Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,919
Mkuu ondoa hofu kabisa
Huyo ni rafiki yangu kabisa na hakuna kibaya chochote kitakachomtokea
Hayo mashairi ni ya upendo tu
Mimi naongea nae tu mazungumzo hayatakwenda mbali zaidi
Promise .....lol!!!!!!