Walokole wengi wana magonjwa ya afya ya akili?

Mlokole hawezi fanya hvyo, na pastor alopokea hiyo pesa hakufanya sahihi,(Kilokole)
Vijipastor vilivyoshindwa maisha na kuamua kujificha kwenye kivuli cha ulokole vinaleta taswira mbaya kwa jamii.

Huo ni ufyatu wa akili ya huyo mama na bangi alizovuta ujanani sio tafsiri ya ulokole.
FAMILIA NI PRIORITY YA KWANZA KWENYE ULOKOLE.
 
Yani siku hizi hao walokole ndio wachafu balaa kuna jamaa alisema ukitaka kumuona shetani live onana au ishi na hao church girls na umjue kiundani, utajuta. Wengi wao ni wale ambao walikuwa na changamoto hivyo wanatumia kama makanisa kuficha mambo yako.
 
Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!

Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia. Guess what? Mama aliuza nyumba na kiwanja, pesa zote kapeleka kwa mchungaji(Moses Kulola).

Baada ya hapo tuliishi maisha ya shida sana, taabu mno! Huku akitujaza sumu kwamba baba katutelekeza, baba ni mbaya, baba hamjui yesu, anavuta sigara na mengine mengi!

Mungu si Athumani tumekua tukamtafuta baba(kwa sasa ni marehemu).

Sasa tunauona moto alioukimbia baba!

Nilijiapiza kutokuoa mwanamke mlokole, hata wife siku akirenda tu kwenye makanisa ya kilokole, it is over!

Nawasihi sana vijana wenzangu, usithubutu kuoa mlokole!

USISEME HUKUAMBIWA
Walokole wengi ni vichaa wa imani (ambayo hawailewi wala kuipractise sawasawa). Shemeji yangu mmoja kila kukicha anahama manabii. Alianzia kwa nabii mzee wa upako aliyekuwa akimsifia hata kuliko mume wake. Baadaye akahamia kwa nabii Mtalemwa. Hapa alikaaa sana kabla ya kubadilisha gea angani akahamia kwa nabii kiboko ya wachawi. Kiboko alipofurushwa nchini, ikabidi akimbilie kwa nabii Mwamposa ambako yupo hadi leo. Mwaka huu ukiisha kabla hajahamia kwa nabii mwingine, naomba nipigwe ban mwaka mzima.
 
Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!

Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia. Guess what? Mama aliuza nyumba na kiwanja, pesa zote kapeleka kwa mchungaji(Moses Kulola).

Baada ya hapo tuliishi maisha ya shida sana, taabu mno! Huku akitujaza sumu kwamba baba katutelekeza, baba ni mbaya, baba hamjui yesu, anavuta sigara na mengine mengi!

Mungu si Athumani tumekua tukamtafuta baba(kwa sasa ni marehemu).

Sasa tunauona moto alioukimbia baba!

Nilijiapiza kutokuoa mwanamke mlokole, hata wife siku akirenda tu kwenye makanisa ya kilokole, it is over!

Nawasihi sana vijana wenzangu, usithubutu kuoa mlokole!

USISEME HUKUAMBIWA
 
Walokole hasa wa makanisa ya mabati/majamvi au yaliyokuwa hivyo hamna kitu,bora mpagani.
Kuna dogo anaishi na mke wake kwenye kiwanja changu ananilindia. Sasa kuna kifaa nilihifadhi kwa huyo dogo nikawa nakihitaji nikafanyie kazi.

Nikamcheki dogo kwenye simu ili aniletee mahali nilipo, akasema hayupo nyumbani na mke wake simu yake imeharibika, hivyo ikabidi niende nyumbani kwake. Kufika hapo kwa dogo nikakuta wanasali (walokole kama 10 hivi)ile kijumuiya nadhani ilikuwa asubuhi. Nikapiga mahesabu kusubiri mpaka wamalize kusali nitakuwa nimechelewa kazi yangu. Nikanyata mdogo mdogo mpaka wanaposali nikakatisha ibada nikasema samahani kwa usumbufu za asubuhi, hakuna alieitikia, waliniangalia kwa hasira na dharahu, miguuni nilikuwa na vumbi. Basi mke wa dogo akawa ameniona nikamwambia anipe kifaa.

