Wanaume acheni kudhalilisha miili ya wanawake

I wonder kama wanawake mngekuwa na maumbile ya kiume, ndio tuseme dunia ingekuwa salama zaidi?

▪ Anyway sitetei ubakaji.

Najaribu kufikiria kama mtu mwenye maumbile ya tofauti anaweza kuwaza nje ya box, akajiweka kwenye position ya hao anaowaponda.

Sio unawaponda hao kwa kujifikiria wewe kwenye nafasi uliyopo, that's easy; kwasababu naamini kama nyege wote tunazo kwa kiwango sawa tu...

Sasa tofauti yetu inakuja wapi?!

Binafsi sijawahi kusikia mwanaune kabakwa na mwanamke, why.. sababu ya kimaumbile.
Wapo jinsia me wanaobakwa. Mfano ukifanya sex na mwanafunzi nimkesi ya ubakaji bila kujali jinsia. Kuna mwalimu wa kike mmoja hivi uko zimbabwe nafikiri, miezi kadhaa iliyopita ilivuja sex tape yake na mwanafunzi wake. Last time niliona taarifa mtandaoni amekamatwa na kufikishwa mahakamani
 
Kuna siku nilikua natembea kariakoo, nipo zangu hima hima natafuta kitu, khe saa ngapi mtu hajanidaka mkono eti "white nimekupenda sana" alooo alikula makonde ya uso hajakaa sawa nikamsindikiza na teke kali la kende, wenzie wakaanza kushangilia,
Mtu hawezi kunigusa bila ridhaa yangu hata siku moja.
Usinikumbushe mimi nilipelekwa kituoni🤦🏽‍♀️
 
Kuna tatizo gani mtu kuvaa anavyojisikia yeye kuvaa? yaani yeye akivaa sketi fupi wewe unapungukiwa na nini kama sio tatizo la akili ulilonalo
Kama hauoni kuvaa nguo fupi ni kichocheo cha vitendo vya ubakaji mbona ni jambo rahisi tu. Nyie vaeni nguo fupi na hao wabakaji waendelee kuwabaka. Lengo si kuonyeshana nani mjuaji bwana.
 
Guys, wallah leo nimechafukwa sana ukija hapa uje na akili timamu, nina kirungu changu ukileta uzwazwa nakubwenga cha utosi akili ikukae sawa,

Matukio ya ubakaji wanawake na watoto wa kike ni mengi hadi natetemeka lakini haya yote yanaletwa na wanaume wapumbavu wanaoangalia mwili wa mwanamke kama chombo cha starehe,

Hivi nyie wanaume miili ya wanawake ina tofauti gani na yenu? ile kujazia jazia hata nyie mmejazia, wembamba hata nyie kuna wembamba, manyonyo hata nyie kuna wenye nayo, nini shida jamani mbona mnatukosesha amani wanawake?

Mwanamke akivaa kiguo chake kifupi atembee kwa raha zake inakua gumzo lakini mwanaume akivaa kiguo kifupi husikii kabakwa au kadhalilishwa, miili mbona ni ile ile tu,

Mbona watu wa zamani walikua wanaishi uchi na hakukua na matukio ya ubakaji wala udhalilishwaji, hiki nini mnafanya nahisi hadi kichefu chefu,

Ifike mahala sasa tutaichukua heshima yetu kwa nguvu, haiwezekani kila siku nyinyi tu, kuna wengine humu humu hizo tabia chafu mnazo, unajisikiaje kushika titi la mwanamke bila ridhaa yake au kushika tako la mwanamke ambaye huna mahusiano nae?,

Hakuna mwili unaohalalisha ubakaji,
Hakuna vazi linalohalalisha ubakaji,
Hakuna tabia inayompa mtu haki ya kuvuka mipaka ya mwingine,

Tujenge jamii inayohehimu wanawake bila kufanya miili yao kua sababu ya lawama au udhalilishaji,

