Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,652
Mimi hapa nadhani ni new generation maana ndo kwanza ninejunga miezi kadhaa ilyopita. Ila miezi hiyo nimejufunza mambo mengi sana kutoka kwa wadau wa humu na forum mbalimbali zanizopatikana humu hasa jamii intelligance forum ambalo limeniongezea uwezo mkubwa wa kufikiri na kufanya kuwasidia wazazi wangu mawazo mbalimbali ktk kuendesha maisha yetu. Improud to be here.........
ha haaa, ni leo tu nilikuwa nalifikiria hilo. lakini sasa avatar ninayoifikiria kuibadilisha ni bora ibaki hii babu watu washaizoea.
Me nitaomba msaada wako unichagulie.Hatimaye Husninyo naye aamua kuweka avatar, nimeipenda.
Me nitaomba msaada wako unichagulie.
BAK anawapenda woooooteeeeeee
CC:Keren_Happuch (Ni aje kingunge? 🙂🙂), @WomanofSubtance (Jirani wa ukweeee), Fixed Point (MSULI), Michelle (I miss you so much girl, I hope those beautiful angels are doing well), Ablessed, Mbu, Gaijin, FirstLady1, Neylu, BelindaJacob, sakapal, Nzi, VUVUZELA, Dr MziziMkavu, Heaven on Earth, farkhina, mimi49, NATA, Mr Rocky, Mentor, House Wife, Wacha1 snowhite, Nicas Mtei, kisukari, Karucee, Dingswayo, Nyani Ngabu, Belo, Peasant, Richard, Ngambo Ngali, Steve Dii, Sikonge, jmushi1 Chocs, afrodenzi, FaizaFoxy (Ajuza) Mtambuzi, gfsonwin, snowhite, Dark City, Heaven on Earth, KOKUTONA, amu, Mwanyasi, YNNAH, Smile, Jiwe Linaloishi, AshaDii, Maxence Melo, watu8, Cantalisia, sweetlady, Preta, Mamndenyi, Madame B, Kijino, cacico, Asprin, charminglady, Elizabeth Dominic, Kaunga, zion daughter, Arushaone, marejesho, Baba V, MMAHE, Asnam, christine ibrahim, Filipo, Remmy, Nivea, Ruhazwe JR, @C6, Kichwa mbovu, Kaizer, Husninyo, ladyfurahia, nameless girl, Arabela, Judgement, BAGAH, Erickb52, Crashwise, Mungi nitonye Kipaji Halisi, Lady doctor, Passion Lady, Ruttashobolwa, Superman, Bishanga, The secretary Rejao, boss, Mzee Mwanakijiji, Invisible na wengineo wote wa hapa jamvini.
Wee umemuona Tom hapo?
Hapo ni Jery na mchuchu wakiwa full malavidavi
Mwenzio nimepita kimya kimya....
Hayo mambo ya T and J nitayajulia wapi mtu wa 1947??
Ila kazi anayo Kongosho...
Babu DC!!
ouh ok!
mimi ni mke na ni mama pia wa watoto wawili.
enh......
watu8 Eiyer charminglady Passion Lady (huwa naipenda avatar yako imetulia). Sipendi kuwasahau kwatakia msimu mwema wa sikukuu za mas na mwaka mpya. Wish u all maisha marefu na mzidi kuziona nyingi zaidi wapendwa.
Hivi House Wife kwanini unaamua kuniharibia namna hii? Mabinti watajua wewe ndo nyumba ndogo yangu nikiwatongoza watanipiga chini.Hata mie sikuwa nikijua kama DC anaitwa babu kama Asprin.
Kwa kweli hata mimi ni miongoni mwa waliofadika na JF kwa mengi ya kufurahisha, ushauri, mafunzo, mapenzi, tiba, vituko na kila aina ya furaha.
Nawatakia wote sikukuu njema ya xmas na kila la kheri kwa siku ya mwaka mpya Mwenyezi Mungu atujalie tuuone mwaka mpya pa1 na kuumaliza pia pa1 na mingine zaidi na zaidi.
Zaidi jamani hawa ndio nimekutana nao kwa mambo kadhaa na nawapenda sana japo hatujuani Madame B BAK miss strong mimi49 babu Asprin Desidery The Boss na wengine wengi majina yamenitoka wapenzi. Kila la kheri kwa kila jambo, mmbarikiwe sana.