Nikiangalia hili suala ya January Makamba na Mtaliano.
- Takukuru na police walitakiwa wawe wameshaanza uchunguzi wao.
- Takururu na police lazima walitakiwa watowe tamko na sio kukaha kimya. Wananchi wantaka kujua kama January ni untouchable au wanangojewa amri jeshi mkuu hatowe amri ya kuanza uchunguzi.
- Rais alitakiwa asimamishe kazi January ili uchunguzi ufanyika.
- Police walitakiwa watowe motisha kwa watu wengine walio na infomation kama za mtaliano wajitokeze kwani kwa uzoefu wangu kama ni kweli huyu mtaliano ni moja kati ya mamia waliolizwa na January. January hajaanza huu mchezo na mtaliano tu kuna wengi zaidi.
Hivi vyombo vya usalama vinatakiwa viwe
Nakumbuka vizuri sakata la yule kijana ,ila kwa hili sidhani kama ni polisi peke yao watahusika nalo hata kama hawapokei taarifa za mitandaoni ,huenda saa hizi anahojiwa na vijana wa mzee wakimaliza utaratibu mwingine utafuata ,labda tusibiri mamlaka husika zitasema nini juu ya hiliUkiwauliza watasema hawafanyi kazi na mitandao. Ila kuna kijana alisema cdf kauwawa hapaha mitandaoni nadhani unajua kilichomkuta. Kichekesho zaidi polisi wanataka taarifa za watonyaji hapa jf!!?
Nikiangalia hili suala ya January Makamba na Mtaliano.
- Takukuru na police walitakiwa wawe wameshaanza uchunguzi wao.
- Takururu na police lazima walitakiwa watowe tamko na sio kukaha kimya. Wananchi wantaka kujua kama January ni untouchable au wanangojewa amri jeshi mkuu hatowe amri ya kuanza uchunguzi.
- Rais alitakiwa asimamishe kazi January ili uchunguzi ufanyika.
- Police walitakiwa watowe motisha kwa watu wengine walio na infomation kama za mtaliano wajitokeze kwani kwa uzoefu wangu kama ni kweli huyu mtaliano ni moja kati ya mamia waliolizwa na January. January hajaanza huu mchezo na mtaliano tu kuna wengi zaidi.
Hivi vyombo vya usalama vinatakiwa viwe
Na ndio maana january ana kibri coz anajua mfalme kapata wapi joho kwan umesaau vile vikatuni vyake vya nguruwe. Mkuu hii ndo shida ya kufumwa na hausigel unachepuka sasa kapika msosi mbichi utamfanyajenani wa kumvisha paka kengele? panya walisikika wakinong'ona..
kwa kifupi hii movie ni ndefu ...yaaani mtego wa panya umekaa vibaya....
soon tutajua siri ya ushindi wa JPM
Acha uzuzu uzi unazungumzia utapeli wa January Makamba na dada yake Mwamvita, by the way Mange Kimambi naye CHADEMA?Na mbowe ajiuzulu kwa kumkaribisha fisadi lowasa chadema...mtahangaika sana
Pumbavu unafananisha Chadema na serekali?Na mbowe ajiuzulu kwa kumkaribisha fisadi lowasa chadema...mtahangaika sana
Wewe ndiyo mpuuzi Kwa kushabikia utapeli na wizi bila kujadi kuwa January ni Waziri anapaswa kuwa Msafi .hii taarifa ni ya kipuuzi inayojadiliwa na wapuuzi kama nyie pesa apewe dada lawama ziende kwa kaka nyie punguani kweli
Upo sahihi kabisa mia kwa mia. Tuziweke fikra zetu ziwe nyumbufu kwa kuzingatia uzito wa hoja. Tuacha ushabiki kwa kuingiza siasa. Tukiamua kuwa makini social media zitakuwa na heshima yake.Taarifa yoyote ifanyiwe kazi kwanza,hata wahalifu eakiona taarifa zinapuuzwa,watakuwa,majasiri wa kutoa taarifa za matukio kabla hawajafanya halafu wakiyatekeleza ndiyo watu wataanza kulaumiana na kutumbuana.
Taarifa ni taarifa,hakuna ubaya wa kzifanyia kazi,kama hazitakuwa za kweli,wahusika watatoa tamko.
Matishio na uvumi ni vitu vya kuvifanyia kazi,kwani kuna ubaya gani?
Bibi na wewe unapotea sana siku hizi,au bado unatoa kozi pale Lumumba?Anastahiri = anastahili
January kala sana pesa za mabuzi wa dada yake mfano kala sana pesa toka Kwa Rostam Aziz , Rais wa Kenya , Zambia na huyo mzunguNilikuwa najua makaka wanao UZA dada zao ni wale wa kipato cha chini angalau wapate hela ya sukari na kitumbua siku ianze, kumbe hata wale wa matawi ya juu hufanya haya? Kweli mswahili hata ukimtoa TANDALE umpeleke MASAKI wanahama na tabia zao. Aibu aibu yao hata MMakambas?!