Nikisema hii gender ifutwe naitwa feminist.
Kwa mwanamke mtu mzima hakuna mwanaume anaweza kukubaka kama wewe mwenyewe haujajiweka kwenye mazingira yanayoruhusu kubakwa. Kuna sheria nyingi zimewekwa kuwalinda wanawake, lakini ulinzi mnaopewa na jamii na sheria haimaanishi kwamba ndio mmpewa ruhusa ya kujipeleka kwenye hatari. Ukivaa nguo zisizo za heshima utabakwa tu. Ukijiweka kwenye mazingira yanayoruhusu kubakwa utabakwa tu
 
Wapo jinsia me wanaobakwa. Mfano ukifanya sex na mwanafunzi nimkesi ya ubakaji bila kujali jinsia. Kuna mwalimu wa kike mmoja hivi uko zimbabwe nafikiri, miezi kadhaa iliyopita ilivuja sex tape yake na mwanafunzi wake. Last time niliona taarifa mtandaoni amekamatwa na kufikishwa mahakamani
Mwanamke akimfosi mwanaume kufanya mapenzi kwa nguvu,,kisheria sio ubakaji,hiyo inaitwa sexual offense or assault,.sababu RAPE specifically ni penetration by a penis..maneno tunayotumia mtaani na yanayotumika katika sheria ni vitu viwili tofauti,.
 
Guys, wallah leo nimechafukwa sana ukija hapa uje na akili timamu, nina kirungu changu ukileta uzwazwa nakubwenga cha utosi akili ikukae sawa,

Matukio ya ubakaji wanawake na watoto wa kike ni mengi hadi natetemeka lakini haya yote yanaletwa na wanaume wapumbavu wanaoangalia mwili wa mwanamke kama chombo cha starehe,

Hivi nyie wanaume miili ya wanawake ina tofauti gani na yenu? ile kujazia jazia hata nyie mmejazia, wembamba hata nyie kuna wembamba, manyonyo hata nyie kuna wenye nayo, nini shida jamani mbona mnatukosesha amani wanawake?

Mwanamke akivaa kiguo chake kifupi atembee kwa raha zake inakua gumzo lakini mwanaume akivaa kiguo kifupi husikii kabakwa au kadhalilishwa, miili mbona ni ile ile tu,

Mbona watu wa zamani walikua wanaishi uchi na hakukua na matukio ya ubakaji wala udhalilishwaji, hiki nini mnafanya nahisi hadi kichefu chefu,

Ifike mahala sasa tutaichukua heshima yetu kwa nguvu, haiwezekani kila siku nyinyi tu, kuna wengine humu humu hizo tabia chafu mnazo, unajisikiaje kushika titi la mwanamke bila ridhaa yake au kushika tako la mwanamke ambaye huna mahusiano nae?,

Hakuna mwili unaohalalisha ubakaji,
Hakuna vazi linalohalalisha ubakaji,
Hakuna tabia inayompa mtu haki ya kuvuka mipaka ya mwingine,

Tujenge jamii inayohehimu wanawake bila kufanya miili yao kua sababu ya lawama au udhalilishaji,

Nikisema hii gender ifutwe naitwa feminist.
Serikali iingilie kati tu,
Unao watetea nao Tatizo wanapenda hayo mambo sana na wanatengeneza Mazingira wenyewe,

Pima pande zote kabla ya kukasilika then suggest solution.
 
Mwanamke akimfosi mwanaume kufanya mapenzi kwa nguvu,,kisheria sio ubakaji,hiyo inaitwa sexual offense or assault,.sababu RAPE specifically ni penetration by a penis..maneno tunayotumia mtaani na yanayotumika katika sheria ni vitu viwili tofauti,.
Kwa ile connection nillyoitumia kama rejea inaonekana yule mwalimu hakumforce mwanafunzi wake. Kosa lake ni kufanya sex na mwanafunzi. Hii ni sexual offense au rape?
 
