WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Khaaaaaaa!!!!
Hata wewe unanigeuka humu JF, Paloma Paloma Paloma.....

Nakusubiri uje kijiwe cha kahawa nikuzodoe. Nakusubiri unajua sitanii ujue.... LOL ....... Source amu


Bora umeona mwenyewe....mwenzio bado nina paralysis ya kila kiungo....lol!!!


Ngoja sasa niwe mtazamaji.

Deus
 
Lol....

Kwa namna fulani wakati naanza hapa JF sikufikiria kama atatokea mtu wa kunifikisha unaponifikisha!!

Hii hata Bidada AshaDii sijamwambiaga....!

Ngoja nimwambie kupitia uzi huu wa Mzee wangu Babu Major DC....
Mwenzio yamenikuta na huyu mtoto. Kwisha habari yangu.
snowhite mpenzi, tuweke reservation kule Mtwara kabisa.

Upo mkuu? Mbona umepotea kiasi hicho?

Babu kafurahi sana kukuona kiringeni ingawa umemficha vitu hapo juu!

Babu DC!!
 
Mbona macho yako yanazungumza tofauti na mdomo wako?

Namshukuru Mwenyezi Mungu kanipa macho mazuri ambayo hu-confuse watu kama wewe!

Heri ungekuwa na upeo wa kujua ya moyoni na si machoni!
 
Khaaaaaaa!!!!
Hata wewe unanigeuka humu JF, Paloma Paloma Paloma.....

Nakusubiri uje kijiwe cha kahawa nikuzodoe. Nakusubiri unajua sitanii ujue.... LOL ....... Source amu

Babu,,,kiotani naogopa kuja haswa ukizingatia vidonge ulivonimezea utanitemea!

Labda nipate escort ya babu Dark City
 
Last edited by a moderator:
Nipo Babu. Mihangaiko tuu ya hapa na pale. Sijui nianzie wapi maana niko kote kote. Pia sijui nimtaje nani na nimwache maana huwa nawasoma na ku-interact na watu wengi. Katika mwaka 2013 nimeendelea kujifunza mengi kutoka kwa WanaJF hasa kwenye threads/posts zao za kujifunza, kuhabarisha, kufurahisha na pia za kuhusunisha sana. Hivyo kujaribu kuwataja wote will be like fighting a loosing battle.

Hata hivyo, niwapongeze waendeshaji wa JF kwa kuendelea kuboresha jukwaa hili hasa katika kipindi hiki ambacho JF imepanuka kwa kuwa na members ambao siyo wapya tuu bali pia walio na mawazo tofauti. Niwapongeze moderators kwa kazi yao ngumu ya ku-moderate JF. Japokuwa baadhi yetu huwa tunawanaga kwenye posts zetu, we still value your your work. Ni vigumu sana ku-moderate social media ambayo information ina-flow horizontally.

Lakini pia nichukue nafasi hii kuwashukuru baadhi ya WanaJF ambao wameni-trust kiasi cha kuniomba ushauri katika masuala yao binafsi bila kuwashirikisha Members wengine au kwa kuwashirikisha Members wachache sana. I know we go through through life by putting our trust on others, lakini inapofikia mpaka mtu ambaye hakujui na humjui nje ya JF kuku-trust na kukuomba ushauri kwenye masuala yake binafsi huna budi ku-appeaciate na kushukuru. So, I thank all those JF Members who have put trust on me. For confidentiality reasons, sitawataja hapa.

Pamoja na faida binafsi ambazo tunazipata hapa MMU, nadhani kama wapenzi wa jukwaa hili bado tuna changamato kubwa. Tuna changamoto ya kuwakubali members wapya ambao wana mawazo tofauti na tuliyoyazoea huko nyuma. Tusiwanage sana bali tukubali kuwa JF inaelekea kwenye hatua nyingine. JF is no longer a club for certain type of people. JF inaanza ku-reflect maisha ya Watanzania kupitia kwenye michango ya members wake.

Lakini changamoto kubwa ambayo naiona mbele yetu ni jinsi ya kulifanya jukwaa hili kuwa na impact siyo tuu kwetu sisi individually kama JF Members, bali pia kwa jamii yetu nzima kwa ujumla. Mahusiano, mapenzi na urafiki ni mambo muhimu siyo tuu kwa mtu mmoja mmoja bali pia kwa jamii nzima. Kama kuna mahusiano, mapenzi na urafiki ndani ya jamii, basi jamii hiyo itachanua na kusaidia nyanja nyingine kuchanua pia.

If a person cannot live without love, then the society cannot also live without love. Tunajitaji mahusiano, mapenzi na urafiki kwenye jamii yetu. Lakini jamii yetu kwa sasa inaelekea kuendekeza ubinafsi kwa kutothamini maisha ya watu wengine. Ubinadamu unapungua kwa kasi kubwa sana kwenye jamii yetu.

