Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

Kama issue hii ni kweli basi huyo Muitaliano atakua bonge moja la fala

Unawezaje ku deal na more than 10b usd kijinga jinga namna hiyo?
Hata historia yake hufatili anakurupuka tu kumwaga mihela wakati deal ilishafikiwa makubaliano toka 2008
Hii ishu ipo kimbea zaidi sababu katoa huyo Mange, sijawahi kuona mfanyabiashara hata wa mkaa anahandle business kiholela hivyo. However, kina Makamba Bado wana makosa kama walitaka tumia fursa kumlaghai mtu kwa kutumia dhamana ya vyeo waliyopewa
 
Kikwete na Rais wa China walisaini mkataba 2008 deal la $10bil za mkopo kwa sharti la contractor atoke China na Oman, Ni mtu mjinga kiasi gani anaweza ingia mkenge kwenye hili.. Kuna kitu hakipo sawa hapa siwatetei wala simkubali January ila kuna kitu hakipo sawa kabla hata ya kuongelea ishu yenyewe.

Kwenye voice note jamaa anasema alitoa couple hundred thousand ili Mwamvita akamfanyie bid kwa mawaziri. Mwamvita anapewa pesa kama nani? Kama huyu sio mfanyabiashara wa hovyo ever I don't know who is
Labda kama alitaka kufanya biashara ya kununua mananasi bagamoyo lakini siyo kujenga bandari..yani mtu mmoja na kikamini chake ajenge bandari? Watu wanajua ile bandar ingegharimu kiasi gani cha fedha?
 
NITAKUWA! domo kaya nisipo sema jambo juu ya ili!

kwanza Makamba, najua kama ni kweli basi sasahivi unahaha pamoja na usalama wa taifa wasio jua umuhimu wa kazi yao, kumtafta hyu dada.

pili naomba usalama wa taifa mmtafte hyu dada awape ushaidi, na mmperekee Magufuli amtumbuie mapema, iwezekanayo ili ni jipu jipya haraka lintakiwa likamuliwe haraka.

Makamba najua umo humu ndani jitokeze haraka ujisafishe na kashifa nzito mwanaccm ovyo wewe kijana ushakuwa na tabia za mijizi ya ccm ile mikubwa? toka ewani uongeee.

tatu jkuzulu nafasi uliyonayo urudi shule na ukimaloiza shule usije tanzania, bakia nje usje mwizi mkubwa(lakini kama kweli rafiki yangu mpenzi)
Acha jazba na upunguze mihemko kijana..!!
 
Osie mbwanga ywa Bumbui haya onga.Inu nkasheshe na shoni hati nkwei.Avya utetezi wako ushe tiuone.Nna wasi wasi,Magufuli neakuhonye kwei.Eka tiwee.
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.

Jaribu kupitia..

(Mazungumzo ya Sauti yameambatanishwa)

005b63a5fa8710a5ceac0c39f51af7d0.jpg
 
Mkuu kama wanashindwa kukuelewa achana nao mi nishawaambia hatuzifanyii kazi taarifa za majungu yaani tunazitupa tu kwenye dustbin.
Inaeleweka, maana ile ya lwakatare ilikuwa genuine ila hii ni majungu. Msipoifanyia kazi nyinyi vichwani mwetu itafanya kazi. Alieleta mada anafahamika, na ishahidi wake kaweka, na kajieleza kama atatoa ya ndani zaidi. Sasa huo umbeya unatoka wapi.
 
