WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Kumbe na wewe mkuu ni mkazi wa mitaa ya wabeba mitutu??

Babu DC!!

Chifu, kwanza nitake radhi.....mimi mkaazi wa mtaa wa wabeba mitutu?!

Mimi aisee nipo hapa mtaa wa Oldtraford........

Cc: BAK na Mbu
 
Last edited by a moderator:
He he he, wengine uchokozi ni sehemu ya starehe:frusty::A S-confused1:

Nimekamatwa nikakamatika, nilifunzwa kwetu kuwa 'ukishikwa na wewe shikamana' na 'ukibebwa mgongoni kunja miguu'
Zombie kakamatilia kama kupe, sipumui.
Nawaza sijui nichukue jumula?:shocked::faint2:, nashawishika kuondoka kwenye chama la kina NN na kiranga.

Hahahahahaahaha hili nililiona tangu mwanzo kabisa.. Zombie amefanikiwa kumlegeza konnie. Konnie sasa anatamani kumiliki jumlajumla.
 
He he he, yaani bak na mbu na ujanja wao wote huo? Wamekwamia hapo?

Nilidhani na wewe ni ' six parts', ndo maana mbu anafanya sana mazoezi ili apate SIX packs.

Chifu, tutafufuka wapi tena? Oldtraford?

Kama unaongelea mtaa wa Oldtraford, tutafufuka tu....

Lakini kama unaongelea kipigo cha goli 6 basi hilo linawahusu BAK na Mbu
 
Chifu, kwanza nitake radhi.....mimi mkaazi wa mtaa wa wabeba mitutu?!

Mimi aisee nipo hapa mtaa wa Oldtraford........

Cc: BAK na Mbu

Hahahaha Babu kumbe huwa tunakuwa wote kwenye misiba? OT huwa yanisononesha sana msimu huu
 
Last edited by a moderator:
He he he, yaani bak na mbu na ujanja wao wote huo? Wamekwamia hapo?

Nilidhani na wewe ni ' six parts', ndo maana mbu anafanya sana mazoezi ili apate SIX packs.

Goli 6 zinawahusu BAK na Mbu tu!
Mbu kalewa goli 6 sasa.....

fat-mosquito.jpg

Hahahaha Babu kumbe huwa tunakuwa wote kwenye misiba? OT huwa yanisononesha sana msimu huu

Chifu, mambo yatakaa poa tu muda si mrefu......
 
Last edited by a moderator:
Chifu, kwanza nitake radhi.....mimi mkaazi wa mtaa wa wabeba mitutu?!

Mimi aisee nipo hapa mtaa wa Oldtraford........

Cc: BAK na Mbu

Hapo ni kweli naomba radhi.....na nimekumbuka kukuona kule kwenye football ukipandisha na kushusha pressure....

Mwaka huu lazima OT waanguke watu kibao....

Ila ukiona vipi basi kuwa mtu huria kama mie...ingawa kiukweli nawachukia sana Man U....sorry mkuu!!

Pole zao akina BAK, Mbu na Balantanda......

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Chifu, tutafufuka wapi tena? Oldtraford?

Kama unaongelea mtaa wa Oldtraford, tutafufuka tu....

Lakini kama unaongelea kipigo cha goli 6 basi hilo linawahusu BAK na Mbu

Kuna kufufuka kweli baada ya Dec?

Nahisi kama hili ni anguko la karne kama lile la vijana wa Anfield.....

Anyway, mie nitakuwepo na mimacho yangu....

Babu DC!!
 
Hyo ina maana wewe na Zombie mpo kama Tom na Jerry? Au mimi ndo sijaelewa? Babu Dark City we umemuelewa Konnie kuhusu hyo katuni?

Mwenzio nimepita kimya kimya....

Hayo mambo ya T and J nitayajulia wapi mtu wa 1947??

Ila kazi anayo Kongosho...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom