WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Last edited by a moderator:


So much trouble in the world now (repeat)
Bless my eyes this morning
JAH sun is on the rise once again
The way earthly things are going
Anything can happenYou see men sailing on their ego trips
Blast off on their spaceships
Million miles from reality
No care for you, no care for me
So much trouble in the world now (repeat)
All you've got to do is give a little
Give a little, give a little
One more time ye-a-h! ye-ah!
So you think you have found the solution
But it's just another illusion
So before you check out your tide
Don't leave another cornerstone standing there behind
We have got to face the day, ooh we come what may
We the street people talking, we the people struggling
Now they are sitting on a time bomb
Now I now the time has come
What goes up must come down
Goes around comes around
So much trouble in the world
So much trouble in the world
So much trouble in the world
There is so much trouble, there is so much trouble
There is so much trouble
There is so much trouble in the world
There is so much trouble in the world

That's to you and our friends By Robert Marley
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Binafsi nawapongeza members wote wa Jf walio kuwa wakileta na kuchangia mada mbalimbali zilizopelekae niwe mlevi wa Jf tangu mwaka umeanza........
kweli nimekuwa mlevi huwezi amini wa Jf....kila muda. NImejifunza mambo mengi ikiwemo mbinu mbalimbali za kujikinga na matapeli,masuala ya technology(mfano:- kuunganisha internet kwenye computer bila kutumia modem,bali ukitumia simu(techno p3) -wireless - hotspot. hadi leo nilisha sahau na modem iko wapi),mahusiano,breaking news ambazo ni mpya kabsa na makaratisi yake(hazija fika chombo chochote cha habari) sambamba na mambo mengine mengi.
JF- - one love 4ever
 
Hata mie sikuwa nikijua kama DC anaitwa babu kama Asprin.
Kwa kweli hata mimi ni miongoni mwa waliofadika na JF kwa mengi ya kufurahisha, ushauri, mafunzo, mapenzi, tiba, vituko na kila aina ya furaha.
Nawatakia wote sikukuu njema ya xmas na kila la kheri kwa siku ya mwaka mpya Mwenyezi Mungu atujalie tuuone mwaka mpya pa1 na kuumaliza pia pa1 na mingine zaidi na zaidi.
Zaidi jamani hawa ndio nimekutana nao kwa mambo kadhaa na nawapenda sana japo hatujuani Madame B BAK miss strong mimi49 babu Asprin Desidery The Boss na wengine wengi majina yamenitoka wapenzi. Kila la kheri kwa kila jambo, mmbarikiwe sana.

Mimi penda pia wewe House Wife...............
 
Last edited by a moderator:
Hata mie sikuwa nikijua kama DC anaitwa babu kama Asprin.
Kwa kweli hata mimi ni miongoni mwa waliofadika na JF kwa mengi ya kufurahisha, ushauri, mafunzo, mapenzi, tiba, vituko na kila aina ya furaha.
Nawatakia wote sikukuu njema ya xmas na kila la kheri kwa siku ya mwaka mpya Mwenyezi Mungu atujalie tuuone mwaka mpya pa1 na kuumaliza pia pa1 na mingine zaidi na zaidi.
Zaidi jamani hawa ndio nimekutana nao kwa mambo kadhaa na nawapenda sana japo hatujuani Madame B BAK miss strong mimi49 babu Asprin Desidery The Boss na wengine wengi majina yamenitoka wapenzi. Kila la kheri kwa kila jambo, mmbarikiwe sana.

Penda pia wewe House Wife
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa wana JF na wadau wa jukwaa letu pendwa la MMU, karibuni kwenye kiringe hiki tufunge mwaka wa 2013 na tuanze maandalizi ya kipindi kigumu cha 2014 kuelekea 2015!

