Yupo salama kabisa....ndio tunapanga panga namna ya kuuaga mwaka!!!Cantalisia hajambo Mkuu?
Yupo salama kabisa....ndio tunapanga panga namna ya kuuaga mwaka!!!
Nipo my dia...siku hizi mmenitenga sanaa!!!hivi upo?
dah!
MI HATA SIJUI NISEMEJE!
SERIOUS,sijui!SIJUI KWELI MJUE!
ila niseme tu JF imekuwa zaid ya vile niliwaza itakuwa!imenikutanisha na watu ambao eventually wamekuwa sehemu ya maisha yangu!TRULLY!
na sijawahi kujuta kuwafahamu! The Boss the guru of sreesome himself ehehehhe yu were there in makorokocho kibao!thank yu
Nicas Mtei shemeji uuuuuwih najua una hasiraje na mimi lakin mi na weye twajua tunamaliziana wapi!dec haijaisha hii ujue
Fixed Point my dada langu lenyewe la ukweee mwe i love yu sana!
BAK laifu server himself the best part of this mwaka was how tulimisiana af tukawa tunakufia ndani kwa ndani!
Kaunga shosti ai we sijui nisemeje!the recipe and the everything plus libesi kila nilipolimiss mweee makiss zingi zingiiiiii
King'asti ehehehehe mimi penda wewe sana girl yani ile offer ya kope za kubandika iko pale pale!sijui tumwibie nani atupeleke si unajua bakhresaa wetu kapotea wapi sijui!
amu oddo wangu mi naisubiri aprilo tufanye yetu!nipigiepo thimu bathi uniambie
SnowBall pacha wangu japo mwaka huu umesua sua sana humu jamvini ila i have u here here so najua upo and always thinking about ur pacha
Dark City ahahhaha babu mi ndo Mjukuu DC bana nsipokuchokoza unaweza uumwe ujue!ahahahha kwanza nasiki hili sredi umeanzisha uthiku ulikuwa umemuachaje bibi babu!oh
Kaizer umekuwa mwanafunzi mtiiifu kwangu kwa mwaka mzima!sijui hata kwenye ripoti nikuandikie A+au sijui niandikeje ila ur good gooder goodest
Asprin sante sana kwa kuwa unanipa samare mwaka wote huu!kwa kweli ntakupa zawadi!
Tized best mi japokuwa nilikuwa na mahesabu makali mwaka huu nimejitahidi sana kuyarahisisha ili twende sawa
Eiyer ah we bana umenifanya niwe natumia maakili ya chuo kikuu wakati mi uwezo wangu darasa la pili B tu!ulikuwa unaniuziga kama nini!
gfsonwin !mwe haki vile mi sijui nisemeje bana!SIJUI PEKE YAKO!
heaven on desert ujue huu mwaka umeisha bila kuwazalimisha hawa mamods watuwekee kale kajukwaa ketu!mwakani mpka kieleweke
Ablessed ehehhe hv hilo lemba pacha wako anajua kulifunga kama wewe,i hope hajui maana alivo kilaza si unajua?peda sana wewe
AshaDii we bana mwaka huu kati kati umekuwa mtoro mtoro humu umeniwacha kichwa kimepungua maakili yako ujue!mwakani puleeeez azima mimi hayo maakili kwa kuandika humu
HorsePower sijui nilni kilikuwa kinakupata pengine wifi alikuwa anakaba sana au ndo ulikuwa unatimiza il;e ahadi ya kuikimbiza china japo kwa idaid ya watu ila uliadimika humu kiasi fulani
watu8 dah!we mtani wangu wa kule kule kumiiitu af ujue pale makao makuu kuna kitu kinashushwa direct from kwa kina mangi hebu tufanye mashtuzi asee kabla mwaka haujaisha huu
EMT partner i think we need a retreat japo siku tatu hivi tufanye tathmini na mipango nimechacha ujue na white christmas nahis kama inanipiga chenga hiv
cacico mke mwenza ujue siku ile ulinitamanisha ehehhehe huu mwaka kabla haujaisha hakikisha unanipa ze secreto!
jouneGwalu kwani na we unataka nikwambilie hapa,ah we subiri tukiwa beach bana
Mkunde Original been a pleasure kuzaring yu girl
Karucee aint any good word to write expressing th feelings u know
lara 1 manondo yako nimeyakubali mwaka huu thou mwishoni hapa uliniangusha kweli kweli!ila poa najua we ni fighter na vita ni vita mura haina kadi ya mwaliko wala dressing code!
