Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Habari za mtandaoni zitaishia humu humu, kiufupi huyo Mzungu ndio ankosa kwa kukubali kutoa rushwa leo hii ndio watu wengi wanamshabikia
 
Bufa, trd ni nyingi juu ya Januari I hope umesikia sasa mahojiano yake na mwandishi. Kama bado silkilizia hapa;


Nadhani unaona ukweli kwamba Januari na dada yake wana mambo ya pamoja. Anafahamu hata msg za matusi kwa dada yake. Mahojiano haya hatumuoni Januari usoni lakini voice tonation inaonyesha wazi anafahamu mengi juu ya dada yake. Anakumbushia hata ukweli wa ile msg ya zamani dada mtu akimuombea pesa kaka yake kwa hawala. Na dada yake alisema wazi kungekuwa na faida ya kimaslahi!

Januari yuko desperate kujiokoa tu.

I beg your conclusion on this.

Nakubaliana na wewe, Makamba kama kiongozi alipanga mikakati ya kiwizi, kwa kudhania yeye ni smart, kienzi za dhaifu JK. Lakini sasa JPM ni issue nyingine kabisa.

Kwahiyo wamemtishia Vincenzo kuwa na yeye akitoa details ataishia jela kwa kutoa rushwa?
 
Wengi walioko ccm wanadhani chama chao kinapendwa sio kweli bali wanajua ndo kichaka cha kufanyia deals zao bila usumbufu ndo maana wahindi wanaipenda sana ccm
hapa nakubaliana na wewe, na ikichukua chadema basi wahindi wote watakua Chadema . Chezea mhindi kwa hela wewe
 
Mkuu naomba unisaidie majibu ya maswali haya kwa niaba ya January
1. Ni Lini January Makamba alijua uhusiano wa dada yake na Muitaliano?
2. Je January anaweza kueleza uhusiano wa muitaliano na dada yake ulikuwa ni uhusiano wa namna gani? Na ulianza lini?
3. Je January mwenyewe ameshawahi kuonana na Muitaliano?
4. Je January amewahi kuongea kwenye simu na huyo Muitaliano?
5. Muitaliano kwenye clip anasema kuwa kila alipoomba kuonana na January, Mh. January alimtumia Mzungu fun Meseji, sasa Je January katika kumbukumbu zake anakumbuka kuwahi kumtumia meseji zozote mzungu?
6. Kama jibu ndio alimtumia meseji mzungu wa kiitaliano alikuwa anamtumia meseji za kusema nini?
7. Ni lini January alijua kuwa huyu Muitaliano si mtu safi, Ni tapeli, hana wasifu wa kuwa karibu na waziri?
8. Je ni kweli kwamba January alipokea pesa kutoka kwa Muitaliano kwa ajili ya Bumbuli Development Corporation (BDC)
9. Kama ni kweli Muitaliano alichangia Mfuko wa Bumbuli Je, Huyu bwana alichangia hali January akijua kuwa huyu Muitaliano si safi na akapokea hizo pesa??
10. Je January anadhani ni sahihi kwa waziri kuwa na mahusiano ya karibu, au kufahamiana, au kufanya biashara, au kupokea mchango, au zawadi au kuwasiliano na mtu ambaye ni Tapeli na anayetumia madawa ya kulevya na anadaiwa madeni lukuki mpaka ameshindwa kutoka nchini?

Ingekuwa awamu iliyopita ningekuwa na mashaka kuw amambo yafuatayo yatafanyika.

a. TCRA wataamlishwa kufuta data zote za mawasiliano ya simu ya January na Huyo muitaliano kama yalikuwepo
b. Polisi wataamuliwa kwenda kumkamata muitaliano na kumuweka ndani kasha kumfungulia charge za makosa ya kuishi nchini kinyume cha sheria, makosa ya mitandao, madeni na hata matumizi ya madawa ya kulevya

Sijui Serikali ya Awamu ya 5 Serikali ya Magu itabehave vipi kwenye hili.

!
!
Haina jipya selikali hii. Sinema tu zilezile. Majipu majipu majipu Gwa nyoko?
 
Nakubaliana na wewe, Makamba kama kiongozi alipanga mikakati ya kiwizi, kwa kudhania yeye ni smart, kienzi za dhaifu JK. Lakini sasa JPM ni issue nyingine kabisa.

Kwahiyo wamemtishia Vincenzo kuwa na yeye akitoa details ataishia jela kwa kutoa rushwa?

!
!
Hivi huyu Magufuli ana jipya hani?
 
Baada ya Mange Kimambi kuibua kashfa nzito inayomhusu Waziri Makamba na raia ya Italia Vicenzo kuhusiana na kupeana tenda ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa mlango wa nyuma,ni juu ya TATUKURU sasa kuchunguza suala zima ili ukweli ujulikane na ikibidi Makamba achukuliwe hatua za kisheria.Tume ya maadili nayo imuite Makamba kwa mahojiano zaidi,na kwa upande wa rais Magufuli,hili ni doa kubwa la uadilifu litakaloitia utawala wako ikiwa utaendelea kuwa na Waziri mwenye tuhuma za rushwa, mpige chini haraka kwani uadilifu wake umejaa mashaka.
 
Unaongea kama vile hawa sio watu wa CCM bana,,, hiyo tume Chenge aliigomea suala la kuhojiwa kuhusu Escrow ikafyata mkia na je Makamba akiigomea itakuwaje? Kumbuka CCM ni ileile hadi leo hakuna mfanyabiashara hata mmoja kafikishwa mahakamani zaidi ya kutimua wafanyakazi wa umma na wengine wanarudishwa kimya kimya
 
Magufufuli hatumbui wanasiasa,ye anadili na watu wengine,lakini anasahau hao wafanya biashara source ya wao kutolipa kodi ni hao hao wanasiasa waliomfanyia mpango kuingia ikulu
 
Habari za mtandaoni zitaishia humu humu, kiufupi huyo Mzungu ndio ankosa kwa kukubali kutoa rushwa leo hii ndio watu wengi wanamshabikia
Na maadili ya utumishi wa umma yameweka restrictions katika kupokea zawadi!! Ambayo ni wazi ktk hili yamekiukwa
 
Hivi magufuli nikweli hasikii wala haoni yanayotokea kuanzia issue ya umeya hadi kashfa za mawaziri wake?au ana list maalumu ya watu wa kuwatumbua?imani juu ya rais magufuli inapungua siku hadi siku kwakweli.kwanini wengine wanatimuliwa kwa uonevu pasipo uchunguzi?
 
angekuwa mtumishi, angesubiri kupangiwa majukumu mengine. lakini mwanaccm, magu anaogopa. hawezi kuchukua hatua.
 
Ni vyema zile mali na madeni ya viongozi zikatangazwa.
 
Back
Top Bottom