Wanaume acheni kudhalilisha miili ya wanawake

Dr. Mariposa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,523
Reaction score
18,254
Guys, wallah leo nimechafukwa sana ukija hapa uje na akili timamu, nina kirungu changu ukileta uzwazwa nakubwenga cha utosi akili ikukae sawa,

Matukio ya ubakaji wanawake na watoto wa kike ni mengi hadi natetemeka lakini haya yote yanaletwa na wanaume wapumbavu wanaoangalia mwili wa mwanamke kama chombo cha starehe,

Hivi nyie wanaume miili ya wanawake ina tofauti gani na yenu? ile kujazia jazia hata nyie mmejazia, wembamba hata nyie kuna wembamba, manyonyo hata nyie kuna wenye nayo, nini shida jamani mbona mnatukosesha amani wanawake?

Mwanamke akivaa kiguo chake kifupi atembee kwa raha zake inakua gumzo lakini mwanaume akivaa kiguo kifupi husikii kabakwa au kadhalilishwa, miili mbona ni ile ile tu,

Mbona watu wa zamani walikua wanaishi uchi na hakukua na matukio ya ubakaji wala udhalilishwaji, hiki nini mnafanya nahisi hadi kichefu chefu,

Ifike mahala sasa tutaichukua heshima yetu kwa nguvu, haiwezekani kila siku nyinyi tu, kuna wengine humu humu hizo tabia chafu mnazo, unajisikiaje kushika titi la mwanamke bila ridhaa yake au kushika tako la mwanamke ambaye huna mahusiano nae?,

Hakuna mwili unaohalalisha ubakaji,
Hakuna vazi linalohalalisha ubakaji,
Hakuna tabia inayompa mtu haki ya kuvuka mipaka ya mwingine,

Tujenge jamii inayohehimu wanawake bila kufanya miili yao kua sababu ya lawama au udhalilishaji,

Nikisema hii gender ifutwe naitwa feminist.
 
Damn,umenikumbusha kuna siku nipo kwenye mwendokasi kuna jamaa alikuwa anashikilia makalio ya mdada nkajua demu wake kumbe sio bhana aibu nkawa naona mimi, ule ni udhalilishaji ila wale madem walipotezea tu.
 
Haha eti nakubwenga 😂

Dr. We ni mzanzibar au wa mtwara?

Ndani ya mada: Wanawake/wamama tunakosea katika malezi ya watoto wa kiume, Familia na jamii haijawahi kum-reward mtoto wa kiume kwa tabia njema, ila akifanya malice ndio utasikia huu ndio uanaume.

Sitegemei matokeo tofauti ya yale yote yaliyofanyika katika makuzi.

NB: katika kundi hili kuna watu wamejielea wenyewe, wamejilea mtaani.

Btw, kuitwa feminist katika dunia ya sasa ni kitu bora zaidi kuliko kuwa pickmisha (internalize misogynists)
 
Tatizo mavazi mnayovaa, yamekaa kimitego na kuathiri asili ya mwanaume. Suluhisho ni kuboresha kwenye uvaaji wa mavazi, ndio maana nchi za kiarabu, wanawake wanahimizwa kuvaa yale magauni myeusi.
 
Nje ya mada,umenikumbusha movie ya Notting hill,Julia Robert anamuuliza William,

"What is it about men and nudity? Particularly breasts? How can you be so interested in them?

I mean, seriously they're just breasts, every second person in the world has them.they're odd looking, they're for milk,you've seen a thousand of them. What's all the fuss about??

Kwenye mada,is ubakaji ugonjwa wa akili au uhalifu??
 
Hakuna mwili unaohalalisha ubakaji,
Hakuna vazi linalohalalisha ubakaji,
Hakuna tabia inayompa mtu haki ya kuvuka mipaka ya mwingine,
Ni kweli hakuna mwili unaohalalisha hivyo ila kuna aina ya uvaaji inashawishi sana kufanywa hivyo hasa pale miili hiyo inapokutana na wanaume wasio tambua hilo
Nikisema hii gender ifutwe naitwa feminist.
Hiyo sababu haitoshi kuhalalisha Gender kufutwa. Na ni nani anaifuta kwanza?
 
Nje ya mada,umenikumbusha movie ya Notting hill,Julia Robert anamuuliza William,

"What is it about men and nudity? Particularly breasts? How can you be so interested in them?

I mean, seriously they're just breasts, every second person in the world has them.they're odd looking, they're for milk,you've seen a thousand of them. What's all the fuss about??