GUYS NARUDIA TENA HAYO NILIYOANDIKA HAPO UNAFIKIRI NDO YOTE VILE NAJISIKIA!?a lot is in HERE IN THE HEART!
:busu:busu:busu:amen:
Nipo my dia...siku hizi mmenitenga sanaa!!!
Mkuu Dark City asante sana kwa uzi huu ambao kwa kweli unakumbusha mengi sana
Jf imekuwa kituo cha mafunzo, sehem ya kubadilishana mawazo, sehem ya kujifunza na nimejifunza mengi sana kupitia JF na kukutana na changamoto mbalimbali za maisha
Nimekutana na wafundishaji na waelimishaji wengi sana AshaDii, Himidini, SnowBall, HorsePower, mwalimu wangu gfsonwin, King'asti, babu Dark City, Mbu) ambao kwa namna nyingine walichangia kunielimisha na kunifundisha mengi sana ya maisha na namna ya kuishi na watu mbalimbali na mafunzo kuhusu maisha ya ndoa kiujumla
Nimekutana na marafiki ambao kwa kweli wamechangia mengi sana katika maisha yangu ya kuwa humu JF kwa mwaka huu 2013 na hao sitawasahau Erickb52 (kaka asante sana), Vin Diesel (mpango wako wa penda penda ufe mwaka ujao utulie) grafani11 (ujue tunashare Heaven on Earth mpaka mwakani) kiwatengu, sosoliso, stevoh, Arushaone, BAK (mkuu pamoja sana ) EMT, The Finest (sijui kapotelea wapi), Mentor (kumbuka ahadi yako mkuu) The Boss, Rutashubanyuma (mkuu asante sana kwa michango yako yenye kila aina ya hekinma na busara, Nicas Mtei (mkuu umepotea sana) Bishanga, binamu zangu wa ukweli ambao mchango wao sitausahau Madame B, Heaven on Earth (mwambie grafani11 mpango wetu wa kuwa wetu sote uko pale pale hata 2014, Mamndenyi, Lily Flower, sweetlady, ladyfurahia, Chocs, amu, snowhite, Preta, Blaki Womani, Kaunga, Paloma, Passion Lady, Evelyn Salt, KOKUTONA (jua mpango wetu wa kwenda rocky sity uko pale pale), na The secretary, charminglady, Lady doctor
Siwezi kuwataja hao bila kumtaja wangu wa pekee na mpendwa wangu Dena Amsi na nampenda sana
Kwa wote waliochangia kwa namna moja au nyingine kuyafanya maisha ndani ya JF yawe mazuri ila pokeeni salam zangu za Xmass na mwaka mpya na tuombeane wote tuuone mwaka kesho kwa amani na furaha
Cc TANMO, DEMBA, Kaizer, KakaJambazi, Filipo, Mungi, Mzee wa Rula, LIVEPOOLfc, PakaJimmy, Ruttashobolwa, IGWE, Tutor B, marejesho, Simplicity
Niwatakie kila la heri katika kuumaliza mwaka salama na kuuanza mwaka 2014 kwa afya na ulizi wa Mungu na naamini mwakani tukakutana hapa tena katika kuendeleza kila jema miliolitenda kwa mwaka huu.
Asanteni sana
dalaliii i miss u kweli kipekee nawashukuru kwakutambua tu uwepo wangu na kuthamini asante sana @-nicas mtei
hahahahaha babu dc bana aisee sitaki hata kusema kweli nimepotea ila nakuwepo kilingeni mara chache chache .namshukuru mungu pia kwa ajili yenu kwani muu wazima .babu dc nlikuj atanga KOKUTONA akaninyima namba yako na nisikutafute lolkwa nini unapotea kiasi hicho na wewe nivea?
Vibaya hivyo...hujui kwamba wewe ndiye dawa ya ngozi ya wadau? Unataka ngozi iwe kama ya mjuzi au kenge?
Babu dc!!
Asante babu Dark City kwa uzi huu, mie ni mmoja wa watu walonufaika sana, nimekua sana kimitazamo, kukubali kutokubaliana, kukubali/kuheshimu hisia za watu wengine(Yaani hapa nimegundua inawezekana nimeshaumiza sana watu huko nyuma kwa kudhani kila mtu ana stamina kama zangu kihisia, still a work in progress though)
Mie kwa kawaida si mtu sana wa kupenda kukutana/kujichanganya na watu, lakini kuna watu hapa hadi nyumbani kwangu wanawajua kwa jinsi ninavyowasimulia, imebidi nijidai ni co-workers or something (naogopa kuulizwa ID yangu ni ipi) kwa jinsi walivyonigusa kwa michango yao. Kwa kweli kila mdau kwa njia moja ama nyingine amenigusa.
