Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,907
Una maana gani kusema ni hazina kubwa? Hebu thibitisha hilo.Makamba ni hazina kubwa CCM ila anataka kuharibu sasa
Una maana gani kusema ni hazina kubwa? Hebu thibitisha hilo.Makamba ni hazina kubwa CCM ila anataka kuharibu sasa
Unaowaambia yote haya wanajitoa akili tu, wameshawahi wao katika maisha yao kukutana na hali za aina hii, sio wageni wa mazingira ya mtu kutumia fedha ya shemeji.Hilo ndio kosa kubwa la January, otherwise hakuna mtu mwenye akili timamu angeona kosa la January hapa, kwa heshima za kiafrika ni dharau kubwa kumdai kaka pesa ulizomuhonga dada yake ukiwa kwenye mapenzi nae.
Sasahv Makamba anatafuta watu wa kuwaset wamtetee na labda hata anawaahidi donge nono. Hii nchi mara nyingine ina mambo ya ajabu,kwanini asichukuliwe hatua mara moja kama wengine?habari ya mjini! jibu hoja hapoo juu kuna member anauliza wakina makamba wana majumba ya kupanga pesa wametoa wapi?(sio mimi fatilia mjadara!)
pili katika ili waziri makamba ajitokeze aseme kama anazaririshwa? we habari ya mjini ni nan wake?
Thanks a lot my sweet= gharama
Afukuzwe kazi kwa kosa gani hasa?
Hiyo vita waachieni wenyewe ni mambo ya siasa na maslahi binafsi ya wanasiasa kama mjuavyo siasa za ki afrika nyingi viongozi wanakuwepo kwa maslahi yao na familia zao wala sio kwa ajili ya wananchi wao na maendeleo ya nchi.
Naanza kuhisi uwepo wa majungu na visasi kwenye hii so called kashfa.
Lakini ngoja nisubiri zaidi nione kama kutakuwepo na developments zozote zilizo na mashiko kabla sijatoa mkataa wangu.
Mkuu najua Baba ke mgosi, je bald man mamake ake mhaya?Jimboni Bumbuli uchaguzi wa 2015 mgombea wa CHADEMA ndiye aliyekuwa nyota yao, mpiga madili akacheza na kura alizopata zilizidi hata idadi ya wapiga kura. Chezea mixture ya Msambaa na Mhaya wewe.
Kwa mtindo huu hatuwezi kuendelea, tutabaki makondoo tuu, je ukiwa mleta tuhuma anakisasi na makamba!KAMA JIBU LAKO NI NDIYO WEKA "N" NA KAMA JIBU LAKO NI HAPANA WEKA "H".
Hawa wapumbavu wanaowadhalilisha waswahili hapa wanakaa kwenye miji ya waswahili . Kama kweli mnawachukia na kuwatusi waswahili rudini makwenu.
Nani kipenzi cha wote? Acha kupotosha.Acha the bald head asemwe na avuliwe nguo. Yani malipo ni hapa hapa duniani. Alivyokuwa mstari wa mbele kumuaibisha mzee wetu ngoyai kipenzi cha wote yeye na kampani yake alizan yuko salama. Wametumia mabilioni ya walipa kodi kumtukana EL.
Hebu twende taratibu na bila mihemko umeiona na kuisikiliza clip ya January? Itafute utajiona ulivyo juhahii taarifa ni ya kipuuzi inayojadiliwa na wapuuzi kama nyie pesa apewe dada lawama ziende kwa kaka nyie punguani kweli
Still january ana kiburi cha atafanywa nini maana ndie alikua mastermind wa michongo mibovu ya kummaliza lowassa na ni kama vile Magu azungushi kwake, ni sawa na hausigel kakufumania na mchepuko aaf kapika msosi mbichi utamfukuza au utamwachaJanuary kakubali alipokea pesa na dada yake kakubali sauti ni yake na anadaiwa na huyo mzungu. Wapo wapi wale Condom waliokuwa wanatetea jana hapa nakumtukana Mange ??? Kama mnampenda Kipara mshaurini aache madili machafu.
Duc in Altum
Hivi Kimambi alijiua kwa kunywa sumu au alijipiga risasi?Ndiyo upo right kabisa,ni yeye