Wapo jinsia me wanaobakwa. Mfano ukifanya sex na mwanafunzi nimkesi ya ubakaji bila kujali jinsia. Kuna mwalimu wa kike mmoja hivi uko zimbabwe nafikiri, miezi kadhaa iliyopita ilivuja sex tape yake na mwanafunzi wake. Last time niliona taarifa mtandaoni amekamatwa na kufikishwa mahakamani
Ok kumbe, sasa tujiulize, kama licha ya maumbile yao kutokuwa wezeshi sana kama ya wanaume lakini bado wanabaka pia, hata kama kwa kiasi kidogo ..

Vipi kama nao wangekuwa na maumbile kama ya wanaume, naamini hali ingekuwa hii hii iliyopo sasa, wanaume ndio tungekuwa tunawalaani wanawake kwa ubakaji.
 
Sij
Kwa ile connection nillyoitumia kama rejea inaonekana yule mwalimu hakumforce mwanafunzi wake. Kosa lake ni kufanya sex na mwanafunzi. Hii ni sexual offense au rape?
Sijajua Zambia ila kwa Tanzania na Marekani sheria zao nimesoma,Rape ni Gender specific..

Kwahiyo hiyo bado ni sexual offense,.hapo ndio watunga sheria walifeli sana,.nchi nyingi duniani mwanamke hawezi kubaka
 
Sikatai kuwa kuna wanaume wenye maadili 0, lakini hata sisi wanawake kuna muda tunavyojiweka ni chanzo kinachopelekea yote hayo.
This is what we call internalized misogyny effects.

Somehow somewhere unaamini mwanamke akivaa vibaya inahalalisha kufanyiwa vitendo vya uzalilishaji, bado hamjafahamu tatizo ninini na tatizo linaanzia wapi, unadhani katika jamii wanazovaa stara hakuna ubakaji? Kama upo unauelezeaje?

Ukiachana na wanawake kuvaa hovyo, watoto wadogo wa kike na wakiume wanabakwa kwasababu zipi? Vikongwe je? wanabakwa kwanini na wanabakwa nani?

Naelewa unakotokea, sio mara moja mtu kureport kufanyiwa udhalilishaji, mwingine tena mwanamke anauliza kwani alivaaje 😏 Normalize kudeal na tatizo na sio kumlaumu victim. Wabakaji watatafuta justification za kubaka kila leo hata kama jamii nzima tutakuwa tunavaa majuba.
 
Ok kumbe, sasa tujiulize, kama licha ya maumbile yao kutokuwa wezeshi sana kama ya wanaume lakini bado wanabaka pia, hata kama kwa kiasi kidogo ..

Vipi kama nao wangekuwa na maumbile kama ya wanaume, naamini hali ingekuwa hii hii iliyopo sasa, wanaume ndio tungekuwa tunawalaani wanawake kwa ubakaji.
Sheria zilitungwa kwa kumwangalia mwanaume kama predator na mwanamke ni harmless creature kwa mwanaume. Binafsi sidhani kama tafsiri ya kubakwa inatakiwa kuishia hapo hapo kwenye kuingiliwa tu. Hata anaeingiliwa pia anaweza kuwa mbakaji
 
Anaeingiliwa naweza kuwa mbakaji kwa maana ya kushawishi, lakini sasa kwa issue kama ya kubaka watoto hapo sioni kishwishi toka kwa mtoto.
 
Mwili wa mwanamke una nini cha ajabu hadi useme inaathiri asili ya mwanaume, hilo ni tatizo lako la akili lakini miili haina tatizo
Mwanaume mwenye afya iliyokamilika, akiona maungo au kuwekewa ishara ya kuona maungo, mwili wake bila hiari hutuma taarifa kwenye ubongo na kiungo husika kusisimka.
Kwa hiyo, kuvaa nguo za kutaka kutuonyesha maungo yenu, ni kutaka kuwasisimua wanaume ili wawape 'credit'.
Kujiheshimu ni kuvaa nguo za heshima ili usimkwaze mwingine.​
 
Back
Top Bottom