Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Last edited by a moderator:
ha haaa pole,
miss u too lil sis
sote tusherekee na kuupokea mwaka mpya kwa amani!
We si ni mzeee sana, au?
Itabidi na wewe nikuweke kwenye kundi la wachokozi....
cc: snowhite, Kongosho (siku hizi naye kawa kama zombie), Smile (naona kafishwa kiukweli kweli), Passion Lady, Evelyn Salt, Madame B...
Mzee mwenzagu Asprin atamalizia list..
Babu DC!!
af babu niombee msamaha kwa konnie haki walahi nilipokuwa naandika kwenye wale three famous Kaunga,king'asti nilijua nimemalizia na yeye!
sijui namubebeb mbeleko gani!
af ujue siku hiz amekuwa too sentimental zombie amefanikiwa kulainisha hii toto la kisukuma!kidogo watu wanapumua humu! Kongosho sweetie may i take this fursa KUKUKISS!
please!
:busu
Asikupe shida kabisa...siku hizi Kongosho amekuwa stingless bee...
Tutaongea naye kumpoza tu ila hata kumwacha hakuna madhara yoyote.
Sasa mbona hujaniunga mkono? Maxence Melo tunampatia zawadi gani ya kufungia mwaka 2013??
Hebu msaidie babu basi na wewe...
Babu DC!!
mmmmhhhhhhh mi ukiniambia zawadi sichelewi kusema tumnunulie mkanda wa suruali!
argh akili yangu haijakaa kizawadi zawadi leo!
hebu niulize kesho asbh hili swali babu!
Hahahahahaahahah,
Utasemehewa kwa sababu na wewe hujavuka Chalinze......
Kwani hujasikia kuwa uzee mwisho Chalinze....kule kwao na Babu Asprin nasikia wanaitana majina ya watoto wanaodeka deka...lol!!
Hata hivyo siamini kama Asprin anaweza kukubali hayo majina feki (sijui eti naye achekelee kuitwa baby???)
cc: King'asti
Babu