Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
karibu kipenzi!
love you mingi mingi!!!
Heri ya mwaka mupya 2013!!!
uwoniiii mlongo wangu....... mleka na kitumbua chake, vimemi ngo pambwani hapa, kyani hasa kujikoma kwa kitumbua tu na viwi vya mahele sana!
Asante sana . Hili remba lazima atajua kulifunga mwaka mpya ukianza kitaeleweka tuuuu. Nakutakia na wewe happy holidays nikianzia na xmas na masikukuu mangine yoteee sijui sikukuu ya........ na ya ...we jazia tuu humo kwenye deshi deshi. Mimi pia pendaga sana wewe karribu kwetu tule mandoro na makafu na mazizi/ yaani tule viazi usitafute dikishenari nshatafsiri. Af ujue una deni wewe au umenipotezea kwakweli sintakubali uniache niozee maswa ama ukenyenge au Tabora vijijini haiwezekani.dah!
MI HATA SIJUI NISEMEJE!
SERIOUS,sijui!SIJUI KWELI MJUE!
ila niseme tu JF imekuwa zaid ya vile niliwaza itakuwa!imenikutanisha na watu ambao eventually wamekuwa sehemu ya maisha yangu!TRULLY!
na sijawahi kujuta kuwafahamu! The Boss the guru of sreesome himself ehehehhe yu were there in makorokocho kibao!thank yu
Nicas Mtei shemeji uuuuuwih najua una hasiraje na mimi lakin mi na weye twajua tunamaliziana wapi!dec haijaisha hii ujue
Fixed Point my dada langu lenyewe la ukweee mwe i love yu sana!
BAK laifu server himself the best part of this mwaka was how tulimisiana af tukawa tunakufia ndani kwa ndani!
Kaunga shosti ai we sijui nisemeje!the recipe and the everything plus libesi kila nilipolimiss mweee makiss zingi zingiiiiii
King'asti ehehehehe mimi penda wewe sana girl yani ile offer ya kope za kubandika iko pale pale!sijui tumwibie nani atupeleke si unajua bakhresaa wetu kapotea wapi sijui!
amu oddo wangu mi naisubiri aprilo tufanye yetu!nipigiepo thimu bathi uniambie
SnowBall pacha wangu japo mwaka huu umesua sua sana humu jamvini ila i have u here here so najua upo and always thinking about ur pacha
Dark City ahahhaha babu mi ndo Mjukuu DC bana nsipokuchokoza unaweza uumwe ujue!ahahahha kwanza nasiki hili sredi umeanzisha uthiku ulikuwa umemuachaje bibi babu!oh
Kaizer umekuwa mwanafunzi mtiiifu kwangu kwa mwaka mzima!sijui hata kwenye ripoti nikuandikie A+au sijui niandikeje ila ur good gooder goodest
Asprin sante sana kwa kuwa unanipa samare mwaka wote huu!kwa kweli ntakupa zawadi!
Tized best mi japokuwa nilikuwa na mahesabu makali mwaka huu nimejitahidi sana kuyarahisisha ili twende sawa
Eiyer ah we bana umenifanya niwe natumia maakili ya chuo kikuu wakati mi uwezo wangu darasa la pili B tu!ulikuwa unaniuziga kama nini!
gfsonwin !mwe haki vile mi sijui nisemeje bana!SIJUI PEKE YAKO!
heaven on desert ujue huu mwaka umeisha bila kuwazalimisha hawa mamods watuwekee kale kajukwaa ketu!mwakani mpka kieleweke
Ablessed ehehhe hv hilo lemba pacha wako anajua kulifunga kama wewe,i hope hajui maana alivo kilaza si unajua?peda sana wewe
AshaDii we bana mwaka huu kati kati umekuwa mtoro mtoro humu umeniwacha kichwa kimepungua maakili yako ujue!mwakani puleeeez azima mimi hayo maakili kwa kuandika humu
HorsePower sijui nilni kilikuwa kinakupata pengine wifi alikuwa anakaba sana au ndo ulikuwa unatimiza il;e ahadi ya kuikimbiza china japo kwa idaid ya watu ila uliadimika humu kiasi fulani
watu8 dah!we mtani wangu wa kule kule kumiiitu af ujue pale makao makuu kuna kitu kinashushwa direct from kwa kina mangi hebu tufanye mashtuzi asee kabla mwaka haujaisha huu
EMT partner i think we need a retreat japo siku tatu hivi tufanye tathmini na mipango nimechacha ujue na white christmas nahis kama inanipiga chenga hiv
cacico mke mwenza ujue siku ile ulinitamanisha ehehhehe huu mwaka kabla haujaisha hakikisha unanipa ze secreto!
jouneGwalu kwani na we unataka nikwambilie hapa,ah we subiri tukiwa beach bana
Mkunde Original been a pleasure kuzaring yu girl
Karucee aint any good word to write expressing th feelings u know
lara 1 manondo yako nimeyakubali mwaka huu thou mwishoni hapa uliniangusha kweli kweli!ila poa najua we ni fighter na vita ni vita mura haina kadi ya mwaliko wala dressing code!