Labda kama alitaka kufanya biashara ya kununua mananasi bagamoyo lakini siyo kujenga bandari..yani mtu mmoja na kikamini chake ajenge bandari? Watu wanajua ile bandar ingegharimu kiasi gani cha fedha?
Mkuu Ni kwenye mada kama hizi unajua uwezo wa wabongo kupamabanua mambo Bado mdogo sana hadi inakatisha tamaa. Watu wamerukia sababu ya Mange ila wengi hawajui huu mradi ulisainiwa lini, nani, kwa shingapi na kwa masharti gani
 
Twende taratibu. Siwatetei I'm just being objective, inawezekana wana Mabaya yao ila kwa hili la bandari liko wazi sana

Mkataba wa kwanza ulisainiwa na maraisa wa Tz na China mwaka 2008 kwamba bandari itajengwa kwa $10bil ndani ya miaka7 sharti Lazima iwe kampuni ya ujenzi itoke China na wataalam wengine kutoka Oman. Mkataba ulikuwa straight forward hapo. Kwa mkataba huu Ni nani anaweza kuingia mkenge wa kutaka kubid tenda ya ujenzi
Oman ni investor 20% sio mkandarasi msijisemee tu.
L
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.

Jaribu kupitia..

(Mazungumzo ya Sauti yameambatanishwa)

005b63a5fa8710a5ceac0c39f51af7d0.jpg
Hawa kina Makamba wana nyumba za kupanga Dubai pesa wanatoa wapi ? Kama sio serikalini ?
 
HAPA! ndipo tunapotoutiana na mashabiki wa wezi wa nchi hiiii!, hakuna cha jaziba kama ni kweli, atua zichukuliwe siku hizi hatusubiri mpka nyinyi mashabiki wao mchakachue madukument, tunawawai kabla hamjaficha, maana mpo mliofundishwa kuficha ukweli kwa maslai yenu binafsi imekula kwenu hyoooooooooooooooo
 
habari ya mjini! jibu hoja hapoo juu kuna member anauliza wakina makamba wana majumba ya kupanga pesa wametoa wapi?(sio mimi fatilia mjadara!)

pili katika ili waziri makamba ajitokeze aseme kama anazaririshwa? we habari ya mjini ni nan wake?
 
Paid to clean
 
Tulisema Magufuli aachane na mawaziri waliokuwa kwenye serikali ya Kikwete kwa kuwa wanafanana na baba yao.Unaona sasa wanavyomtia aibu.Aibu hii sijui ataiweka wapi.Ngoja tusubiri tuone atafanya nini.
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.

Jaribu kupitia..

(Mazungumzo ya Sauti yameambatanishwa)

005b63a5fa8710a5ceac0c39f51af7d0.jpg
 
Uongo mwengine hauna hata mshiko.
Hata kama kuna voice note..watu wanateng.eneza kuchafuana
Bandari ya Bagamoyo inahusu nini Italy.
Mradi ule upo wazi ni katia ya Serikali ya TZ China na Oman funds...na contractor ni wachina wenyewe wanao fadhili....
Uongo mwengine bwana...na watu kwa chuki wanakubali kula ndoana ya uongo.
Basi hata hamutafuti historia ya kujengwa bandari ya bagamoyo?
Sasa huyo mtaliano anahusu nini ? Hata akilini haingIii.
Huyu mwanamke mange ni muongo sana na hupendda kutukana watu na kuchafua watu bure....anafanya hayo akiwa nje ya nchi....
Ni mjuba kweli kweli akianza kutukana basi utafikiri hana vocublary nyengine isipokua matusi.....namna alivo mtukana Hoyce Temu na kumdhalilisha hafai kabisa kushabikiwa...
Hebu tulia!

Vyombo vinavyohusika vifanye kazi. Hiyo ni taarifa lazima ifanyiwe kazi.
 
habari ya mjini! jibu hoja hapoo juu kuna member anauliza wakina makamba wana majumba ya kupanga pesa wametoa wapi?(sio mimi fatilia mjadara!)

pili katika ili waziri makamba ajitokeze aseme kama anazaririshwa? we habari ya mjini ni nan wake?

Dada mtu naona kaanza kujisafisha taratibu huko Instagram
 
jamani,hivi Instagram unaingiaje?naona kama napitwa na mambo na nikishaingia akina mange nawapataje? msaada wa haraka please
 
Back
Top Bottom