Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Acha the bald head asemwe na avuliwe nguo. Yani malipo ni hapa hapa duniani. Alivyokuwa mstari wa mbele kumuaibisha mzee wetu ngoyai kipenzi cha wote yeye na kampani yake alizan yuko salama. Wametumia mabilioni ya walipa kodi kumtukana EL.
"E. LOWASSA kipenzi cha wote" ? Seriously? Well that's a discussion for another day. Usipende kuchafua watu mioyo this early in the morning.
 
Still january ana kiburi cha atafanywa nini maana ndie alikua mastermind wa michongo mibovu ya kummaliza lowassa na ni kama vile Magu azungushi kwake, ni sawa na hausigel kakufumania na mchepuko aaf kapika msosi mbichi utamfukuza au utamwacha
Well said ila sidhan kama hapa atachomoka. Maana amekubali bora angekaa kimya tu. Kuanzisha league na mtu mwenye siri zako nyingi tena kwa utetezi mwepesi ni hatar sana. Mange kasema anarudi Los Angles kesho atatoa nondo kali zaidi wakati hizi tu alizotoa tayar January na Mwamvita wamepoteana.

Duc in Altum
 
January ni mwizi wa kudumu toka ujanani aliiba mtihani galanos na sasa ukubwani mwizi wa hela hahhahah
Ni mwizi Hatari aliiba hadi pesa za kampeni bilion 1.7 wakati kampeni ikiendelea ilimfanya Magufuli kupagawa lakini ikaja bahari Kwa Serikali ya China kuokoa Jahazi pia pesa za China nazo alizipiga hao Vijana wa Makamba ni wezi balaa.
 
Bila kuleta unazi na kukurupuka, kutaka kujua ukweli kuhusu hili swala ni kupitia response ya Makamba Jr tayari live bila chenga amekiri kumeet na huyo mtu na kukiri kuwepo na mawasiliano kati yake na dada yke sasa mtu unakujaje na kuanza kuropoka tu sijui Mange muongo uongo uko wap? Makamba keshakosea kuchomoka kwny kitanzi amekiri kufahamu so awe muhindi mtaliano mnigeria haituhusu swala ni kwamba huyo mtu yupo na anaexsist sasa team makamba pangueni hoja kuanzia hapo sio kusema habari ya kutunga
 
Kwa kosa la dada yake kupewa pesa na hawala yake na baadhi ya pesa hizo dada yake kumchangia January kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo Bumbuli.

Na kosa lake la pili ni kwanin dada yake kamtosa mwanaume huyo ambaye alimchagia January bila kumkutanisha na watu wazito wa nchi hii hili jamaa afanye utapeli wake?only in Tanzania.
Ina maana dada mtu pamoja na cheo alichonacho bado tu anauza?
 
Ana kosa la kutumia madaraka kujipatia pesa isivyo halali, ni sawa na mfanyakazi wa tra anapomtumia fundi viatu kumpokelea rushwa. Marope ana kosa la kupokea rushwa hata kama aliyempa mkononi ni dada yake.
Hivi unataka kusema January Makamba ndiye alimtuma dada yake awe mpenzi wa huyo jamaa?ni vyema kuwa na heshima. Sasa kama kwenye mahusiano yao ya mapenzi kati ya huyo mtu na dada yake January huyo jamaa akampa pesa demu wake,Mwamvita, sasa umlaumu January kwa lipi?kwani nae alikuwa huko kitandani alipokuwepo dada yake na huyo jamaa?fikiri!
 
Makamba amekubali alipokea pesa na Dada yake kakubali audio ni yake na Mzungu anamdai. Katika hali hii watu wanaozidi kumtetea Makamba au Mwamvita hawana tofauti na Condom na wana njaa na 10000 za kula ugali kwa mama ntilie. Wanakataa jambo ambalo mhusika amekubali.

Duc in Altum
wanaomtetea January watakuwa wamepewa vicent si bure lakini moyoni wanajua kuwa wanatetea mwizi Tapeli wa kimataifa .
 
nendeni mpeleke ushahidi mahakamani mlivyo wapumbavu mnakuja huku kwenye mitandao haiwasaidii chochote mtabaki tu na chuki zenu za kipumbavu...
Mahakamani mtapelekana wenyewe na waitaliano.tunachotaka sisi atupishe kwenye ofisi yetu hatuwezi kuongozwa na watu matapeli.
 
January hana kosa lolote hakupokea pesa kutoka kwa huyo mzungu koko pesa alipewa dada yake



mange ni mgonjwa wa akili anajulikana..hatua anayotakiwa kuchukuliwa ni kupelekwa mirembe akatibiwe



povu linakutoka kwa taarifa yako january hajiuzulu we utabaki na umasikini wako fanya kazi acha wivu wa kipuuzi



mnajaribu kumuhusisha january na upuuzi wenu lakini mmegonga mwamba...



picha ya nini nyie wehu january kashasema amepewa ela na dada yake kuna ubaya gani..nendeni mkamdai dada yake hizo pesa kama mns uchungu san na hizo ela za huyo mzungu koko



unatokwa kwa mambo yasiyokuhusu



na wewe unafanya nini hapa kushadadia mambo yasiyokuhusu angalia familia yako achana na familia ya makamba haikuhusu



nendeni mpeleke ushahidi mahakamani mlivyo wapumbavu mnakuja huku kwenye mitandao haiwasaidii chochote mtabaki tu na chuki zenu za kipumbavu...



mtatoa information mpaka za waume zenu na hazitawasaidia chochote...hii ni ishu ya kipuuzi tu inayoshadadiwa na wapuuzi kam wewe



fuatilia maisha yako wewe..kama ni pesa zimepigwa na wewe tafuta mjinga wako kampige bwege we utakufa na ufukara wako



hii taarifa ni ya kipuuzi inayojadiliwa na wapuuzi kama nyie pesa apewe dada lawama ziende kwa kaka nyie punguani kweli



tafuta maisha yako acha kuwa na wivu na maisha ya wengine hayakuhusu..mind your own business

Mkuu bigonzo unatupigia kelele kwenye kikao, kaa kimya kazi uliyopewa umeonyesha huimudu umepwaya sana.
 
H
Jamaa alidhani amepata mchongo kumbe mchongoooomaaaa haha hahaa hahaaa. Yeye atulie tu awaze jinsi gani ya kupata pesa zingine. Na iwe fundisho kwa hao wazungu wasituchukulie sisi mafala.

Haa ha ha

 
Kwani kuna kesi gani mahakamani hata uwaambie wapeleke ushahidi?
Mahakama za wapi ? Za Ulaya au hizi hizi zetu ? Ushahidi upi tena Yaani wenyewe wakekiri sauti ni zao na mzungu aliwapa pesa Sasa anataka ushahidi upi ? Huo mda wa kwenda mahakamani Kwa ajili ya kuwafurahisha watu unatoka wapi?
 
Mungu hulipa hapa hapa Malamba Na baba yake ndio waliopewa jukumu la kumtukana Kipenzi cha Watu Lowassa Mungu onyesha mapigo Kwa wote waliomtukana Lowassa
 
Pesa za mutaliano ndio zimegharamia kampeni ya Januari M. kiti cha bumbuli? Naona kesi ya uchaguzi muda sio mrefu.
 
Back
Top Bottom