GUYS NARUDIA TENA HAYO NILIYOANDIKA HAPO UNAFIKIRI NDO YOTE VILE NAJISIKIA!?a lot is in HERE IN THE HEART!
:busu:busu:busu:amen:
Asante sana dear yaani umekua moyoni mwangu since then . Huwa sikumbuki jina lkn hii sura ya avator yako daima ipo kichwani kwangu. Nashukuru sana mpenzi kama unaendelea vizuri nimefurahi sana sina namna ya kuandika vizuri ili ujue ni kwa kiasi gani nimefurahi . Bado nitaendelea kukukumbuka kwenye sala zangu . Pamoja sanaaaDada angu
huyo member ni mimi, niliondolewa figo iliyokuwa ameshambuliwa na sasa Namshukuru Mwenyezi Mungu niko salama, Mungu akuzidiie moyo wa namna hiyo.
Ujumbe umefika babu...... Tized upo kwenye mikono salamaPoa mkuu,
Uwepo wako hapa jamvini ni muhimu sana kuliko ninavyoweza kueleza.
Ila ujitahidi uingie kwenye ile club ya kuuza uhuru wako ili siku moja na wewe ustaafu...lol!!
cc: Fixed Point kwa ajili ya huduma ya counseling ...
ha haaa, nshalishwa sumu nyingi sana basi kama ndo hivyo, lol!Hahahahahahhahahahhahahhahh,
Hivi kweli uko naive kiasi hicho?? Hayo madesa/simbi unayopewa ni toxic mkubwa mwenzangu...labda kama ungekuwa mwanamume mwenzake ningeamini....
Hata siku moja, hakuna mwanamume anayeweza kumueleza mwenzi wake successful attacks au deliberate attempts. Mara nyingi zinatolewa stories za watu wanaosumbua sumbua kama akina Kongosho...
Babu DC!!
ulolili?Leo iko kazi leo
Amina kumbe unaitwa babu? Sijalifahamu hili jina before. Bas sawa tunashukuru
....am humbled AshaDii,
Namshukuru Mwenyezi Mungu
Na pia nakutakia nawe na family yako
Pamoja na Members wote....
****Heri ya Mwaka Mpya 2014!***
jf ni zaidi ya kijiji
tumekua wamoja na
tudumishe yote mazuri mabaya
tupa kureeeee!!amina Nicas Mtei!!
AshaDii nitarudi kujibu salamu hizi, kwa sasa naweza kusema tu asante mpenzi na ubarikiwe kwa kutukumbuka sie wanyonge.
Nafurahia JF sana............ni forum ambayo nisipoingia huwa naumwa...........
kuna watu sijawahi kukutana nao lakin the way tunavyorelate hum ni kama ndugu wa kujuana
LONG LIVE JF
Wife AshaDii u have said it all
sina mengi ya kusema zaidi ya asante...
siwezi kuwataja wote hapa as kila mwana JF ana influence yake kwangu kwa namna ya pekee,,,asanteni wote, natumai tutakuwa wote tena mwaka 2014. Ila naomba tu niwataje DEMBA na gfsonwin wake zangu chini ya dada yao AshaDii, amu (mtoto mtukutu, smart, rafiki wa ukwee) snowhite na madame b (walimu wangu) Ennie umbuje, @ heaven on earth (dawa yako ipo jikoni)
Mkuu Dark City kusema ukweli mchango wako ni wa muhimu sana hapa jamvini, ndio maana usipokuwepo sisi wazee wenzako wastaafu tunaokoa jahazi, rafiki Fixed Point anaweza kushuhudia hili hakuna kinachoharibika
Naomba nitambua michango tukuka ya wakuu wangu: watu8, Nyani Ngabu Matola King Kong III @ babu Asprin (tutamalizana fea wei), Kongosho (some scores to settle) Paloma, Karucee (naughty gal--i like ur threads) BAK LiverpoolFC, Filipo marejesho Mwanyasi KOKUTONA The Finest Major mwenda sungura1980 Tiba Fidel80 Arushaone ladydoctor Mamndenyi (hivi uzi wa nyumba ndogo wautakiani au ndo umeshtukizia una kaukweli lol) charminglady (miss u) Preta 'Valentina' Tonykp C6 Allien King'asti Mwali mwallu (sichezi na wewe) Smile Rejao Mtambuzi (mzee wa upareni), RR, MwanajamiiOne LD LIKUD Evelyn Salt Nicas Mtei na wengineo wengi
Shukrani kwa Invisible and team kwa kusimama imara JF isitetereke
Nawapenda wangoni woote wa kike mlioko hapa.....:noidea: (heby mjitaje)....
