WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Shukrani sana my shem... Afu kaa mbali na my sis Lady doctor ni mke wa mtu, sitapenda kuuaga mwaka vibaya!

Aione my shem Arushaone!!

aah sis jamani Jerrymsigwa ni rafiki tu jamani.
Halafu umesahau kuwa nataka kuingia kwenye lile chama lako la kula bata kiroho safi la ma single g??

Asipaone Arushaone, ukimaliza kusoma delete hahahaaaa!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Hakuna kudelete kitu hapa,

Ila nitasaidia kuwaamulia wakianza kucharurana kama majogoo yanawania mtetea...lol!!!

Hivi hujui kuwa ni raha kuona watu wanakugombania wewe??

Babu DC!!
 
Nawatakia heri ya mwaka mpya marafiki zangu, dada zangu wapendwa farkhina, mimi49 charminglady, Ngongoseke, Heaven on Earth Jawilat, haki ya nani mimi sio mwenyeji sana humu Jf, but for a short time I liked your comments n ideas!

Mungu awalinde na kuwapa maisha ya furaha na less stress!! GBU all

Cc: Lady doctor

nimekupata Jerry and thank you very much for the new year wishes and i heartily reciprocate the same to you na members wooote humu Jf.

PAMOUJA!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
aah sis jamani Jerrymsigwa ni rafiki tu jamani.
Halafu umesahau kuwa nataka kuingia kwenye lile chama lako la kula bata kiroho safi la ma single g??

Asipaone Arushaone, ukimaliza kusoma delete hahahaaaa!!!!!!!!

Shem itabidi nifanye maombi.. Hukawii kumuambukiza na Paloma wewe... Nimeshaanza kumsikia akisema sijui mwaka mpya na nyani wapya..
 
Last edited by a moderator:
ila thaidhi dada kubwa yupo!
we yaulize aftena ye atamtampsilia kwa lugha yao ya kikubwa kubwa!
wataelewana tu!
majibu tutaenda kuchukua kwa dada mkubwa!
we yaulize hivo hivo tu bila mpangilio!
dada kubwa ni mtaalam wa editing and proof reading!huwaga anaandika hotuba za viongozi!

Babu kishakataa nisijempandisha bp bure......
 
Hakuna kudelete kitu hapa,

Ila nitasaidia kuwaamulia wakianza kucharurana kama majogoo yanawania mtetea...lol!!!

Hivi hujui kuwa ni raha kuona watu wanakugombania wewe??

Babu DC!!

babu raha ilikuwa zamani wanavua mashati na kukwaruzana mshindi ndio mwenye mali, sikuhizi wanarestishana in peace, unajikuta unawakosa wote kwa mpigo.
 
babu raha ilikuwa zamani wanavua mashati na kukwaruzana mshindi ndio mwenye mali, sikuhizi wanarestishana in peace, unajikuta unawakosa wote kwa mpigo.

Basi kama unajua hivyo na wewe usigonganishe magari basi Lady doctor...sawa??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

hahahaaa!!pacha usiwashtue wale
wao walikua wanajifanya marafiki
sie tunafanya kweli wallah!!wanatusaliti tukiona?!!

Umebarikiwa wewe na matunda ya mti wako....

Enenda sasa ukamtumikie yule mmoja tu (aliyepewa baraka na Babu) bila kusumbua kiumbe mwingine yeyote na kumtoa kwenye mstari wa kufikiri...

Mirembe kumejaa sana aisee....

Babu DC!!
 
JF/MMU inafurahisha sana kuna misemo methali vitendawili hadithi.. wakati mwingine unasoma unajikuta umeachwa njia panda lakini bado ni burudani tunacheka tunafurahi.
 
Back
Top Bottom