Katika pita pita yangu mahali leo, nimekutana na baadhi ya posts za nyuma ambazo sasa zinakaribia umri wa miaka 4. Katika kuzisoma, nimejikuta natafakari mchango wa JF katika maisha yangu na nyie wadau wenzangu. Nahisi itapendeza sana kwa kutoa ushuhuda kwa kile ambacho tumekivuna hapa JF. Na mwisho wake, tutoe shukrani kwa team nzima ya waanzilishi na waendeshaji wa JF na majukwaa yake yote.

Kati ya vitu ambavyo nimevipata hapa JF na MMU ni kama vifuatavyo...

1. Hati ya kuwa Babu mstaafu (wa kweli) na heshima kubwa ambayo imetokana na cheo hicho. Mara nyingi nimejikuta katika wakati mgumu kukitumia hiki cheo...(hapa naomba wachokozi kama snowhite na Smile wakae kimya).

2. Nimevuna marafiki wa ukweli sana....Kupitia JF, nimekutana ama kuwasiliana na wadau wengi sana na nimepata faida nyingi sana kupitia kwao (kama kuna hasara basi imefunikwa na faida). Nimekutana na watu wengi sana (pamoja na kwamba avatar zinawauzia watu mbuzi kwenye gunia). Sina cha kujutia kukutana nao!

3. Nimekua na kuweza kuhimili changamoto za kupewa challenges na hata watu tunaoheshimiana sana....

4. Nimeelimika katika mambo mengi sana. Mojawapo ni jinsi ya kuwasilisha maoni yangu kwa ajili ya kuwasiliana na wanaJF wenzangu...

Nitaendelea kuongeza mengine ila kwa sasa nawakaribisha wadau wote wa MMU tufunge mwaka... Maxence Melo, Invisible, AshaDii, Nyani Ngabu, Fixed Point, Smile, snowhite, PakaJimmy (mwenyekiti mwenyewe...you deserve uenyekiti), Blaki Womani, Preta, marejesho + Filipo, KOKUTONA, CHUAKACHARA, YNNAH, Mwanyasi, amu, Negrodemus, gfsonwin, BAK , Mbu, Eiyer, Mtambuzi, MwanajamiiOne, bht, King'asti, Teamo, Zion Daughter, Asprin, Kaizer, watu8, Dena Amsi, Arushaone, Ta Bishanga, Fidel80, KakaKiiza, MANI, Mwita Maranya, LiverpoolFC, Mungi, Mzee wa Rula, snowhite, The Finest, Mike Mushi, madameB, Mamdenyi, Lizy, Nicas Mtei, Rejao, Arabela, Rose1980, Lily Flower, Heaven on Earth, Charming Lady, Faiza Foxy, Pasco, Chris Lukosi, Lunyungu, MziziMkavu, lara 1, Zinduna, The Boss, Nyamayo, Belinda Jacob, Karucee, Mentor, sakapal, Evelyn Salt, saudari, Baba_Enock, Husninyo, Rutashobolwa, Erickb52, Mr Rock, afrodenzi, Gaijin,

Pia naomba kama kuna mtu anaweza kututafutia quotes za wadau ambazo zinafaa kukumbukwa aziweke hapa, nitaziunganisha na uzi huu.


Nawatakia sikuu njema za mwisho wa mwaka na heri ya mwaka mpya wa 2014!


Nawapenda sana,

Babu DC!!

Kutoka kwa wadau:

1. Wapo waliopata kazi kupitia JF..



Some interesting Quotes:

ameeeeeeeeeeeen
 
ehehehehhehe muulize Fixed Point akupe ushuhuda binafusi!
ila babu ona a vere serious note!
kweli nikiwa nawaita kondo wa kule mahali niwage nakuitaga nawewe!yani kama vile jana nilivomwambia KOKUTONA tugende kuleeeeeeeeeeeeee niwage nakwambiaga na wewe?
ehehehhehe!

Ha ha ha ha haaaa, babu amezeeka sasa.
Hawezi kuja kule atapata brain damage bureeee
 
Back
Top Bottom