Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
Binafsi huwa simpendi huyo binti ila kwa January nimemkubali coz huyo kijana anajifanya mjuaji mno ilhali ni mweupe kichwani!!!!Anatumika kweli....na hivi hana akili timamu ndo kabisaaa
Binafsi huwa simpendi huyo binti ila kwa January nimemkubali coz huyo kijana anajifanya mjuaji mno ilhali ni mweupe kichwani!!!!Anatumika kweli....na hivi hana akili timamu ndo kabisaaa
Hata hivyo siombei hilo litokee kwakuwa litaficha mengi yanayotakikana kujulikana na kupata tiba...wafu huondoka na siri nyingimshana jr
Natumai kunaelekea kukucha Salama Mkuu bila Msiba.
So far hakuna taarifa yeyote Mbaya...
Ila.Bado kuna Dakika kadhaa kabla halijakuchwa Kabisa
Hata simjui binti namsikia sikia tu. Hata hivyo tuhuma hizi ambazo dada amekubali sauti zina harufu isiyo nzuriBinafsi huwa simpendi huyo binti ila kwa January nimemkubali coz huyo kijana anajifanya mjuaji mno ilhali ni mweupe kichwani!!!!
January naye kakiri kupokea pesa lakini alimuomba dadaake...hii colabo tamu sanaHata simjui binti namsikia sikia tu. Hata hivyo tuhuma hizi ambazo dada amekubali sauti zina harufu isiyo nzuri
Wasi wasi wangu ni pale Jamuary alipokuwa mmoja wa mwaziri walichelewa kujaza fomu za maadili na mali. Nikiunganisha na hadithi hadithi hizi, nadhani Jan ana la kutueleza
Tumpe muda wa kujitetea, ninaona ukungu kwa majibu mepesi anayotoa
Dada kasema sauti ni yake!
Ana haki ya kujibu tuhuma au kukaa kimyaJanuary naye kakiri kupokea pesa lakini alimuomba dadaake...hii colabo tamu sana
Dada kakubali sauti ni yake
Kaka kakubali kupokea hela
Bado chorus tuu
Kama si kweli basi huyo dada aliyeandika hiyo kashifa wamchukulie hatua kali kwa mjibu wa sheria ya makosa ya mtandao ili iwe fundisho kwa watu wa aina hii!
Kilichotokea ni rahisi sana! Ndani ya ccm kuna kikundi cha kimafia na kilipata nguvu mno wakati wa utawala uliopita... Hiki kina siri za watu wengi sana wamekaa nazo kama asset
Few days ago January akasimama kuusema vibaya utawala wa Kikwete! Utawala ambao yeye ni sehemu yake!!! Akaunanga sana bila kujali maumivu waliyo nayo wale wenzake walioachwa na Magu
Yeye kachukuliwa na Magu Kama asante ya kufanikisha wizi wa kura kwahiyo alipaswa kukaa kimya, lakini akajiona msafi sana, mafia wale wakaingia kazini wakafanya yao wakamtupia chizi mange naye akafanya yake
January wizi kaanza kitambo tokea ule mladi wa Sugu alimpora kisha akaanzisha kampuni ya kuleta wawekezaji huko wengi wakapigwa Kwa kisingizio cha kupelekwa kuonana na Rais huku pesa za kampeni bilion 1.7 nazo akapiga kimya kimya hadi Magufuli alipagawa , kilichookoa jahazi ni Serikali ya China kumwaga pesa Kwa wingi , magu tumbua JIPU Hilo hiki kitakuwa kipimo bora
sifa moja kuu ya mswahili ni UNAFIKI
Sikuwahi mpenda lowassa ila matusi ya hao waswahili yalinifanya nianze kuwa na sympathy kwake....
Nikikumbuka Makamba alivyobebwa na kuwa karibu na Lowassa kiasi cha kuwahi tamka hadharani huko nyuma kuwa yeye mgombea wake Lowassa sikuamini alivyomdhalilisha kiasi kile....
Hata kama ni tofauti za siasa mbona Magufuli... Mkapa etc hawakutoa mashambulizi personal kiasi kile zaidi ya hao waswahili JK...na Makambas?
Nimejifunza sitofanya urafiki tena na mswahili for the rest of my life....
Ni wanyama!!!
Hivi waswahili ni akina nani au ni watu wa aina gani?Naamini Lowassa anajuta sana kupoteza muda na waswahili....
Achukuliwe hatua kwa lipi. Uwe unasoma wanayoandika wenzako.Kama si kweli basi huyo dada aliyeandika hiyo kashifa wamchukulie hatua kali kwa mjibu wa sheria ya makosa ya mtandao ili iwe fundisho kwa watu wa aina hii!
Niliingia chimbo kupata connection ya Mange na huyo mwitaliano na kinachoendelea.... Nimesikia na kubaini mengi....
January ktk hili bora angenyamaza coz wenzie wamekusanya furushi la taarifa na wapo tayari kwa pambano kuu!!!!