Kwenye mada,is ubakaji ugonjwa wa akili au uhalifu??
MPAKA NAJISHANGAA MAANA NIKIYAONAGA TU KWISHA HABARI...labda ni ile hisia ya kumuamini na kumpenda mama mzazi kwa wanaume hivyo jambo la kukumbusha hisia hizo ni nyonyo
 
Guys, wallah leo nimechafukwa sana ukija hapa uje na akili timamu, nina kirungu changu ukileta uzwazwa nakubwenga cha utosi akili ikukae sawa,

Matukio ya ubakaji wanawake na watoto wa kike ni mengi hadi natetemeka lakini haya yote yanaletwa na wanaume wapumbavu wanaoangalia mwili wa mwanamke kama chombo cha starehe,

Hivi nyie wanaume miili ya wanawake ina tofauti gani na yenu? ile kujazia jazia hata nyie mmejazia, wembamba hata nyie kuna wembamba, manyonyo hata nyie kuna wenye nayo, nini shida jamani mbona mnatukosesha amani wanawake?

Mwanamke akivaa kiguo chake kifupi atembee kwa raha zake inakua gumzo lakini mwanaume akivaa kiguo kifupi husikii kabakwa au kadhalilishwa, miili mbona ni ile ile tu,

Mbona watu wa zamani walikua wanaishi uchi na hakukua na matukio ya ubakaji wala udhalilishwaji, hiki nini mnafanya nahisi hadi kichefu chefu,

Ifike mahala sasa tutaichukua heshima yetu kwa nguvu, haiwezekani kila siku nyinyi tu, kuna wengine humu humu hizo tabia chafu mnazo, unajisikiaje kushika titi la mwanamke bila ridhaa yake au kushika tako la mwanamke ya kua na mahusiano nae,

Hakuna mwili unaohalalisha ubakaji,
Hakuna vazi linalohalalisha ubakaji,
Hakuna tabia inayompa mtu haki ya kuvuka mipaka ya mwingine,

Tujenge jamii inayohehimu wanawake bila kufanya miili yao kua sababu ya lawama au udhalilishaji,

Nikisema hii gender ifutwe naitwa feminist.
Wengine tukisema wanaosagana wauawe, tunaonekana tunavunja haki za binadamu.
 
Hata bandani kuku (mitetea) wakikaa pekee yao kunakuwa na ombwe ambalo jogoo pekee anaweza kuliziba ili kuleta uwiano wa nature. Ndivyo binadamu naye alivyo kama wanyama wengine. Sasa ili uwiano wa nature ufanyike kwa staha, ndio maana kukawa na mavazi ya staha na heshima ili kupunguza tamaa hizi za wanyama tulizoumbwa nazo.
 
Guys, wallah leo nimechafukwa sana ukija hapa uje na akili timamu, nina kirungu changu ukileta uzwazwa nakubwenga cha utosi akili ikukae sawa,

Matukio ya ubakaji wanawake na watoto wa kike ni mengi hadi natetemeka lakini haya yote yanaletwa na wanaume wapumbavu wanaoangalia mwili wa mwanamke kama chombo cha starehe,

Hivi nyie wanaume miili ya wanawake ina tofauti gani na yenu? ile kujazia jazia hata nyie mmejazia, wembamba hata nyie kuna wembamba, manyonyo hata nyie kuna wenye nayo, nini shida jamani mbona mnatukosesha amani wanawake?

Mwanamke akivaa kiguo chake kifupi atembee kwa raha zake inakua gumzo lakini mwanaume akivaa kiguo kifupi husikii kabakwa au kadhalilishwa, miili mbona ni ile ile tu,

Mbona watu wa zamani walikua wanaishi uchi na hakukua na matukio ya ubakaji wala udhalilishwaji, hiki nini mnafanya nahisi hadi kichefu chefu,

Ifike mahala sasa tutaichukua heshima yetu kwa nguvu, haiwezekani kila siku nyinyi tu, kuna wengine humu humu hizo tabia chafu mnazo, unajisikiaje kushika titi la mwanamke bila ridhaa yake au kushika tako la mwanamke ya kua na mahusiano nae,

Hakuna mwili unaohalalisha ubakaji,
Hakuna vazi linalohalalisha ubakaji,
Hakuna tabia inayompa mtu haki ya kuvuka mipaka ya mwingine,

Tujenge jamii inayohehimu wanawake bila kufanya miili yao kua sababu ya lawama au udhalilishaji,

Nikisema hii gender ifutwe naitwa feminist.
Akili ndogo kama chaja ya Pini ndogo
 
Back
Top Bottom