Wanaume acheni kudhalilisha miili ya wanawake

Wanaume acheni kudhalilisha miili ya wanawake

Sikuungi mkono,mavazi ya wanawake yasio ya heshima ni chanzo cha kudhalilishwa kwao,ingawa sisemi mara zote ni mavazi kuwa ni chanzo,nimeshakutana na hili jambo,mwanamke mtu mzima tena sio kwa bahati mbaya,amekaa chini kapanua miguu chupi inaoneka barabarani,na akaniangalia akacheka kuashiria kuwa anjua anacho kifanya,huyu naye unafikiri akitokea mwanaume akimparamia utasema kadhalilishwa...
Mkuu, sio kwamba hawajui hawa viumbe

Mwanamke ni mtu mwenye akili na mind games hatari sana..

Hata kwenye ujasusi, anayetumika zaidi ni mwanamke... They know instinctively how to manipulate men.. But if you ask them how they do it.. Wanakuficha because as we know women never like to feed men's ego
 
Mzee acha kuleta habari za vichaa hata mbwa hawezi kwenda kubaka nguruwe
You see?umekubali kumbe wenye tabia hizo it's not about anaebakwa,iwe mbuzi or alievaa miniskirt, it's about tabia ya mbakaji sijui kama ni kichaa ila bora wewe umesema.

Kutamani mwanamke sababu ya nguo fupi aliyovaa au urembo wake it's acceptable na urijali,but kumshika bila ruhusa yake hilo Tatizo la akili na uhalifu..

Mwaka 2012 Swaziland walipitisha sheria kua wanawake wanaovaa nguo fupi wakamatwe sababu wanachochea vitendo vya ubakaji..

Comedian Trevor Noah akatoa skit ya ku mock sheria hiyo akisifia,alisema.

"Nimefurahi sheria hii kupita pia serikali isiishie hapo,ikamate na wazazi wanaozaa watoto wakike sababu kuzaa watoto wa kike wanawapa vishawishi molesters"..

Mkuu post zako nyingi sana unakua na SELF SERVING BIAS kwamba kama unakosea au unatabia mbaya always unatafuta mazingira ya kumlaumu mtu mwingine kwa ulivyokua,ila sio wewe mwenyewe,.

Post inahusu wanaume kushika wanawake na kubaka,Jambo ambalo wote tunakubaliana sio zuri,,Why ghafla maada inahamishwa kwenda kwenye Sababu zinazopelekea watu kubakwa?
That's a whole different matter to discuss.

Huwezi kujizuia kudinda ukiona big ass kwnye dela,attraction is involuntary feeling.,
Sexual touching is a behavior..

Mtaani kulikua na jamaa kazi yake kushika wanawake matako,tunafahamiana nae vizuri tu,siku moja watu wamepiga kama mwizi kidogo wamuue..

So Mkuu hiyo ni Tabia ya watu,haina uhusiano na mavazi,.
Like matajiri wakitumia mali zao wanaku provoke uwaibie??.

The old book katika kitabu cha
Mithali 6:16–19 inasema,

"Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana, naam,saba ni chukizo kwake,
Macho ya kiburi,ulimi wa uongo, na mikono imwagayo damu isiyo na hatia;
Moyo unaowaza mawazo maovu, miguu iliyo na haraka kukimbilia maovu..
 
Mkuu acha porojo
Wewe ni mnyama, na hata kama una akili ila dopamine levels ziko exeed unaishia kufanya ambayo hukutarajia

Ingia ndani na pisi alafu ianze kukutomasa then uje na hizo theories zako hapa.

Wacha kubisha swala lilio wazi.
 
Mimi kua Mnyama biological Yes,but tofauti na wanyama wengine nina abstract reasoning,.najua nini zuri na nini baya.

Nina sexual desires,,hasira,upendo chuki,,roho mbaya,but yote hayo yapo chini yangu naweza ku regulate all impulses and to choose how I act..
 
Haya baki na demu ndani alaf awe kavaa hizo nguo uone kama hautamla.

Acha kuleta reasoning kwenye swala kama hilo. Ni sawa inawezekana kwa muda ila unajua impact yake..

Usihalalishe jambo liko wazi
 
Kama matukio ya ubakaji sababu ni nguo basi jamii za kimasai, kimang'ati, kisandawe, Asia, Ulaya na America wangekua wanabakana hovyo kama kuku, na vipi wale wanaobakwa wakiwa wamevaa magauni na masketi ya kuburuza?
mwanaume mwenye afya njema iliyokamilika na akili timamu unapataje wazo au nguvu ya kumbaka mwanamke au mtoto? wewe una tatizo na tatizo hilo sio dogo unapaswa ufungiwe jela tutokomeze kizazi kisichojielewa
Wapo walioumbwa wakaumbika, kuna wengine ata wakiwa kama walivyozaliwa hawatamaniki, mwanamke mwema mwenye akili kichwani na anayejitambua, lazima ataheshimu hisia za wengine kwa kuvaa mavazi ya heshima yasiyoleta ushawishi au vikwazo kwa wengine.​
 
Unazungumzia jambo la kufikirika lisilo na uhalisia, kusema wanawake wanajielewa ni sawa, but sio wote ndio maana mdau pale juu kanipa kesi ya Zimbabwe mdada alimbaka mtoto wa kiume, hii ni fact sio issue ya kusadikika kama unavyojibu hapa.

So, still i believe, sababu kuu ya ubakaji ni ya kibiolojia inayochangiwa zaidi na maumbile, sasa kama nyie hamna maumbile kama yetu huwezi kujibu hii issue kwa ufasaha, utajipendelea tu.
Unaniaminisha wanaume hawana akili ndio maana wanabaka? unajua unashangaza sana unaongelea kitendo cha kubaka as if ni kitu cha kawaida cha kufurashisha ambacho mwanaume yoyote kwa kua ana maumbile wezeshi basi anatakiwa akifanye kwa mwanamke, kwanini usimtongoze akikuelewa muende mkatiane kama watu wazima wanaojielewa, kwanini umbake? kumbe wewe huna akili namna hii!!!
 
Na wewe fikiria dysfunction kwa bigger picture... Inaanzia kwenu wanawake... Msio na heshima kwa waume zenu...

Unampa trauma mwanaume anaenda kubaka mtoto mdogo.

Yaani nyie huwa hamjui ya kuwa nyie ndo nurturing gender?

Umeshawahi kusikia msemo unasema mwanamke akisoma jamii imesoma? Mzizi wa fitna na mbomoko unaanza kwenu nyie wanawake wabishi wabishi mlio tumia elimu zenu kuuza ego uchwara..

Nyie ndo mnaosababisha jamii iteseke.
Ila sikushangai malezi yako hayakua mazuri ulisema mwenyewe, 🚮
 
Back
Top Bottom