Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
Hiyo ndiyo battle iliyotarajiwa baada ya JK na EL.....So Riz1 is now fighting ze makambaz?
Hiyo ndiyo battle iliyotarajiwa baada ya JK na EL.....So Riz1 is now fighting ze makambaz?
Hiyo ndiyo battle iliyotarajiwa baada ya JK na EL.....
Offoz;Hiyo ndiyo battle iliyotarajiwa baada ya JK na EL.....
Kwa sie tunasema "bravo the wolves, devour each other"Offoz;
Payback time..!
Hawa jamaa wataleta madhara makubwa pande zote mbili
Sasa January yupo na Ruge wamejichimbia sehemu na Utitiri wa waganga wa kienyeji wanapanga jinsi ya kupangua mawe na kumkomoa mange na umoja wa Vijana unasukiwa Zengwe pia , Makamba baba Yao na yeye yupo busy na Ndumba hii ni Hatari wameamua kukomaa na nguvu za giza wakidhani watakwepa hilo JIPU .Kilichotokea ni rahisi sana! Ndani ya ccm kuna kikundi cha kimafia na kilipata nguvu mno wakati wa utawala uliopita... Hiki kina siri za watu wengi sana wamekaa nazo kama asset
Few days ago January akasimama kuusema vibaya utawala wa Kikwete! Utawala ambao yeye ni sehemu yake!!! Akaunanga sana bila kujali maumivu waliyo nayo wale wenzake walioachwa na Magu
Yeye kachukuliwa na Magu Kama asante ya kufanikisha wizi wa kura kwahiyo alipaswa kukaa kimya, lakini akajiona msafi sana, mafia wale wakaingia kazini wakafanya yao wakamtupia chizi mange naye akafanya yake
Nimeshaisoma hii kwenye radarSasa January yupo na Ruge wamejichimbia sehemu na Utitiri wa waganga wa kienyeji wanapanga jinsi ya kupangua mawe na kumkomoa mange na umoja wa Vijana unasukiwa Zengwe pia , Makamba baba Yao na yeye yupo busy na Ndumba hii ni Hatari wameamua kukomaa na nguvu za giza wakidhani watakwepa hilo JIPU .
Safari hii January kupatikana licha ya kukwepa Kipindi chote cha JK ambapo alitunga sheria za Mitandao ili kujilinda na maovu yake , mwaka huu atairoga mpaka JF akumbuke kifo cha nyani miti yoote huteleza.Niliingia chimbo kupata connection ya Mange na huyo mwitaliano na kinachoendelea.... Nimesikia na kubaini mengi....
January ktk hili bora angenyamaza coz wenzie wamekusanya furushi la taarifa na wapo tayari kwa pambano kuu!!!!
Ndio yeye mkuu.. Kama una bifu na mtu yoyote hata Rais Mstaafu we mpigie tu simu amalizane nae kimtandao. Nimempa jina la " weather reporter "Acha the bald head asemwe na avuliwe nguo. Yani malipo ni hapa hapa duniani. Alivyokuwa mstari wa mbele kumuaibisha mzee wetu ngoyai kipenzi cha wote yeye na kampani yake alizan yuko salama. Wametumia mabilioni ya walipa kodi kumtukana EL.
mkuu huyo kijana ni Mshirikina hakuna mfano Kipindi cha kampeni aliwaleta mseto wa waganga wa kienyeji toka Gambia, Amazon, Mongolia , Senegal na Nchi nyinginezo kibao anajulikana kwenye anga hizo kamrithi baba yake .Nimeshaisoma hii kwenye radar
Mtenda hutendwa...!!!Safari hii January kupatikana licha ya kukwepa Kipindi chote cha JK ambapo alitunga sheria za Mitandao ili kujilinda na maovu yake , mwaka huu atairoga mpaka JF akumbuke kifo cha nyani miti yoote huteleza.
System ime jam ndio maana yametokea yote hayamkuu huyo kijana ni Mshirikina hakuna mfano Kipindi cha kampeni aliwaleta mseto wa waganga wa kienyeji toka Gambia, Amazon, Mongolia , Senegal na Nchi nyinginezo kibao anajulikana kwenye anga hizo kamrithi baba yake .
January wizi kaanza kitambo tokea ule mladi wa Sugu alimpora kisha akaanzisha kampuni ya kuleta wawekezaji huko wengi wakapigwa Kwa kisingizio cha kupelekwa kuonana na Rais huku pesa za kampeni bilion 1.7 nazo akapiga kimya kimya hadi Magufuli alipagawa , kilichookoa jahazi ni Serikali ya China kumwaga pesa Kwa wingi , magu tumbua JIPU Hilo hiki kitakuwa kipimo boraMtenda hutendwa...!!!
Ni kweli mkuu mwisho wake umewadia, kifo cha nyani miti yote huteleza , lakini ikumbukwe pesa za Zanzibar na za meya wa Dsm keshavuka kaanza mipango yake mibaya hivyo huenda Magufuli akamvumilia mpaka amalize hizo kazi mbili za kuwavurunga upinzaniSystem ime jam ndio maana yametokea yote haya
Hiyo ndiyo battle iliyotarajiwa baada ya JK na EL.....
Yap yap braza!!!Kwa hiyo hicho kibinti kinatumiwa tu, sio?
Jambo ambalo nimekuwa nikilihisi kwa muda mrefu.
And who is to say na chenyewe hakilipwi....
Yap yap braza!!!
Then binti ana hasira na January kwa kutolipwa hela ya mradi wa kumchafua sana EL maana walimtumia pia....
In short dada anatumika kama condom!