Tumesoma na wengine tumeona yaliyotokea Mwanza. Kama alivyosema Chakaza kwenye uzi wake, "Marehemu ameuwawa katika eneo lake la uongozi ambalo mwaka 2010 alitajwa kuwa alishinda kwa kishindo na amekuwa mwakilishi wao katika baraza la madiwani la wilaya ya Magu toka wakati huo. Hii ni kuonyesha kuwa Raia hao alikuwa nao siku zote, wanamfahamu kama kiongozi wao, shida zao za kila siku wanampelekea yeye kama Diwani na mahusiano yapo ya kila mara kati yake na viongozi wa vitongoji vya kata hiyo ya Kisesa" lakini bado wakaamua kumwua. Wengi wamelichulia hili suala kama ni la kisiasa, lakini linaweza pia kuwa suala la kijamii aka kukosena kwa mahusiano, mapenzi na urafiki baina ya wahusika.

Jamii imefanya baadhi ya watu waamini kuwa wanaweza kuishi bila mahusiano, mapenzi na urafiki na ku-thrive. Watoto ambao hawatunzwi na kupendwa huwa wanafariki kutokana na kitu kinachoitwa "failure to thrive". Wale ambao wanafanikiwa kuishi kwenye jamii isiyokuwa na mahusiano, mapenzi na urafiki wanashia kuwa anti-social (kutokuwa na mahusiano, mapenzi na utafiki), wanakata tamaa na wanashindwa kuzalisha. Matokeo yake ni kuwa na jamii iliyo na wazalishaji wachache sana.

Hakuna jamii au mtu binafsi anaweza kushamiri bila kuwa na mahusiano, mapenzi na urafiki. Hivyo basi, wakati MMU ikitusaidia kuboresha mahusiano, mapenzi na urafiki baina yetu kama WanaJF, pia tutathmini jinsi MMU itakavyoweza kuimarisha na kuboresha masuala hayo nyeti kwenye jamii yetu kwa ujumla.

Sina kitu cha kuongeza mkuu. Ni bonge la analysis iliyoshiba.

Tumetoka mbali sana ila hata huko tunakoenda ni mbali kuliko tunavyofikiri.


Tuzidi kuvumiliana na kusaidiana, tutafika tu!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Jf' ni jukwaa la kipekee sana binafsi najivunia kuwepo hapa. Jamiiforum imenipa marafiki na imenikutanisha na ndugu na jamaa zangu kutoka pande mbalimbali za dunia hii. Jamiiforum ni mahala ambapo watu huwa tunapishana na kukubaliana kimawazo(agree to disagree) lakini ni matumaini yangu haitupelekei kuwa maadui. Nichukue nafasi hii kuwashukuru brothers ambao nimekutana nao humu ndani lakini ukweli tumekuwa zaidi ya ndugu hata nje ya jukwaa hili(jf). Kwanza nikushukuru brother Ritz wewe niwa kipekee sana na ninajivunia kujuana na wewe, Boko haram, THE BIG SHOW, mzee wangu Mohamed Said nakushukuru sana kwa ushauri na mawazo yako unayonipatia kiukweli ninafarijika sana, brother dr kahtaan, ndugu yangu gombesugu, Mohamedi Mtoi, Elli, Zumbe Mkuu, MANI, ZeMarcopolo, Madame B, Mamndenyi, mkuu wangu chama, dada AshaDii, Nguruvi3, Wickama, best yangu Shardcole et al. Nimejifunza kutoka kwenu na nawatakia kila heri.


Karibu sana mkuu.

Ushuhuda kama huu unawapa nguvu waendeshaji wa JF kuendeleza libeneke na sisi wachunguliaji kutopotea moja kwa moja.

Babu DC!
 
Namshukuru Mwenyezi Mungu kanipa macho mazuri ambayo hu-confuse watu kama wewe!

Heri ungekuwa na upeo wa kujua ya moyoni na si machoni!

Kama kuna mwalimu aliyekufundisha hili anatakiwa afukuzwe kazi kabisaaaa

Hakuna mahali popote ambapo macho yamewahi kuongopa na haitakuja kutokea kamwe!
 
Vitu vingine vyahitaji utulivu sana babu DC!

Mwambie Deus amsalimie Dennis!

Kwani wewe Paloma una nini leo?

Hujamaliza kesi ya Mtambuzi na hapo hapo unataka kuanzisha nyingine?

Babu hapendi uchokozi mdogo wangu!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani wewe Paloma una nini leo?

Hujamaliza kesi ya Mtambuzi na hapo hapo unataka kuanzisha nyingine?

Babu hapendi uchokozi mdogo wangu!

Babu DC!!

Babu msamehe mjukuu wako bureee! Hata hataki kukuchokoza kabisa! Ni mapenzi tu hakuna la ziada!

Ukitaka kujua leo nina nguvu nyingi sana!
 
Last edited by a moderator:
Babu msamehe mjukuu wako bureee! Hata hataki kukuchokoza kabisa! Ni mapenzi tu hakuna la ziada!

Ukitaka kujua leo nina nguvu nyingi sana!

Nguvu zipi hizo tena?

kuna watu nasikia wako kwenye mgawo kama ule wa enzi za Ngeleja na mabwawa ya mtera. Wakuone uwamegee??

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom