House Wife
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 373
- 223
Ha ha ha haaa boxer imeshaanza kusumbua??? Sema tu Asprin usaidiwe...usizunguke sana
Hahahaha atakwambia pm huyo
Ha ha ha haaa boxer imeshaanza kusumbua??? Sema tu Asprin usaidiwe...usizunguke sana
Itabidi afanye kama babu anavyotaka.Ndiyo mambo ya Babu hayo...jicho lake linaona tofauti na hayo ya kwenu...lol!!
Babu DC!!
Hata mie nimeliona hili. Na alivyo na juhudi ya kurespond tangui mwanzi ndio linazidi kushika kasi. Atakujibu ngoja waulizane na bibi yawezekana ameshasahau.HILI SREDI LA BABU TUSIPOANGALIA LINAFIKA KWELI TAR 31 DEC!
babu wakati unalianzisha ulikuwa umevaa nini?
NAULIZA TUUUUUU!
Mjukuu DC
Shukrani sana mamito!!!!! Heri na kwako pia..........
Mimi penda pia wewe House Wife...............
Ubarikiwe sana mama na uwe mke mwema kwa mumeo mwaka ujao
Ongeza mapenzi kwake na uwe mama mwema zaidi kwa wanao
Na Mungu wetu mwenye upendo uliotukuka akuzidishie baraka zake zenye faraja na mafanikio
Asante sana mama!!!!
Amina kaka Eiyer nitazidi kufanyia kazi uliyonishauri zaidi na zaidi ila naye mambie atulie sio mimi najijuhudisha tuuuuuuuuuuuu.
Hahahaha atakwambia pm huyo
Ha ha haaa...uko powa mkuu?
Hata mie nimeliona hili. Na alivyo na juhudi ya kurespond tangui mwanzi ndio linazidi kushika kasi. Atakujibu ngoja waulizane na bibi yawezekana ameshasahau.
Haya babu ngoja tusubiri jibu la bibi hadi atoe ngoma ishagonga mwaka na kuvuka. HahahahaBibi kanipigia tarehe. Ila najua mwaka haiwezi kuisha kabla hajatoa jibu.
Kama kawaida ya hii kinsia, atabana weee ila ghafla bin vuuu huyo ataachia.
Babu DC!
Yaani hajiamini hadi aende PM....Basi atakuwa domo zege
Fuata maneno ya mmeo
Ha ha haaa...uko powa mkuu?
Anapenda kweli kuitia PM ndio amwage sera zake. na hapa akitusikia ni balaa. Me simo
Khaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!