Wanaume acheni kudhalilisha miili ya wanawake

Wanaume acheni kudhalilisha miili ya wanawake

Ila sikushangai malezi yako hayakua mazuri ulisema mwenyewe, 🚮
Don't attack someone because he's defeated you, huo ni pungu tu..

Sasa maisha yangu binafsi yanahusianaje hapo?

Unafikiri hata nitakuwa trigeered? My friend hizo game nishazicheza sana
 
Sasa kama wewe ni daktari professional yako haikufundishi kuhusu animalistic instincts? Kuna mmoja kule juu alisema tume gundua mavazi ili usiwe kama wanyama, ambao wanakimbiana kufanya mapenzi bila hiyana,

Sasa wewe na udaktari wako hata akili ya kujiongeza huna kweli Kujua ya kuwa mwanaume akiona huo upaja ana dindisha?
Weeh! Koma kuusemea udaktari na huo upupu wako, mwanaume rijali na timamu hawezi kubaka kisa kaona paja, bali atamfata mwanamke huyo na kumtongoza akikubaliwa ataenda kulipapasa hilo paja, akikataliwa atatulia tuliii
 
Wewe ndo unaishi kwenye mwili wa mwanaumen?

Ulisha wahi kuona dume la nguruwe linaomba permission ya kupanda jike?
 
Mkuu, sijahalalisha ubakaji kwa sababu ya mavazi, ukiangalia sentensi yangu nimeandika “Kuna muda” nilimaanisha hii pia inaweza kuwa ni sababu moja wapo katika sababu nyingi.
Hiyo "kuna muda" ndio msingi wa mada hii sasa, yaani mwanamke hata akivaa kichupi bado mwanaume hana mamlaka ya kumbaka, kwanini abakwe na sio kutongozwa? sijui kama umeshawahi kukutana na victim aliyebakwa, wengi wao wala hayo mavazi hawayajui, hatutakiwi kuwapa sababu hawa wabakaji yaani hakuna sababu yoyote duniani itakayomfanya mwanaume abake hakuna, ndio maana nikasema kama ishu ni mavazi mbona wamasai na wamang'ati hawabakani? manyonyo na mapaja yao yako wazi muda wote.
 
Nilimpiga mtu na simu kichwani akapasuka mchuzi huo hapo🤦🏽‍♀️

Kwa sababu alinishika nilipogeuka nyuma akaanz akunitusi kwa kunidhalilisha😒
Safi sanaaa, hakuna unyonge, mimi nilifundishwa self defence na baba angu, nakumbuka kuna siku nikateguka mguu kwenye mazoezi, enzi hizo sikuelewa baada ya kukua vizuri ndio nikaja kuelewa kwanini, mwanamke hatakiwi kukaa kinyonge kabisa kwenye hii dunia
 
Kijana hii mada achana nayo unajidhalilisha tu hapa na kuzidi kuonesha kwa watu vile ulivyo na akili kinukta
Usilete ujuha wa kuonesha unajua kumbe hujui... Soma human psychology na utagundua the human body is emotionally controlled first before the mind can cope..

Binadamu mara nyingi hudhani free will ndo kinacho drive kumbe ni feelings. We know that through addiction.. Akili huchukua emotions na kuunda uhalisia hata kabla hauja fanya maamuzi binafsi.. Self control inakuja baada ya ku master emotions..

Na uta master vipi emotions kama mazingira hayako conducive?

Unakuta mwanamke kavaa nusu uchi, unapadnwa na hisia, hiyo time frame ya kuchakata kwa watu wengine inakua na delays... Ndo maana hata maofisini kuna dress codes
 
Safi sanaaa, hakuna unyonge, mimi nilifundishwa self defence na baba angu, nakumbuka kuna siku nikateguka mguu kwenye mazoezi, enzi hizo sikuelewa baada ya kukua vizuri ndio nikaja kuelewa kwanini, mwanamke hatakiwi kukaa kinyonge kabisa kwenye hii dunia
Mimi nilikuwa na marafiki wa kiume! Aisee acha tu nipende vayolensi😎
 
Ukioma unabakwa kwa sababu ya kuvaa nguo fupi fahamu yafuatayo.
1. Umevaa vazi ambalo haliendani na mazingira uliyopo.
2. Upo kwenye tamaduni tofauti.
3. Upo na wrong company.

Huwezi kujiamulia tu kuingia na kimini chako matako wazi kariakoo au ukaenda uswahilini sana au ukaingia kwenye vilabu vya pombe huko ni kuhatarisha uchi wako.

Uhuru wowote una mipaka na mwisho wa uhuru wako unapoishia ujue ndio tamaa ya mwenzako inapoanzia.

Vaa chochote kutokana na mazingira

Mbona kanisani, misikitini au maofisini hasa ya serikali mnajisitiri?

Uchi ni wako ila una mipaka. Nenda uhamiaji na kimini chako kama utahudumiwa.
Nikienda uhamiaji na kimini changu nitabakwa? nikienda msikitini au kanisani au ofisi za serikani na kimini changu nitabakwa? nilikua nakuona zimo zimo kidogo kumbe ni wale wale,

Kwanini umnyime mwanamke uhuru wake kwa ajili tu mwanaume ana tamaa, hizo tamaa zake kwanini asioe akatulia na familia yake au kwanini asiende kwa wanaouza akanunua badala yake akabaka,

Na yule mtoto mdogo au mzee anayebakwa kosa lake ni nini?
 
Sikuungi mkono,mavazi ya wanawake yasio ya heshima ni chanzo cha kudhalilishwa kwao,ingawa sisemi mara zote ni mavazi kuwa ni chanzo,nimeshakutana na hili jambo,mwanamke mtu mzima tena sio kwa bahati mbaya,amekaa chini kapanua miguu chupi inaoneka barabarani,na akaniangalia akacheka kuashiria kuwa anajua anacho kifanya,huyu naye unafikiri akitokea mwanaume akimparamia utasema kadhalilishwa...
Yes kadhalilishwa tena huyo mwanaume anapaswa apigwe mawe afe, mwanamke kutanua mapaja yake hajakualika wewe ukambake, mbona wewe hukwenda kumparamia? kwanini na mwengine asifanye kama ulivyofanya wewe?
Kwanini mnajiona mpo special sana, hamuwezi kudhibiti tamaa na mihemko? ni lini mtastaarabika?
 
Usilete ujuha wa kuonesha unajua kumbe hujui... Soma human psychology na utagundua the human body is emotionally controlled first before the mind can cope..

Binadamu mara nyingi hudhani free will ndo kinacho drive kumbe ni feelings. We know that through addiction.. Akili huchukua emotions na kuunda uhalisia hata kabla hauja fanya maamuzi binafsi.. Self control inakuja baada ya ku master emotions..

Na uta master vipi emotions kama mazingira hayako conducive?

Unakuta mwanamke kavaa nusu uchi, unapadnwa na hisia, hiyo time frame ya kuchakata kwa watu wengine inakua na delays... Ndo maana hata maofisini kuna dress codes
Huna akili🚮
 
Huu ndo ujinga ambao si ukubali

Hata atheist huwa wanakimbia,

Hauwezi ku reduce argument kwenye logical consistency, maana binadamu hana ufinyu huo ambao unaufikiria

Yaani watu kama nyie endeleeni kuwa changanya wajinga we zenu tu.. Mnajua kabisa y'all the cause of this shit alafu kutwa mnakuja na manipulation za kumfanya mwanaume awe victim.

Nimekuuliza jukumu la ku nurture familia ni nani? Hata kwenye Bible aliyefanya Ufuska ni mwanamke periodt
Kivipi hapa mwanaume ni victim.

Unaelewa mada?
 
Kivipi hapa mwanaume ni victim.

Unaelewa mada?
We all know in every force there's an equal and opposite reaction kwanini umuattack men for the things you did indirectly?

Na kwanini ukimbilie logic ukiwa unajua how complex the issue is?
 
Sikuungi mkono,mavazi ya wanawake yasio ya heshima ni chanzo cha kudhalilishwa kwao,ingawa sisemi mara zote ni mavazi kuwa ni chanzo,nimeshakutana na hili jambo,mwanamke mtu mzima tena sio kwa bahati mbaya,amekaa chini kapanua miguu chupi inaoneka barabarani,na akaniangalia akacheka kuashiria kuwa anajua anacho kifanya,huyu naye unafikiri akitokea mwanaume akimparamia utasema kadhalilishwa...
Ndio atakuwa kadhalilishwa, Aspect muhimu ni kuwa mtu kukaa vibaya, kuvaa vibaya, kukuchekea si ticket ya kumbaka.

Nenda kamshawishi avue nguo mwenyewe akupe sex, au uende naye chemba ukamshike shike. Kukiwa na consent hakuna atakayekupigia kelele. Kikubwa uhakikishe hauko kwenye position of taking advantage of her (Mfano huyo ni mgonjwa wa akili/underage etc)

Hii ni ngumu kiasi gani?
 
Acha kukimbia biological evidence kwa kuangalia scenario zenye ukakasi..
Biological evidence yako ni ipi?

Kwanini tukatae kitu kilicho wazi?...

Hizo za wazee ni special unakuta ni kutokana na mila potofu au machafuko watu wanafanya kulipia visasi na kwaajili ya mchungu fulani
Huwa wanabakwa, wanabakwa na nani? Tunaamini vipi kuwa huyu anayebaka kukiwa na machafuko/kulipa kisasi hawezi kubaka kukiwa na amani akiwa na tamaa zake?

Huoni tatizo enhe haya.
Linapokuja swala la bailojia nimekwambia hiyo psychology haina chance tena.. Utakataa kisa huna hoja.
Wewe sio unayeamua niwe na hoja au nisiwe nayo, walau kati ya watu 10 walioniqoute.
Usiwe mbishi kwenye hilo
 
Back
Top Bottom