Nakiri kukosea kwa kukatisha ibada lakini kwa watu wa Mungu kweli walitakiwa wanisikilIze kwanza bila kuonyesha hasira na dharau maana pengine nilikuwa nahitaji msaada mkubwa kwao,pengine kuna ajali nahitaji msaada.
Mkuu umemaliza kila kitu. Kuna dada yangu mmoja anasali huko kwenye makanisa ya mabati yaani ni mwendawazimu kabisa. Yupo tayari achukue pesa zote atoe sadaka, watoto walale njaa. Nadhani wale "manabii" wao huwa wanawaroga aisee!
 
Dah! Hatari sana kaka
Kuna jamaa yangu tulisoma pamoja mkoa ambao ni kwao tukawa zaidi ya marafiki, ikawa ni familia kabisa

Tulipopata kazi Dar Jamaa akawavuta wazee wake akawajenge nyumba safi kabisa Tabata na Vitara Grand.

Akapata mchongo kwenda Canada miaka 5 kikazi……… huku nyuma wazee si WAKAOKOKA
Wakatoa sadaka Nyumba ikageuzwa kanisa, gari likawa la mchungaji
Wao wakaenda kupanga Tabata Kisukuru chumba na sebule
Kila hela wanayotumiwa wanatoa sadaka kwa mchungaji

Jamaa hana habari, siku moja nikapita mitaa ile nikaona ngoja nikawasalimie wazee wangu nakuta kanisa kubwa la mabati na nyumba imekua ya mchungaji

Nilipo jiridhisha wazee “wamechanganyikiwa na Imani” nikampigia jamaa.
Ikabidi alazimishe udhuru kurudi Bongo…….. Palikua hapatoshi wazee wamekomaa ni HAKI yao kumtolea Mungu na Mchungaji kabana

Mwisho wa siku jamaa alifanikiwa kurudisha nyumba na gari kwa mbinde na wazee wakasusa wakarudi mkoani
 
hatari
 
naunga hoja ila sio wote ni shetani na uongo wake kabadilisha ukweli kuwa uongo ndio maana wanasubilia Yesu ashuke toka angani ...wakat yupo duniani anatawala na hukumu inaendelea ishara zote laakini bado ni vipofu ....
 
Ndicho kinachonikuta kwa mama yangu
 
naunga hoja ila sio wote ni shetani na uongo wake kabadilisha ukweli kuwa uongo ndio maana wanasubilia Yesu ashuke toka angani ...wakat yupo duniani anatawala na hukumu inaendelea ishara zote laakini bado ni vipofu ....
 
Attachments

  • VID-20260623-WA0001.mp4
    1.6 MB
naunga hoja ila sio wote ni shetani na uongo wake kabadilisha ukweli kuwa uongo ndio maana wanasubilia Yesu ashuke toka angani ...wakat yupo duniani anatawala na hukumu inaendelea ishara zote laakini bado ni vipofu ....

Ni kweli si sahihi kusema kila mtu wa dini fulani ni mbaya. Lakini pia si sahihi kumhukumu kila asiyeamini kama “kipofu” bila kusikiliza hoja zake.

Biblia yenyewe inasema: “Msihukumu, msije mkahukumiwa.” (Mathayo 7:1)

Pia inasema , “Jaribuni mambo yote; lishikeni lililo jema.” (1 Wathesalonike 5:21)

Kuhusu Yesu kushuka na hukumu, hata Biblia inasema kuna mambo ambayo watu hawajui kwa hakika:
“Lakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika wa mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.” (Mathayo 24:36)

Kwa hiyo jambo la msingi si kuwashambulia wengine, bali kila mmoja aonyeshe ukweli kwa tabia, haki na ushahidi.

Yesu alisema: “Kwa matunda yao mtawatambua.” (Mathayo 7:16)

Hivyo tusipime watu kwa chuki, tupime kwa ukweli na matendo.
 
Back
Top Bottom