingiza serikali yako kwenye matatizo kadhaa huku wananchi wakimkataa lakini ulikaza misuli na kmlkumbatia huku ukimiweka mfukoni na kumuingiza Tano bora uki risk kwa kumkata aliyekufikisha hapo pia kwa kuwakata katika hatua za maadili watu kama akina Mwandosya, waziri mkuu , na makamu wako Wa rais.
Na hapo ni trella tu, lazima wamchemshe na kumnywa supu huyu.
Kana siasa za kimalaya sana haka.
January katakana wackiness wake majuzi, unafikiri walifurahia ilhali wao ndo walimfikisha aliko?January hapambani na Mange
Mange ametumika tu
January anapambana na watu very powerful...
Swali hapa hao watu ni kina nani?
na hao watu January amewakosea nini?
January alitukana wakubwa walomfikisha aliko unafikiri walifurahiJanuary hapambani na Mange
Mange ametumika tu
January anapambana na watu very powerful...
Swali hapa hao watu ni kina nani?
na hao watu January amewakosea nini?
Mkuu najua Baba ke mgosi, je bald man mamake ake mhaya?
Swali muhimu ni wanaofanya hivyo ni kwa faida ya nani???...Mlengwa ni Makamba au entire gov??Inawezekana lakini ninavyomjua JK na Yusuph Makamba
sidhani JK anaweza kutoa order kijana 'amalizwe'
nna uhakika JK angeongea na Yusuph Makamba kijana akaomba msamaha..
wasiwasi wangu ni kuwa kuna 'watu walikuwa wanamtafutia timing'
kwa hiyo wameona nafasi sasa....
Kijana anasifika kwa 'kujiona wa maana sana'
wanaita 'entitlement feelings'...
Hawa maadui wake walijikusanya siku nyingi
only now ndo wanamu attack...
kuna kitu still hatukijui
Hata mimi nakubaliana na wewe makambaNiliingia chimbo kupata connection ya Mange na huyo mwitaliano na kinachoendelea.... Nimesikia na kubaini mengi....
January ktk hili bora angenyamaza coz wenzie wamekusanya furushi la taarifa na wapo tayari kwa pambano kuu!!!!