CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
hahahahaha babu dc bana aisee sitaki hata kusema kweli nimepotea ila nakuwepo kilingeni mara chache chache .namshukuru mungu pia kwa ajili yenu kwani muu wazima .babu dc nlikuj atanga KOKUTONA akaninyima namba yako na nisikutafute lol
Hawezekanani, .....yaani KOKUTONA huyu huyu ninayemfahamu??
Usijali, hata mimi mwaka huu nimejikuta nakuwa mgeni kabisa wa MMU, hadi wajukuu wananiuliza maswali mazito.
Haishangazi naulizwa mie nani hapa MMU? au Ubabu wangu umetokea wapi??
Basi tena, ila tumshukuru Mungu kwamba tunapumua na tunarudi mara moja moja. Siyo kama akina @klorokwin ambaye kaamua kutususa milele (hadi napata wasi wasi)!!
Babu DC!!
sote tusherekee na kuupokea mwaka mpya kwa amani!Asante sana babu Dark City kwa uzi huu
Binafsi namshukuru sana Mungu kwa kunipa pumzi ya uhai tena buree mpaka muda huu
Naishukuru jeiefu kunikutanisha na marafiki kwenye social media hii
Shukrani zangu zimwendee mume wangu kipenzi Erickb52...i appreciate your love, nakupenda sana kwa kuwa nami through weakness and strength, happiness & sorrow..you are the reason i believe in love..for better for worse i'll love u with every beat of my heart
Salam za msimu huu wa siku kuu ziwafikie madame b ladyfurahia Lady doctor charminglady KOKUTONA Mwanyasi mwallu DEMBA Asprin Kaizer kiwatengu shansarie The secretary Arushaone mimi49 farkhina BAK MziziMkavu daaarh aisee ni wengi
Ziwafikie wooote mliopitia uzi huu
Wishing you happy holiday
Nimekuambia na nakuambia tena.... hiyo mimba ikiharibika naoa mke wa pili!!
Kuwa kwangu JF kumenipa changamoto na kujifunza mengi sana. Si juu ya kazi zangu tu lakini pia kukuza uelewa wangu juu ya masuala mtambuka ya kijamii. Kuelewa kile 'kizazi chetu' kinavyofikiri na mtazamo wa kizazi cha 'zamani' katika nyakati hizi.
Kuna nyakati unafurahi hata bila kutarajia lakini kuna zile nyakati unakasirika bila kukusudia.
Nawashukuru sana members woote, asante sana mkongwe na Mama mkwe wangu AshaDii kwa kunikumbuka.
*************
Nakumbuka mistari miwili ya wimbo wa Mwanamuziki nisiyemkumbuka jina, huwa kikifika kipindi hiki naupenda sana:
Christmas imekfikaa, mwaka mpya umefikaa ufike salama ooh mwana mamaa
Kumaliza mwaka ni kazi, vifo vya siku hizi kama majii
Na wewe uliyebaki mzima shukuru Mungu.
'Miaka yaenda mbio mwana mamaa, siku zaenda mbio twende wapii'
Babu Dark City, itabidi tuweke kikao mimi wewe, Asprin, na Kaizer ili Asprin aseme ananitafutia nini mie Karucee. Lol.Nawapenda woteee.
BAK, thank you for your inspiration and Merry Merry Xmas to you. Happy New Year.
The Boss, sheriFF ARPAIO thanks for your friendship.
snowhite, U r a darling. gfsonwin, thank you for being the one I run to when motherhood drives me crazy The secretary, thank you. sun wu, Another year...thank you.
Kaunga, King'asti, Kongosho, sakapal, SUZANE, Howt Lady,thank you.
SnowBall, miss you bro, Mentor, fanya uoe KOKUTONA, you are a blessing. Invisible, thank you DonLuchesse, hope we puff next year.
gobore, if only.....damn.
Nyani Ngabu........ if I were a boy, I would be you. Just like you. Very bad.haha.
Ahsente sana platozoom kwa ku share na sisi uzoefu wako wajamvi hili.
Sijui kama kuna kitu unaweza kukosa hapa JF. Ni zaidi ya Malls za ulama na kwa Obama ambazo mtu unaweza kutembea siku Nzila na usizimalize.
Ni jukumu letu kuendeleza taswira ya JF.
Babu DC!
Sasa unatusubiri wangapi? Mambo ya kuuziana mimba mie siyataki asee:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
Sasa mkuu Dark City mbona unanipa mitihani..... Nikisahau kumtaja hata mmoja si itakuwa soo??
Mi nawapenda sana wajukuu wote,
Nawapenda na kuwaheshimu sana wazee wenzangu
Nawafagiliwa wanafunzi wangu wa ukaguzi,
Natambua uwepo wa wapwa na binamu zangu....
Nawavulia kofia wanywaji wenzangu hasa wale wa Govinder Kumar pale LTHP
Wale wanachama wenzangu wa PM sijawasahau
Na wale wazee wenzangu wa infidelity.... nawapa big up sana...
Ila kuna watu wawili ambao natamani sana kuwaona, kuna kitu natamani niwaambie Live lakini naikosa hii bahati. Sijawahi kuwaona lakini walinishangaza kwa upendo na moyo wao........... Wao wanajua namaanisha nini. Ahsanteni sana AshaDii shem langu la ukweli na mamaa la kisoviet Roulette..... Sitawasahau asilani!!
Nikipata muda, na ntakapofanikiwa kuwa sober kwa mara ya kwanza tangu mwaka huu uanze, ntawataja kwa majina.
Oh mchungaji. You know am a eild girl with wild thoughts. Haya weeeUnadhani unaweza kunidanganya kirahisi hivyo?
Sidanganyiki ng'oo!!!!!!
Siwezi kuridhika na hako ka salam tu!
You know what to do!!
Bila shaka Babu.
Na nikupe pongezi kwa jitihada zako za 'kuupaisha mkoa wa Tanga' hapa JF. Siye wengine tulikuwa twaogopa
kukanyaga Tanga ati............tukiogopa 'zongo' na mashamsham ya vigori wa Tanga line!!! Kwamba tukienda haturudi makwetu abadan!!
Lakini siku hizi twajitahidi kujakuja huko.......ila mhhh yataka moyo na roho (ile mijikanga inayovaliwa na yale maungo yahitaji moyo mgumu shekhe).
Bila shaka Babu.
Na nikupe pongezi kwa jitihada zako za 'kuupaisha mkoa wa Tanga' hapa JF. Siye wengine tulikuwa twaogopa Uzi
kukanyaga Tanga ati............tukiogopa 'zongo' na mashamsham ya vigori wa Tanga line!!! Kwamba tukienda haturudi makwetu abadan!!
Lakini siku hizi twajitahidi kujakuja huko.......ila mhhh yataka moyo na roho (ile mijikanga inayovaliwa na yale maungo yahitaji moyo mgumu shekhe).