Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

hapa hakuna cha kushangaa, ndio maana alikuwa anaitolea macho sana SHERIA YA MITANDAO ili vitu vya kufikirisha kama hivi sisi wa ikangabilili porini huku tusijue.

Magu katoa Rai kila raia afumue uozo wowote anaouona. sasa huyu dada haijalishi yuko sahihi au anadanganya kafanya nafasi yake.
True that bro, inasikitisha sana
 
Mkuu naomba unisaidie majibu ya maswali haya kwa niaba ya January
1. Ni Lini January Makamba alijua uhusiano wa dada yake na Muitaliano?
2. Je January anaweza kueleza uhusiano wa muitaliano na dada yake ulikuwa ni uhusiano wa namna gani? Na ulianza lini?
3. Je January mwenyewe ameshawahi kuonana na Muitaliano?
4. Je January amewahi kuongea kwenye simu na huyo Muitaliano?
5. Muitaliano kwenye clip anasema kuwa kila alipoomba kuonana na January, Mh. January alimtumia Mzungu fun Meseji, sasa Je January katika kumbukumbu zake anakumbuka kuwahi kumtumia meseji zozote mzungu?
6. Kama jibu ndio alimtumia meseji mzungu wa kiitaliano alikuwa anamtumia meseji za kusema nini?
7. Ni lini January alijua kuwa huyu Muitaliano si mtu safi, Ni tapeli, hana wasifu wa kuwa karibu na waziri?
8. Je ni kweli kwamba January alipokea pesa kutoka kwa Muitaliano kwa ajili ya Bumbuli Development Corporation (BDC)
9. Kama ni kweli Muitaliano alichangia Mfuko wa Bumbuli Je, Huyu bwana alichangia hali January akijua kuwa huyu Muitaliano si safi na akapokea hizo pesa??
10. Je January anadhani ni sahihi kwa waziri kuwa na mahusiano ya karibu, au kufahamiana, au kufanya biashara, au kupokea mchango, au zawadi au kuwasiliano na mtu ambaye ni Tapeli na anayetumia madawa ya kulevya na anadaiwa madeni lukuki mpaka ameshindwa kutoka nchini?

Ingekuwa awamu iliyopita ningekuwa na mashaka kuw amambo yafuatayo yatafanyika.

a. TCRA wataamlishwa kufuta data zote za mawasiliano ya simu ya January na Huyo muitaliano kama yalikuwepo
b. Polisi wataamuliwa kwenda kumkamata muitaliano na kumuweka ndani kasha kumfungulia charge za makosa ya kuishi nchini kinyume cha sheria, makosa ya mitandao, madeni na hata matumizi ya madawa ya kulevya

Sijui Serikali ya Awamu ya 5 Serikali ya Magu itabehave vipi kwenye hili.

Dada mtu na Mfuko hizi ni mbadala wa waziri mwenyewe kwenye madili ya kifisadi. Dadake misheni town. Hii Mifuko(foundation), Shule (kina Tibaijuka) mingi ni visingizio tu, wamiliki ni kina nani?
 
Nimefuatilia kidogo hili swala la makamba naona kama watu wanavuana nguo za ndani,

Sina cha kuongezea but ni chafu sana tena sana,
Huyu dada nilikuwa nampenda sana nimekumbuka wimbo wa power of a woman.
Hii hata isitoke kwenye magazeti ibakie hukohuko instagram.
weka mbali na watoto.

I am singing "All is falling down".
 
Dogo hujifanya smart sana....

Huyo dadake alikuwa wa kina Rostam na anaonekana anapenda mno wenye PESA!!!

Ila mtendwa hutendwa hawa waswahili wakiumizana mi sijali coz ni watu wasio kuwa na shukrani...

Sikutegemea ukaribu uliokuwepo kati ya Makamba Family na Lowassa hii family imdhalilishe kiasi kile na mwenzao asijibu kitu!!!

Waswahili sina huruma kwao and I really hate them!!!
 
Acha the bald head asemwe na avuliwe nguo. Yani malipo ni hapa hapa duniani. Alivyokuwa mstari wa mbele kumuaibisha mzee wetu ngoyai kipenzi cha wote yeye na kampani yake alizan yuko salama. Wametumia mabilioni ya walipa kodi kumtukana EL.
 
Sikuwahi mpenda lowassa ila matusi ya hao waswahili yalinifanya nianze kuwa na sympathy kwake....

Nikikumbuka Makamba alivyobebwa na kuwa karibu na Lowassa kiasi cha kuwahi tamka hadharani huko nyuma kuwa yeye mgombea wake Lowassa sikuamini alivyomdhalilisha kiasi kile....

Hata kama ni tofauti za siasa mbona Magufuli... Mkapa etc hawakutoa mashambulizi personal kiasi kile zaidi ya hao waswahili JK...na Makambas?

Nimejifunza sitofanya urafiki tena na mswahili for the rest of my life....

Ni wanyama!!!
 
sifa moja kuu ya mswahili ni UNAFIKI
 
Wanajamvi naomba kuuliza hivi huyu mange baba yake ndio yule Kimambi aliyejiua kwa kunywa sumu chumbani kwenye hoteli yake sijui nyumbani kwake pale afrikana mkabala na Rafia? Je ndio yeye?
 
ImageUploadedByJamiiForums1457217397.007743.jpg
 
Kama si kweli basi huyo dada aliyeandika hiyo kashifa wamchukulie hatua kali kwa mjibu wa sheria ya makosa ya mtandao ili iwe fundisho kwa watu wa aina hii!
 
Back
Top Bottom