Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

ImageUploadedByJamiiForums1457270011.868936.jpg
 
January kala sana pesa za mabuzi wa dada yake mfano kala sana pesa toka Kwa Rostam Aziz , Rais wa Kenya , Zambia na huyo mzungu
Mungu wangu, kwa hiyo hashindwi kumshawishi dadake aliwe mtungo kama jamaa wanatoa DAU la kueleweka?!
 
Sikuwahi mpenda lowassa ila matusi ya hao waswahili yalinifanya nianze kuwa na sympathy kwake....

Nikikumbuka Makamba alivyobebwa na kuwa karibu na Lowassa kiasi cha kuwahi tamka hadharani huko nyuma kuwa yeye mgombea wake Lowassa sikuamini alivyomdhalilisha kiasi kile....

Hata kama ni tofauti za siasa mbona Magufuli... Mkapa etc hawakutoa mashambulizi personal kiasi kile zaidi ya hao waswahili JK...na Makambas?

Nimejifunza sitofanya urafiki tena na mswahili for the rest of my life....

Ni wanyama!!!

Kwani waswahili wamekuomba urafiki we endelea na wazungu wenzako si unachowapatia unacho we endelea kuwapa. Mswahili mwenzie mswahili
 
Waumini wa Lowassa mnachosha du everythiny you connect nae du nadhani mm
 
January hafai kabisa,tunapokuwa tunasema haya mapema mtuelewe tu jamani.
 
Dogo hujifanya smart sana....

Huyo dadake alikuwa wa kina Rostam na anaonekana anapenda mno wenye PESA!!!

Ila mtendwa hutendwa hawa waswahili wakiumizana mi sijali coz ni watu wasio kuwa na shukrani...

Sikutegemea ukaribu uliokuwepo kati ya Makamba Family na Lowassa hii family imdhalilishe kiasi kile na mwenzao asijibu kitu!!!

Waswahili sina huruma kwao and I really hate them!!!
walivyokuwa kwe kampeni moro mzee makamba alichonga sana kuhusu lowasa kumbe wote ni walewale daah siasa mchezo mbaya sana
 
Ni mda wa kujiuzulu makamba...January ni jipu

Ni kweli, hii ndio option pekee aliyonayo. Akisubiri kutimuliwa anatafuta kifo kisiasa. Hata kujaribu kutolea majibu kwa haya yanayotoklea ni ujinga.
 
Niliingia chimbo kupata connection ya Mange na huyo mwitaliano na kinachoendelea.... Nimesikia na kubaini mengi....

January ktk hili bora angenyamaza coz wenzie wamekusanya furushi la taarifa na wapo tayari kwa pambano kuu!!!!

Kwa ubishi wa January atajitia kupambana! waliokaribu nae kuweni wema. Mshaurini aufyate na aombe kujiuzulu kabla hajaumbuka. Naamini akifanya hivyo hata kumuanmika kutakuwa ni kazi bure
 
Ccm ni ile ile oh ni ile ile,
Ccm ni ile oh ni ile oh ni ile
 
January hana kosa lolote hakupokea pesa kutoka kwa huyo mzungu koko pesa alipewa dada yake
Hapo ni sawa na mpokea rushwa kuingiziwa pesa benki kwenye akaunti yake. Hivyo huyo dada yake katumika kama akaunti na hivyo fedha kumfikia kaka yake
 
Back
Top Bottom