Asanteni sana kwa kuwa sehemu ya maisha yangu, naomba ninukuu sahihi ya watu8 "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"
Kiukweli, japo ni fake IDs ana Avatar, lakini kuna baadhi ya michango ya wadau inagusa mioyo na akili zetu, mwisho wa siku inaathiri jinsi zetu za kutafakari mambo.
dalaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii umeadimika sana wangu. Lipo jambo ambalo mimi na mdogo wako tunalipanga sasa unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha unanitafuta before mwaka huu haujakwisha..
Note; ile pistol yangu nimeshairejesha.
Hilo la Avatar nalo ni neno, nilishapewa brand ya she sana, ila haina noma sometimes let pipo get lost ili wahangaike kuitafuta kweli. MziziMkavu , The Boss , Mtambuzi , Himidini watu8 , Fixed Point , mimi49, Nicas Mtei , rafiki Wiyelele , nyumba ndogo tarajiwa charminglady mmekuwa kisima cha maarifa
JF imekua kituo kingine cha mafunzo kwangu
kupitia michango ya membaz humu naendelea kujifunza kila iitwapo leo
shukrani za dhati kwa members woote..mnafanya siku yangu kua na furaha na maudhi madogo madogo..yote ni maisha
kwa Kaizer..umekua kaka mwema,umekuwepo pale ninapohitaji mtu wa kuongea nae,kwa ushauri wako na kujali kwako nimekua strong kwa kweli..asante sana..Mungu akujalie busara zaidi,haujui tu...lakini unamchango mkuubwa sana kwa hatua niliyopo Kaizer paroko..ule mpango wacha nitumie kura yangu ya veto niufanikishe,usikatae kucheza na mie loo
..tumechoka kujifanya wajinga Kaizer,siku nyingi zishapita
kiwatengu..a thousands apologies to u my dia,nimekuangusha mara nyingi sanaa...mpaka aibu..haimaniishi kua nafanya makusudi ila naamini kuna siku tu utanielewa..i will make it up to you
Rich woman we sijui umep[otelea wapi,lakini nakukumbuka sanaaa....mchango wango ulikua muhimu sana unajua...love u much
Mentor...I have alot to say about you,one day i will find the right words and they will be simple...Thank you for being there for me..katika nyakati nilizokua siwezi kutabasamu wewe na Kaizer mlinifanya nitabasamu sana..thank you so much..na uache kuacha alama alama kila unapopita..
Arushaone raisi wa CC..thank you bro..najua unajua kwa nini nasema ivi
to all members :michango yenu chanya na hasi kwenye nyuzi,wakati mwingine inaathiri maisha yetu halisi...
dah!
MI HATA SIJUI NISEMEJE!
SERIOUS,sijui!SIJUI KWELI MJUE!
ila niseme tu JF imekuwa zaid ya vile niliwaza itakuwa!imenikutanisha na watu ambao eventually wamekuwa sehemu ya maisha yangu!TRULLY!
na sijawahi kujuta kuwafahamu! The Boss the guru of sreesome himself ehehehhe yu were there in makorokocho kibao!thank yu
Nicas Mtei shemeji uuuuuwih najua una hasiraje na mimi lakin mi na weye twajua tunamaliziana wapi!dec haijaisha hii ujue
Fixed Point my dada langu lenyewe la ukweee mwe i love yu sana!
BAK laifu server himself the best part of this mwaka was how tulimisiana af tukawa tunakufia ndani kwa ndani!
Kaunga shosti ai we sijui nisemeje!the recipe and the everything plus libesi kila nilipolimiss mweee makiss zingi zingiiiiii
King'asti ehehehehe mimi penda wewe sana girl yani ile offer ya kope za kubandika iko pale pale!sijui tumwibie nani atupeleke si unajua bakhresaa wetu kapotea wapi sijui!
amu oddo wangu mi naisubiri aprilo tufanye yetu!nipigiepo thimu bathi uniambie
SnowBall pacha wangu japo mwaka huu umesua sua sana humu jamvini ila i have u here here so najua upo and always thinking about ur pacha
Dark City ahahhaha babu mi ndo Mjukuu DC bana nsipokuchokoza unaweza uumwe ujue!ahahahha kwanza nasiki hili sredi umeanzisha uthiku ulikuwa umemuachaje bibi babu!oh
Kaizer umekuwa mwanafunzi mtiiifu kwangu kwa mwaka mzima!sijui hata kwenye ripoti nikuandikie A+au sijui niandikeje ila ur good gooder goodest
Asprin sante sana kwa kuwa unanipa samare mwaka wote huu!kwa kweli ntakupa zawadi!