Muwe na jumapili njema
ujumbe wa leo: Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi....
shikamoo babu.......babu nisamehe nimechelewa hapa.....nilikuwa Qunu ndio narudi muda huu......ngoja nivute kigoda nikae sasa......uuuh nimechoka kweli........
Ankal Kaizer i miss u too!! Nikipata nauli ntaja kukusalimia.....
JF ni zaidi ya mtandao wa kijamii.
Poa mkuu,
Uwepo wako hapa jamvini ni muhimu sana kuliko ninavyoweza kueleza.
Ila ujitahidi uingie kwenye ile club ya kuuza uhuru wako ili siku moja na wewe ustaafu...lol!!
cc: Fixed Point kwa ajili ya huduma ya counseling ...
Babu DC!!
ulolili?
Hahahahahahahaha wewe kiwatengu wewe unantafutia kesi we haya tu. Huwa nawapenda sana na huwa nafurahia uwepo wenu daima. Nawaombea mema yote ambayo Bwana amepanga kuwapa basi mpewe sawasawa na mapenzi yake. inyi ni wadogo zangu wa ukweli mimi penda sana
Tized sikukuu njema mkuu na ukauanze mwaka kwa baraka za MunguBabu DC nakushukuru sana Mkuu, Ni heshima kubwa sana.
Uhuru nimeushikilia bado, niko mbioni kuu chuuza Mkuu.
Dada yangu Fixed Point tafadhali husika na wosia wa Babu hapo chini.
Long live Babu DC.
Tized.
nimeshamhakikishia babu, upo mikono sahihiBabu DC nakushukuru sana Mkuu, Ni heshima kubwa sana.
Uhuru nimeushikilia bado, niko mbioni kuu chuuza Mkuu.
Dada yangu Fixed Point tafadhali husika na wosia wa Babu hapo chini.
Long live Babu DC.
Tized.
ha haaa, babu kuwa na amani, relax...... ukiona nyani mzeeeee..........Duuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhh,
Kumbe unahitaji antidot?....sitaki kushiriki kuitafuta lakini...lol!!
Pole sana mkubwa mwenzangu....
ha haaa, sasa ulipitaje viwanja vya wenyewe?Unanionea bure, mwenzio sielewi hii lugha yenu.
Wadau wa JF,
Haiitaji mjadala mkubwa kwamba waanzilishi wa JF wanastahili pongezi nyingi sana kwa kufikiria kuwa na kitu kama hiki. Hatupashwi kuwashukuru kwa kuwa na wazo kuanzisha JF tu, bali pia kuhakikisha JF inakua na kufikia ilipo sasa. Najua haikuwa kazi rahisi, lakini mmeweza. Nawapeni pongezi.
Kwa sisi wadau, tunalo jukumu la kuhakikisha kwamba JF inaendelea kuwepo kwa kutoa michango ya hapa na pale mara tunapotakiwa kufanya hivyo. Tuwaunge mkono waanzilishi.
Labda niitumie nafasi hii pia kusema kwamba JF ya miaka ile ya 2008 wakati najiunga, si kama JF ya sasa. Nilikuwa nikiingia JF, natarajia kupata mambo mapya ambayo hatuyasomi hata kwenye magazeti, constructive contrbutions kutoka kwa members na mambo kama hayo. Ilikuwa ni sehemu ambayo mbali na kupata habari, lakini pia mtu ulikuwa unajifunza mengi usiyoyajua. JF ya sasa imebadilika kuwa uwanja wa mipasho, kejeli na matusi na hasa kutoka kwa wale waliojiunga JF kama sehemu ya ajira yao. JF hongera kwa hili pia kwamba sasa mmesaidia kutoa ajira kwa Watanzania. Ningependa kupendekeza kwamba kuna haja ya kuongeza idadi ya moderators ili kuwa na monitoring ya karibu ya post za watu. Hatuna haja ya kutukanana na kutumia lugha za kejeli. Siku hizi majina kama mburula, kima, nyani, mjinga, --------, Ms$ng3 ni order of the day. Tunapashwa tujenge utamaduni wa kuheshimiana hata kama haujafurahia mchango au mawazo ya mwenzako. JF bado ina nafasi ya kukua na kuwa na faida zaidi ya sasa, tuwaunge mkono waanzilishi.
Nawatakia maandalizi mema ya Xmas na mwaka mpya 2014.
Tiba
ha haaa, babu kuwa na amani, relax...... ukiona nyani mzeeeee..........
hakuna antidoti inayohitajika, not any time soon