Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Sisi wehu lakini ngojeni information zaidi zinakuja, mkubali this time Mange amewashika pabaya na mkijitekenya anaongeza maumivu.
nendeni mpeleke ushahidi mahakamani mlivyo wapumbavu mnakuja huku kwenye mitandao haiwasaidii chochote mtabaki tu na chuki zenu za kipumbavu...
 
mtatoa information mpaka za waume zenu na hazitawasaidia chochote...hii ni ishu ya kipuuzi tu inayoshadadiwa na wapuuzi kam wewe
 
nendeni mpeleke ushahidi mahakamani mlivyo wapumbavu mnakuja huku kwenye mitandao haiwasaidii chochote mtabaki tu na chuki zenu za kipumbavu...
Mbona mapovu yanakutoka, tetea kwa hoja sio matusi and there is more to come dear.
 
Kwa nini liwe ni kosa la January Mkamba kwenye makubaliano ya kimapenzi na kibiashara kati ya Dada yake na mpenzi wa dada yake.

Mapenzi ni gharama!

Jamaa alidhani kuwa na mapenzi na Mwanvita ni kupata tenda za serikali lakini hakufahamu kama yeye ndiye analiwa!

Kwa sasa amebaki kulalamika kwenye mitandao kwa sababu hana ushahidi kwa kisheria bali ana ushaidi wa kisiasa.
 
ndio nashangaa pesa apewe dada mtu lawama apewe january..watu wengine wa ajabu sana
 
Afukuzwe kazi kwa kosa gani hasa?

Kwa kosa la dada yake kupewa pesa na hawala yake na baadhi ya pesa hizo dada yake kumchangia January kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo Bumbuli.

Na kosa lake la pili ni kwanin dada yake kamtosa mwanaume huyo ambaye alimchagia January bila kumkutanisha na watu wazito wa nchi hii hili jamaa afanye utapeli wake?only in Tanzania.
 
ndio nashangaa pesa apewe dada mtu lawama apewe january..watu wengine wa ajabu sana
Jamaa amekutana na mdada mjanja akadhani amepata kumbe yeye ndiye amepatikana!

Hii ndio gharama halisi ya mapenzi!
 
hivi nyinyi huyo J makamba amewakosea nini au kwa kuwa alikuwa meneja campeni wa CCM
 
Kwa nini liwe ni kosa la January Mkamba kwenye makubaliano ya kimapenzi na kibiashara kati ya Dada yake na mpenzi wa dada yake.

Mapenzi ni gharama!

Jamaa alidhani kuwa na mapenzi na Mwanvita ni kupata tenda za serikali lakini hakufahamu kama yeye ndiye analiwa!

Kwa sasa amebaki kulalamika kwenye mitandao kwa sababu hana ushahidi kwa kisheria bali ana ushaidi wa kisiasa.

Haa ha ha jamaa alijiona mjanja kumbe Mwamvita mjanja zaidi, imekula kwake. Cha muhimu kama ana data basi ampeleke Mwamvita mahakamani wakamalizane.
 
Ahahaha,naona viwavi jeshi washaanza kufuta traces za uhusika the bald headed boy...
 
Haa ha ha jamaa alijiona mjanja kumbe Mwamvita mjanja zaidi, imekula kwake. Cha muhimu kama ana data basi ampeleke Mwamvita mahakamani wakamalizane.
mwamvita mjanja sana amempiga pesa ya kutosha huyo mzungu mshamba..na bado watapigwa ela mpaka wakome...mwamy ni noma
 
January ni kipenzi cha vijana wengi akiwa kama mtu wa kuigwa ila kwa hili pengine na mengine tusiyoyajua, atakuwa amewaangusha vijana.
 
Haa ha ha jamaa alijiona mjanja kumbe Mwamvita mjanja zaidi, imekula kwake. Cha muhimu kama ana data basi ampeleke Mwamvita mahakamani wakamalizane.
Huyo jamaa nadhani ametapeliwa mwaka 2011/12 na kama angekuwa na ushahidi angekuwa ameenda mahakamani.

Kwa kifupi, tapeli ametapeliwa!
 
Back
Top Bottom