moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,306
- 1,536
charminglady kaka!!we jamaa vipi tena?
Last edited by a moderator:
charminglady kaka!!we jamaa vipi tena?
sa hz je?
Dah! Nimekumiss we binti. Mzima wewe?
Bora umejileta mwenyewe....
kwa nini mwawatesa wajukuu zangu kiasi hiki? Mnajichumia dhambi mjue?
Missed u so much. Ulikuwaga wapi lakini?
Babu DC!
Babu kumbe huwa unakuja ki-invisible zaidi ha ha ha!!!!
mi nipo sana nilitingwa tu
- :faint2:
ha haaa, ni leo tu nilikuwa nalifikiria hilo. lakini sasa avatar ninayoifikiria kuibadilisha ni bora ibaki hii babu watu washaizoea.
ha haaa, ni leo tu nilikuwa nalifikiria hilo. lakini sasa avatar ninayoifikiria kuibadilisha ni bora ibaki hii babu watu washaizoea.
Dah! Kabla ya kuzunguka sana, ningependa kurudisha fadhila kwa SnowBall!
Thank you so much Mkuu! Hata sikudhani mtu unaekubalika kama wewe ungeweza kumkumbuka Zombie Mashaxizo na kumtakia Xmass njema + heri za mwaka mpya!
Ahsante sana Mkuu, nami nakutakia heri na baraka za Xmass + mwaka mupya!
Ubarikiwe sana!
...
Vile vile ningependa kumpongeza babu D.C kwa kutuwekea huu uzi wenye lengo la kujenga na sio kubomoa!
Thanks so much Mkuu! Na ubarikiwe sana!
...
Nikiishia hapo itakua naendeleza Uzombie! Wacha nichukue nafasi hii kumuomba radhi Bibie lara 1! Hey Lara, what's up?
Sorry sana Bibie! For sure, i was the SOURCE of that missery! Nisamee sana! Nilipanga nikuje piemo but nilisita due to the fact that sikukukera piemo!
Im not perfect, just forgive me!
Na nakutakia heri ya Xmass + new year {2014}
tena uarange thiku nikuje niku-hugg bibie! Lol!
...
watu8!
Nakukubaligi sana mkuu! For sure umetoa matongo ya kiFB! heri na Baraka za Xmass + new year ziwe nawe Mkuu!
...
Also ningependa kuwatakia heri na baraka za mwaka mpya akina:
mwekundu! hahahahaaa! Niajjeh?
.
Mentor! Mkuu lini tutameet?
...
Washawasha! Hahahahaa! Usilog off mkuu!
Ennie!
...
Dah! Jaman, thiwedhi kuwataja nyote!
So, na Member wote watakaoona hii post heri na baraka za Xmass + mwaka mupya ziwe nanyi.
mbarikiwe sana!
ha haaa, shem nilitaka kuweka the real me! kimtindo........Kabla hujaitoa hyo naomba kwanza niione hyo mpya utakayoweka.
ha haaa, ni leo tu nilikuwa nalifikiria hilo. lakini sasa avatar ninayoifikiria kuibadilisha ni bora ibaki hii babu watu washaizoea.
ha haaa, shem nilitaka kuweka the real me! kimtindo........
but nimeghaili
ha haaa, babu, mambo ya nyuma ya keyboard yaishie huko.....Safi sana...as long as hutaweka mbaya...hii siipendi kwa sababu nyingi....
Hata mtu huwezi kuamini kwamba unaongea na mkubwa mwenzio bwana...khaaaaaaaaa!!
Babu DC!!
we eve usimuulidhe babu hilo thwaali!
mzako mimi nilijidhuia!
nkashiiip kwayat!
nkajijibu mwenywe labda babu huwa anaonaga kwa telepathy!
af nikasema kwani thatha babu anapokuwa anaona kwa telepathy anakuwagajeeeeeeeeeee
nikaona ah mi ndoja nithiulidhe!
thatha we umekuja umeulidha!
sauli zako peke yako!😛lane:
ha haaa, shem nilitaka kuweka the real me! kimtindo........
but nimeghaili
Babu kumbe huwa unakuja ki-invisible zaidi ha ha ha!!!!
mi nipo sana nilitingwa tu
- :faint2:
ha haaa, umeona eeehhhh!Nakubaliana na Nicas Mtei, itabidi baadhi ya watu utuchungulishe kwanza....
Vinginevyo tutaanzisha fujo kama za Madiba wa enzi zile...
Babu DC!!
ha haaaa, siyo ile shem......Ile ya natural kabisa? Kama ndo ile subiri kwanza tushauriane
Nakubaliana na Nicas Mtei, itabidi baadhi ya watu utuchungulishe kwanza....
Vinginevyo tutaanzisha fujo kama za Madiba wa enzi zile...
Babu DC!!
ha haaa, babu, mambo ya nyuma ya keyboard yaishie huko.....
niliyotaka kuweka ndo ungedhani unachat na teen, wakati ni mzee mwenzio, lol!
basi nimeghaili, siiweki tena. vumilia na hii hii
ha haaaa, siyo ile shem......
ile haipo kimtindo ujue......
yenyewe ipo kimtindo