Ubakaji ni tendo hovu na linatakiwa liwe na sheria kali kudhibiti hususani kwa mabinti wadogo wanapitia hizi changamoto sana kwenye jamii na wengi wamekosa utetezi, kuna kituo cha kuwalelea watoto waliobakwa inatia hasira sana na inaumiza nafsi ,jaribu kutembelea hivi vituo vya namna hii utaumia nafsi wengi historia yao inamasikitiko so ni janga kweli kweli kwenye jamii ubakaji,
Lakini kuna hawa watu wazima hili naliona sana Dar uvaaji wenu sio wa kujistiri sana vinguo vifupi sana, nyonyi mnaziacha wazi kwa hilo moja kwa moja humletea mawazo mwanaume kuwa unataka mapenzi au unajiuza au unataka kutongozwa,so mdano unavaa hivyo na unatembea usiku ni hatari na huchochea tukio la kubaka maana kisayansi maumbile ya mwanaume hisia zake huja haraka kama akimuona mwanamke katika uchi au nusu uchi,au unakuta ni ndugu mnaishi nyie ni binamu halafu unapitapita na khanga moja umetoka kuoga unapita sebuleni serious haijakaa sawa,kwahiyo ili kuwa na jamii salama pia ni kuchukua tahadhari