Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Transparency na Good governance iko wapi tz??

Mpaka muda huu Makamba ametoa neno lolote?? Au kapuuzia hizi habari??
 
Maskini Makamba usikubali kujihuzulu mkuu mpaka idhibitike ni kweli
 
Mkuu Ni kwenye mada kama hizi unajua uwezo wa wabongo kupamabanua mambo Bado mdogo sana hadi inakatisha tamaa. Watu wamerukia sababu ya Mange ila wengi hawajui huu mradi ulisainiwa lini, nani, kwa shingapi na kwa masharti gani
Hata vipi haina maana kama mambo ya ufisadi hayawezi kuingizwa sio lazim mikataba ya ujenzi, kuna sub contracts kama za Supply Chain, Logistics, Consultancy, Marine Engineering, Ufundi umeme, Safety Management, Installations, hata huduma amabazo Bongo hazipo.
That even solidifies my claim
 
habari hii iwe ya kweli au uwongo, uyo mange hana cha kupoteza kwa hili,cha muhimu January makamba ajitokeze kutoa maelezo yake naye tumsikie.
 
DUUUH!!!! mwamvita kakubali ni sauti yake-anadai matapeli walim set up- Magufuli sasa yuko njia panda kichwa kinamuuma
 
Mkuu wa kukunja nne
1.JPG

1.JPG


1%2B%25283%2529.JPG


Leo nne haikunjiki. Usicheze na vichaa.

2.JPG
 
Nilivyoelewa mimi ni kwamba huyo Muitaliano aliahidiwa kupewa hiyo tenda ili tu atoe pesa na akatoa hiyo 100M dollars ilihal hiyo tenda walishapewa wengine.

Unazijua 100m$ ?
Ujinga mtupu....
 
Ulofa tuache ndio maana tunaendelea kuwa maskini. Just because main contractor is China doesnt mean all tenders are handled by the Chinese. Simenti Chuma kokoto mchanga usafirishaji nk hizi zote ni tender za mabilioni unless wachina wataleta kokoto kutoka China. Na kama ni kweli huyu Mwitaliano alitoa hongo kwa kina Makamba kupata contract thats corruption.

Sasa tutajie huyo mtaliano jina lake nani na ana toka kampuni gani kule italy ambayo ni kinara wa kujenga bandari
 
Maelezo aliyotoa Mwamvita kujitetea kwenye page yake instagram yanaonyesha kuwa audio ni ya kweli, nashangaa kwann kuna watu humu wanakomaa kusema sio ya kweli. Yeye anajitetea kuwa aliulizwa maswali ya mtego akajichanganya jambo ambalo hata mwanangu wa miaka minne hawez kuamin. Tuwe wapole mambo yatakuwa wazi tu na kuna kila dalili kuwa jambo hili ni la kweli. Mange anatumiwa na watu ambao wapo smart na wana taarifa nyeti kwa kuwa ana ujasiri na hayupo nchini.

Duc in Altum
 
@Regrann from @mangekimambi_ - Okay Jibu tumelisikia. Tulikuja tumejipanga! So what lie is this??? Stay tuned! .
This saga just started! Give me a few days nimalize holiday nirudi Los Angeles then nipresent the evidence in a proper professional way! The blog is coming back up Ili clips ziwe zinacheza full! Plus screan shots za emails! .
.
Ni hivi, soon huyo Mwamvita hatoongea Na media yoyote ile! The evidence will speak for itself! Their personal relationship , yeye na mlalamikaji has nothing to do with the evidence that will be presented out here!! .ni kama evidence niliyoweka Leo, Hivi haya maongezi yanahusiana nini na wao kuwa wapenzi?? Seriously? Listen to these clips again? Wasipoteze lengo! .
.

Again I'm getting the backlash kuwa we were once close friends, I shouldn't do this! Listen guys, kakake aliponiweka ndani mlienda kumkumbusha Mwamvita Kuwa Mange was once your friend Mwambie kakako amtoe Au Mwambie kakako asimsumbue Mange ? Mbona Ndo kwanza walikuwa wananicheka na kutuma Waume zao walete viuno vyao pale Oysterbay wahahakikishe nalala ndani?? mmesahau mume wa Kiki, Yule Maliq alikuwa pale Oysterbay Police anafurahi nimelalala ndani? That time mlisahau kuwakumbusha wasinitese coz we were once friends? Leo nimeletewa issue Yao Ndo mnanikumbusha Mimi eti niache coz they were once my friends???? They were ready to see me go to jail, mngeniCha tu! Uzuri Ni kwamba Mimi siongei chochote wala si tiii chumvi all I will do is present the evidence then tuone serikali yetu itachukua hatua gani! Maana manesi Sasa Hivi wanafukuzwa Kazi Kwa kuuza gloves za Shingi 500, Juzi Waziri Mkuu kamfukuza Dr Kazi Kwa kuchukua rushwa ya laki moja Ili amfanyie mgonjwa Operesheni lets see hawa waliokwapua mabilioni watafanywa nini!
.
.
By the way silipizi kisasi , this is me being a great citizen! Angekuwa Mtu mwingine ningefanya Hivi hivi, but the fact that walishangilia shida zangu has made it easy for me to stand up and make sure Watanzania wanaujua ukweli......mnanijua Jamani hii issue ningeletewa hata Kama ingemuhusu kiongozi gani serikalini ningeilipua tu! It has nothing to do with my past association with them. [HASHTAG]#Regrann[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom