WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Jf kweli wengi imetufunza mengi.

Kwa sisi warandaji wa kila jukwaa ndo kabisa.

Kuanzia mmu.

Jf doctor, nimejifunza mambo mengi ya kiafya.

Jf chef, mapishi motomoto ya bi farhina na amu. Nawambia asante sana huo wote ni upendo, tunajiona kama ndugu au marafiki tunaojuana siku nyingi.

Mimi hupendelea sana kuingia kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko, kule tunapata mengi, latest news n.k. Ingawa kuna mengine ya karaha lkn still hainizuii kuendelea kuperuzi jf mana najua ni katika challenges za kujifunza na wala haigeuzi umoja wetu. Thanx to kahtaan Ritz FaizaFoxy @taleb THE BIG SHOW gombesugu Mahmood na wengi wengine, asante kwenu kwa ku share knowledge zenu na wanajf wengine.

Kwenye jamii intelligence nimejifunza mengi, maswali ambayo nlikua siyajui kabisa majibu yake, kupitia jukwaa lile nimepata majibu.

Mungu idumishe jf, asubuhi, mchana na usiku, na milele. Amin.

Kheri ya sikukuu za mwisho wa mwaka, na happy new year to all. In sha allah mungu atukutanishe tena mwaka ujao
 
Last edited by a moderator:
Mwenyezi mungu atulinde wote na kutupa salama tuweze kusherehekea sikukuu za Xmas salama na pia tuuone mwaka mpya kwa pamoja tukiwa na afya tele...
 
Dear hivi wewe ndie wa kuonewa wewe?! Lol haupo kwenye kundi la wanyonge bana!

Huu mtihani... Maana nilivyo ahidi vilivyo viingi! :A S 39:

Dada naona umenisahau ukanireply blank!
Babu Dark City kasema waja nifanye maandalizi
 
Last edited by a moderator:
Jf kweli wengi imetufunza mengi.

Kwa sisi warandaji wa kila jukwaa ndo kabisa.

Kuanzia mmu.

Jf doctor, nimejifunza mambo mengi ya kiafya.

Jf chef, mapishi motomoto ya bi farhina na amu. Nawambia asante sana huo wote ni upendo, tunajiona kama ndugu au marafiki tunaojuana siku nyingi.

Mimi hupendelea sana kuingia kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko, kule tunapata mengi, latest news n.k. Ingawa kuna mengine ya karaha lkn still hainizuii kuendelea kuperuzi jf mana najua ni katika challenges za kujifunza na wala haigeuzi umoja wetu. Thanx to kahtaan Ritz FaizaFoxy @taleb THE BIG SHOW gombesugu Mahmood na wengi wengine, asante kwenu kwa ku share knowledge zenu na wanajf wengine.

Kwenye jamii intelligence nimejifunza mengi, maswali ambayo nlikua siyajui kabisa majibu yake, kupitia jukwaa lile nimepata majibu.

Mungu idumishe jf, asubuhi, mchana na usiku, na milele. Amin.

Kheri ya sikukuu za mwisho wa mwaka, na happy new year to all. In sha allah mungu atukutanishe tena mwaka ujao

Al Habiby Angel Nylon,

Salaam za kheir na fanaka Insha Allah nawe zikufukie popote pale ulipo,Mola takuzidishia takrima na fadhila zilo nono kwa yoote mema ufanzayo!

Ndugu yangu,nakuhakikishia yakuwa hata nami nimefaidika/nafaidika mno kila nipatapo fursa kukusoma/kuchungulia japo kiduchu bayana/posts zako zilo adilifu...Shukran mno kwalo!

Tupamoja kwa saana tu!

Ahsanta sana.
 
Shukraan habiby, Mola atuzidishie upendo kwa ajili yake. Amin

(Hio Ahsanta umenirithisha hata kwenye mazungunzo ya kawaida nimeshazoea kuitumia.)
Ahsanta...
 
Babu Dark City kweli kabisa tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa wakati huu ambao bado anatuazima pumzi yake bure.

Pia kumshukuru Mungu pia kwa kutupa nafasi ya kutafakari matukio mbali mbali yaliyotokea katika maisha yetu mazuri na mabaya,,yote kwa yote tunafundishwa kushukuru kwa kila jambo.

Na tena kwa kutupa marafiki hapa JF na pia kwa elimu nafundisho na changamoto mbali mbali .

Kipekee namshukuru sana MUNGU kwa kila jambo na kwa kila changamoto niliyoipata mwaka huu hadi leo nikiwa hapa mbele ya key board.

Mwaka huu kwangu umekuwa na ups and downs za kutosha, but ki ukweli namshukuru Mungu kwa kunikutanisha na marafiki wa ukweli hapa JF, niliowaona face to face, na weengine just behind the keyboard. When i was down karibu ya kuzama kwa kweli mliniinua.MUNGU awabariki sana sana.
I will always love you ALL

To mention few in behalf Dark City babu yangu kipenzi, Mwanyasi, YNNAH, Arabela CHUAKACHARA, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Arushaone Preta, Blaki Womani, Lily Flower, erckb52 baba JR thanks for being a good father tom my son, IGWE, Liverpool FC, Filipo, marejesho, Kaizer, watu8, Madame B, Smile, AshaDii a woman i inspire the most, Mtambuzi, KakaKiiza, Nicas Mtei, COPPER, amu, @Nivfea, Fixed Point i always remember you my sister, ulikuwa unanifariji sana in my sand moments, Avemaria, BAK the BFFL, BHULULU, Fidel80, Baba V, mzabzab, gfsonwin, Simplicity, Tutor B, charminglady, sweetlady, Ladymasa, @C6, Vin Diesel Mentor, DEMBA wifi yangu, Mwita Maranya, lara 1, Ennie, zion Daoghter, babu Asprin, kaka Rutashobolwa na wifi yangu Passion Lady, Eiyer, Mr Rocky, Karucee, FirstLady, kiwatengu, shansharie, Mamndenyi, Jiwe Linaloishi, Mungi, Mkirua you are the best firiend, The Boss, kipipi, kokudo, Mutta, N-handsome, Negrodemus, zubedayo_mchuzi, nitonye, Bishanga, Mamzalendo, Mrembo by Nature, The secretary, Zinduna, Ablessed, Tuko Heaven on Earh, Lady doctor, Evelyn Salt, Mzizi Mkavu, Rweye, MAKOLE King'asti,
And many many more ambao sijawataja, I owe you my friendship.

Special thanks to JamiiForums FOUNDERS, Tanga Wing, Arusha Wing and Dar wing.

Nimejifunza mengi kutoka kwenu na nimepata mengi ya faida yatokanayo na posts/threads kwenye majukwaa yote.

Kwa kumalizia I just wish you a.......

2279231.jpg

FRIENDSHIP FOREVER
KOKUTONA

Pamoja sana mamaaa!
 
Mwenyezi mungu atulinde wote na kutupa salama tuweze kusherehekea sikukuu za Xmas salama na pia tuuone mwaka mpya kwa pamoja tukiwa na afya tele...

Ahsante sana @ Firstlady1.

Mbona umepotea sana?

Uwe na siku kuu njema pia.

Babu DC!!
 
perhaps am the last person and the last one expected to drop a line in this thread..................

Guys!!!!!!!!!!!!!

Mie sina mengi sana ila ukweli ninawamiss sana hapa jamvin, sijui nianzie wapi kuwaeleza jins ninavyo wamiss na ninavyomiss kampany yenu. Dark City babuuuuu nakumiss sana sana na ahsa nte sana kwa kunimention that shows how much you remember me. AshaDii dada mkubwa wa kindoa na DEMBA mdogo wangu nyie siwez hata kueleza jins ambavyo nawamiss na nawapenda sana sana ................. (naona zamu ya mdogo wangu imemalizika sasa hii iwe ni zamu yangu)

Myswtlo Kaizer nakupenda sana sanan and i mean what am saying. uwe na msimu mzuri sana wam sikukuu swtlo.
BAK, KOKUTONA Billie na woote mlionimention kwenye huu uzi nawapenda sana na nawatakia msimu mwema wa sikukuu.

BTW karibuni sana sana huku ipinga nilipo tufurahie upepo mwanana wa ziwa nyasa huku kwa wanayamanyafu.

Happy holidays
 
Ahsante sana teacher gfsonwin,

Nani kakupa ruhusa kufunga thread ya Babu?

Thie tipo hadi 2014,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi sana kupata mitazamo ya watu katika JF. Natazamia kuendelea kujifunza zaidi kabla ya kuanza kuchangia! Wana MMU wengi wamenigusa. It has been like I know them. They are actually wonderful even bila kuwaona.

______________________________________________________________________
''Without vision people perish"
 
perhaps am the last person and the last one expected to drop a line in this thread..................

Guys!!!!!!!!!!!!!

Mie sina mengi sana ila ukweli ninawamiss sana hapa jamvin, sijui nianzie wapi kuwaeleza jins ninavyo wamiss na ninavyomiss kampany yenu. Dark City babuuuuu nakumiss sana sana na ahsa nte sana kwa kunimention that shows how much you remember me. AshaDii dada mkubwa wa kindoa na DEMBA mdogo wangu nyie siwez hata kueleza jins ambavyo nawamiss na nawapenda sana sana ................. (naona zamu ya mdogo wangu imemalizika sasa hii iwe ni zamu yangu)

Myswtlo Kaizer nakupenda sana sanan and i mean what am saying. uwe na msimu mzuri sana wam sikukuu swtlo.
BAK, KOKUTONA Billie na woote mlionimention kwenye huu uzi nawapenda sana na nawatakia msimu mwema wa sikukuu.

BTW karibuni sana sana huku ipinga nilipo tufurahie upepo mwanana wa ziwa nyasa huku kwa wanayamanyafu.

Happy holidays

Happy holidays mammy
 
JF is THE BEST social network for me right nw...thumbs up every1,keep postin n commenting..t always makes my day
 
Asante sana Babu,kwakweli kuna haja ya kushusha pumzi.
Nashukuru sikukuu ilikua njema sana,japo kibaruani mda wote. Daladala hazina likizo.

Pole sana mkuu Speaker,

Jambo la kumshukuru Mungu kwa kufikia hatua hii ya kuuhitimisha mwaka.. Hilo la kuwajibika ni vizuri tu kwani maisha hayawezi kusimama kwa sababu ya siku kuu...

InshaAllah, tuusubiri mwaka mpya..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi sana kupata mitazamo ya watu katika JF. Natazamia kuendelea kujifunza zaidi kabla ya kuanza kuchangia! Wana MMU wengi wamenigusa. It has been like I know them. They are actually wonderful even bila kuwaona.

______________________________________________________________________
''Without vision people perish"

Usijali sana Sakita Jr,

JF na MMU ni nyumbani kwa kila mtu...Karibu sana!

Unakatibishwa pia kwenye mitoko ya wadau... wasiliana na mdogo wangu Mzee Mtambuzi akupe mwongozo kama uko Dar. Kama uko mikoani basi sema tukuunganishe na wenye miji!!

Tunakutakia siku kuu nje,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
JF is THE BEST social network for me right nw...thumbs up every1,keep postin n commenting..t always makes my day

Karibu sana badiebey,

Umenifurahisha sana kwa maandishi yako kwani imenibidi niombe msaada wa mjukuu kunisomea haya menono ya dotcom.

Xmass imeisha salama??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom