Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Sikuwahi mpenda lowassa ila matusi ya hao waswahili yalinifanya nianze kuwa na sympathy kwake....

Nikikumbuka Makamba alivyobebwa na kuwa karibu na Lowassa kiasi cha kuwahi tamka hadharani huko nyuma kuwa yeye mgombea wake Lowassa sikuamini alivyomdhalilisha kiasi kile....

Hata kama ni tofauti za siasa mbona Magufuli... Mkapa etc hawakutoa mashambulizi personal kiasi kile zaidi ya hao waswahili JK...na Makambas?

Nimejifunza sitofanya urafiki tena na mswahili for the rest of my life....

Ni wanyama!!!

Umesahau "Malofa na wapumbavu", una kumbukumbu finyu sana.
 
Unazijua 100m$ ?
Ujinga mtupu....
218,300,000,000/= Tshs or Two hundred point three billions (in words)

Au Bilioni mia mbili kumi na nane na point tatu (Kwa pesa za madafu)

Now,What's ua standing on this? Can u justify my ujinga dude?
 
Ccm 46 at work.mbona hampigi kura sasa?Hiyo ni kashfa.Waziri alipokea sadaka za mbwa!
 
Naona watu mmeamua kujipoza kwa maneno matam....
 
Magufuli ni lazima atawashangazeni watanzania kwa either kukaa kimya au kujitokeza na kuwatikaneni kuwa 'kuna mijitu mmekaa kimbea mbea tu, tenavwengi wenu wanaume, mnaacha juleta mawazo ya jujenga nchi ninyi mnatafuta jukwamidhana tu. Hivi mnadhani tukianza kunyoosheana vidole kuna nani wa jubaki' ( in Magufuli tone)
 
Sasa tutajie huyo mtaliano jina lake nani na ana toka kampuni gani kule italy ambayo ni kinara wa kujenga bandari
Si umuulize huyo Mwamvita au Mange kuliko kuwa mvivu wa kusearch na kuja kuuliza walioletewa taarifa?
 
Mange sikuwa ninamshobokea kivile especially alivyopotrait kama kuolewa na mzungu ndiyo kila kitu na ule usemi wa 'mashauzi yanataka pesa'. Mtoto wa shoga yangu akaanza kwenda kuwinda wazungu slip way na sehemu anazozijua yeye ile aishi kama Mange na kuvaa CL. Kwa hili Mange ninakugawa na crown ya Queen of Social Media juu.
 
Mh mange kimambi ni shujaa wa taifa ananirudisha enzi za Dr Slaa
Hongera Mange Kimambi hakika wewe ni Mtanzania mzalendo.
 
Back
Top Bottom