Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,652
- Thread starter
- #781
we eve usimuulidhe babu hilo thwaali!
mzako mimi nilijidhuia!
nkashiiip kwayat!
nkajijibu mwenywe labda babu huwa anaonaga kwa telepathy!
af nikasema kwani thatha babu anapokuwa anaona kwa telepathy anakuwagajeeeeeeeeeee
nikaona ah mi ndoja nithiulidhe!
thatha we umekuja umeulidha!
sauli zako peke yako!😛lane:
Hivi unavyoandika hivi, unajua kwamba kuna siku mtoto wa mtuhumiwa atapita hapa na kuyasoma??
Hata huwa sipata picha ya hao wanafunzi wako....
Babu DC!!!