binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,419
- 41,951
Wanawake ndo mmekosa maadili ndo maana mnaishia kubakwa na kufanyia mambo ya ajabu.
Asiye na maadili ni yupi? Aliyebaka au mwanamke anayefanya mambo ya ajabu au wote? So why you called out a woman huyu mwingine ukam-reserve… what does this tell about you.?
As a christian woman who wears baibui/dashdash sometimes , i can atest to this.. kuna almost equal number of being hitted by men, kama tu ukivaa kawaida, kama tu ukivaa shorts, Tofauti ni makundi ya wanaume, kila mtu na kundi lake anachagua mwanamke aliyevaa kwa anavyopenda yeye. Kama unaelewa nachozungumza ni kwamba: Mavazi hayamkingi mwanamke kutoka kwa predators. Ndio maana kuna kundi lingine la watoto wa kike/kiume na wazee wanaobakwa, kule kwa taliban wanabakwa, vitani wanabakwa (wanawake wamekonda na kupauka bado wanabakwa)Mwanamke anayejiheshimu hata wanaume huona haya kumwendea.. Ni nyie ndo mmekosa tabia nzuri, mnavaa nguo za uxhi mnategemea kuleta picha gani kwa jamii?
Kutumia mavazi kujustify vitendo vya udhalilishaji ni kuchagua njia rahisi ya kutokea, sheria kwa kulijua hilo haijaweka hii excuse.
Rudi kwenye mada.