Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,964
- 861,538
Kilichotokea ni rahisi sana! Ndani ya ccm kuna kikundi cha kimafia na kilipata nguvu mno wakati wa utawala uliopita... Hiki kina siri za watu wengi sana wamekaa nazo kama assetUmenikumbusha kitabu cha "All is falling down" na "Things fall apart"
Umenikumbusha enzi za division mkuu dah!!
Makamba is someone decided to have naked himself!!
Few days ago January akasimama kuusema vibaya utawala wa Kikwete! Utawala ambao yeye ni sehemu yake!!! Akaunanga sana bila kujali maumivu waliyo nayo wale wenzake walioachwa na Magu
Yeye kachukuliwa na Magu Kama asante ya kufanikisha wizi wa kura kwahiyo alipaswa kukaa kimya, lakini akajiona msafi sana, mafia wale wakaingia kazini wakafanya yao wakamtupia chizi mange naye akafanya yake