Tized best mi japokuwa nilikuwa na mahesabu makali mwaka huu nimejitahidi sana kuyarahisisha ili twende sawa
Eiyer ah we bana umenifanya niwe natumia maakili ya chuo kikuu wakati mi uwezo wangu darasa la pili B tu!ulikuwa unaniuziga kama nini!
gfsonwin !mwe haki vile mi sijui nisemeje bana!SIJUI PEKE YAKO!
heaven on desert ujue huu mwaka umeisha bila kuwazalimisha hawa mamods watuwekee kale kajukwaa ketu!mwakani mpka kieleweke
Ablessed ehehhe hv hilo lemba pacha wako anajua kulifunga kama wewe,i hope hajui maana alivo kilaza si unajua?peda sana wewe
AshaDii we bana mwaka huu kati kati umekuwa mtoro mtoro humu umeniwacha kichwa kimepungua maakili yako ujue!mwakani puleeeez azima mimi hayo maakili kwa kuandika humu
HorsePower sijui nilni kilikuwa kinakupata pengine wifi alikuwa anakaba sana au ndo ulikuwa unatimiza il;e ahadi ya kuikimbiza china japo kwa idaid ya watu ila uliadimika humu kiasi fulani
watu8 dah!we mtani wangu wa kule kule kumiiitu af ujue pale makao makuu kuna kitu kinashushwa direct from kwa kina mangi hebu tufanye mashtuzi asee kabla mwaka haujaisha huu
EMT partner i think we need a retreat japo siku tatu hivi tufanye tathmini na mipango nimechacha ujue na white christmas nahis kama inanipiga chenga hiv
cacico mke mwenza ujue siku ile ulinitamanisha ehehhehe huu mwaka kabla haujaisha hakikisha unanipa ze secreto!
jouneGwalu kwani na we unataka nikwambilie hapa,ah we subiri tukiwa beach bana
Mkunde Original been a pleasure kuzaring yu girl
Karucee aint any good word to write expressing th feelings u know
lara 1 manondo yako nimeyakubali mwaka huu thou mwishoni hapa uliniangusha kweli kweli!ila poa najua we ni fighter na vita ni vita mura haina kadi ya mwaliko wala dressing code!
GUYS NARUDIA TENA HAYO NILIYOANDIKA HAPO UNAFIKIRI NDO YOTE VILE NAJISIKIA!?a lot is in HERE IN THE HEART!
:busu:busu:busu:amen:
Mkuu Dark City...
Kweli umegusa mengi na wengi tunakila sababu ya kushukuru!
Mimi Jf imekuwa kama familia yangu ya pili,
Kuna wadau nimejuana nao hapa lakini i regard them as the part of my
family!! Mamndenyi, (huyu ni aunt yangu coz ukoo wetu ni mmoja but i use to call her mama na namkubali sana), Mr Rocky, Arushaone my brothers, tumejuana hapa na i always consider you as my truly brothers.
Nimekuwa nikipata faraja kubwa sana kupitia majukwaa mbalimbali hapa
JF
Misiba, shida za hapa na palepale mara nyingi nilifarijiwa na wanajf!
Special thanks kwa wife wangu shansarie, japokuwa hatukujuana kupitia JF ,
lakini hapa pamekuwa pia kama sehemu kubwa ya mawasiliano yetu..and I love you so much!!
( Ablessed i think you know something about me and shansarie)
Thanks to KOKUTONA umenikampani vya kutosha rafiki yangu.
we unaweza kuona ni kawaida but i real appriciate it....
my friends Ablessed mwallu, watu8 Kaizer marejesho Erickb52 Heaven on Earth, Mungi Filipo Passion Lady, kabanga, The secretary, MMAHE!!
mmekuwa marafiki wazuri sana kwangu, na nimefurahia sana kuwa marafiki wazuri.
Nimengi sana ambayo nayapata kupitia Jf, nisikusahau AshaDii inawezekana umesahau, lakini nikukumbushe tu
Tuliwahi kubadilishana mawazo hapa na hakika kuna kitu nilijifunza kupitia wewe!!
Thanks to all!!
Viva Jamiiforums, Viva Wanajamiiforum wote.
Much love to you all.
Dark City na watu8 kuna siku tutaonana!! keep this!