Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Kilichotokea ni rahisi sana! Ndani ya ccm kuna kikundi cha kimafia na kilipata nguvu mno wakati wa utawala uliopita... Hiki kina siri za watu wengi sana wamekaa nazo kama asset
Few days ago January akasimama kuusema vibaya utawala wa Kikwete! Utawala ambao yeye ni sehemu yake!!! Akaunanga sana bila kujali maumivu waliyo nayo wale wenzake walioachwa na Magu
Yeye kachukuliwa na Magu Kama asante ya kufanikisha wizi wa kura kwahiyo alipaswa kukaa kimya, lakini akajiona msafi sana, mafia wale wakaingia kazini wakafanya yao wakamtupia chizi mange naye akafanya yake
You are a Great thinker of our times!! kimsingi utagundua kuwa kwa hulka ya yule binti Mange kimambi kamwe asinge jua kitu kama kile halafu akae kimya! akengekua amesha ropoka siku nyingi sana. hicho kitu kapenyezewa na watu wa karibu na ile familia iliyo maliza utawala wake.unajua hawajui tu hii kitu inako elekea kuwa ni zaidi kuvuana nguo.Yawezekana kuwa ni kweli ule mpango Makamba alikuwa anaufanya lakini alitumwa!! mwisho wake ni mbaya kwelikweli ila waswahili huwa hawana aibu.waacheni waumbuane tufaidike kujua mengi.
 
You are a Great thinker of our times!! kimsingi utagundua kuwa kwa hulka ya yule binti Mange kimambi kamwe asinge jua kitu kama kile halafu akae kimya! akengekua amesha ropoka siku nyingi sana. hicho kitu kapenyezewa na watu wa karibu na ile familia iliyo maliza utawala wake.unajua hawajui tu hii kitu inako elekea kuwa ni zaidi kuvuana nguo.Yawezekana kuwa ni kweli ule mpango Makamba alikuwa anaufanya lakini alitumwa!! mwisho wake ni mbaya kwelikweli ila waswahili huwa hawana aibu.waacheni waumbuane tufaidike kujua mengi.
hii taarifa ni ya kipuuzi inayojadiliwa na wapuuzi kama nyie pesa apewe dada lawama ziende kwa kaka nyie punguani kweli
 
Sikujua! Kumbe ukichamba Makambas unakuwa kwenye list ya matajiri. Basi sasa umeshikwa pabaya dada yangu tajiri.
tafuta maisha yako acha kuwa na wivu na maisha ya wengine hayakuhusu..mind your own business
 
H
Jamaa alidhani amepata mchongo kumbe mchongoooomaaaa haha hahaa hahaaa. Yeye atulie tu awaze jinsi gani ya kupata pesa zingine. Na iwe fundisho kwa hao wazungu wasituchukulie sisi mafala.
 
na wewe unafanya nini hapa kushadadia mambo yasiyokuhusu angalia familia yako achana na familia ya makamba haikuhusu
Najua uko kazini unawajibika endelea kutoka povu ka umekunywa maji ya emco... Muda ni mwamuzi wa haki tutarudi kuangalia maandiko yeetu ukweli ukidhihiri ipe muda tu! Ila weka akiba ya maneno!!
Anyway we uko kundi lipi? Waliopewa simu? Lumumba buku 7fc au uko lile kundi la 46
 
Huyo jamaa nadhani ametapeliwa mwaka 2011/12 na kama angekuwa na ushahidi angekuwa ameenda mahakamani.

Kwa kifupi, tapeli ametapeliwa!
Kama ishu ni ya mwaka 2011 /2012, huyo mleta ubuyu mtandaoni hakua anajua ilhalI enzi hizo mtapeli alikua shouger yake!? Hawa watu wamalizane huko bana.
 
Nilichogundua hii mada wachangiaji wakubwa ni Wachaga na wabajua sio kweli bali lengo ni kisasi.
 
Sikuwahi mpenda lowassa ila matusi ya hao waswahili yalinifanya nianze kuwa na sympathy kwake....

Nikikumbuka Makamba alivyobebwa na kuwa karibu na Lowassa kiasi cha kuwahi tamka hadharani huko nyuma kuwa yeye mgombea wake Lowassa sikuamini alivyomdhalilisha kiasi kile....

Hata kama ni tofauti za siasa mbona Magufuli... Mkapa etc hawakutoa mashambulizi personal kiasi kile zaidi ya hao waswahili JK...na Makambas?

Nimejifunza sitofanya urafiki tena na mswahili for the rest of my life....

Ni wanyama!!!

Umesahau "Malofa na wapumbavu", una kumbukumbu finyu sana.
 
Kwa kosa la dada yake kupewa pesa na hawala yake na baadhi ya pesa hizo dada yake kumchangia January kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo Bumbuli.

Na kosa lake la pili ni kwanin dada yake kamtosa mwanaume huyo ambaye alimchagia January bila kumkutanisha na watu wazito wa nchi hii hili jamaa afanye utapeli wake?only in Tanzania.
Na huyo anaetaka J afukuzwe, yy kawaliza majamaa wangapi kama Mwam alivyofanya!!!
 
Back
Top Bottom