Utafiti: Wanawake wa kuoa wanapatikana mtaani sio kwenye ulokole, shauri yako!

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,852
18,261
Naingia kwenye mada straight away bila kuwachosha. Mada hii inatokana na utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni. Ndugu zangu mabachela mnaotafuta wanawake wa kuoa nawaomba muwe makini sana na mchukue tahadhari ya kutosha. Wanawake safi wa kuoa hupatikana mtaani sio kwenye makanisa ya kilokole na mitume na manabii.

Wasichana wengi wanaokwenda kwa mitume kutafuta ndoa ni wale waliododa huku mitaani. Baada ya kuona umri unakwenda na wachumba hawaji, ndipo huamua kukimbilia kwenye makanisa ya mitume kutafuta wachumba.

Na kwa kuwa wanaume wengi wanadanganyika kuwa ulokoleni wanaweza kuwapata wanawake wenye hofu ya Mungu, basi huenda huko kutafuta wachumba na hatimaye wake wa kuoa! Mvuvi makini anayejitambua hawezi kwenda kwenye kanisa la kilokole kuvua mke. Kule utaambulia vyura, kaa na watoto wa kenge!

Ni afadhali umtafute mke (hata malaya) mtaani kisha umfunde taratibu arejee kwenye uke wema kuliko kwenda ulokoleni kutafuta mke mwenye hofu ya Mungu. Wasichana waliofanya uhuni hadi wamefika mwisho wa uhuni, hukimbilia kwa manabii kutafuta waume wa kuwaoa. So, usije ukarogwa ukaenda kwenye makanisa ya kilokole kutafuta mchumba wa kuoa. Imekula kwako jamaa yangu.

Hebu wewe fikiria wanawake waliokata tamaa kama hawa hapa. Kuna mke hapa? La hasha! Hawa wote wameishatumika sana huko mitaani, sasa wamekuja kwa walokole kufanya utapeli wa ndoa.
Kisa cha kweli
Jamaa yangu mmoja alienda kutafuta mke wa kilokole akamuoa. Mwanzoni alionekana mke maridadi kabisa. Ni kawaida kwa wanawake kujigeuza kuwa kondoo wakati wa uchumba ilhali wamevaa nafsi za chui. Basi alipoingia kwenye ndoa siku moja wakati wanakulana tunda la ndoa, mwanamke akamuomba mume amdinye kwa mpalange. Mume akadhani ni masikhara au labda anapimwa imani yake ya kiroho. Kumbe mwanamke alikuwa serious bhana!

Iibidi kiitishwe kikao cha familia kujadili jambo hilo. Ndipo ilipokuja kubainika kuwa yule mwanamke alikuwa mhuni tu aliyeamua kujivisha ngozi ya kondoo na kukimbilia kwa walokole kutafuta huruma ya kuolewa. Hatimaye ndoa ilisambaratika wakagawana mbao kila mmoja akaendelea na maisha yake.

Kwa hiyo ndugu zangu kuweni makini sana pindi mnapotafuta wanawake wa maisha. Ni mara 100 utafute msichana mtaani kuliko kwenye makanisa ya kilokole. Kule wamejaa matapeli wa kutupwa kuanzia kwa mitume wenyewe hadi kwa waumini.

Nawasilisha.
 
Naingia kwenye mada straight away bila kuwachosha. Mada hii inatokana na utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni. Ndugu zangu mabachela mnaotafuta wanawake wa kuoa nawaomba muwe makini sana na mchukue tahadhari ya kutosha. Wanawake safi wa kuoa hupatikana mtaani sio kwenye makanisa ya kilokole na mitume na manabii.

Wasichana wengi wanaokwenda kwa mitume kutafuta ndoa ni wale waliododa huku mitaani. Baada ya kuona umri unakwenda na wachumba hawaji, ndipo huamua kukimbilia kwenye makanisa ya mitume kutafuta wachumba.

Na kwa kuwa wanaume wengi wanadanganyika kuwa ulokoleni wanaweza kuwapata wanawake wenye hofu ya Mungu, basi huenda huko kutafuta wachumba na hatimaye wake wa kuoa! Mvuvi makini anayejitambua hawezi kwenda kwenye kanisa la kilokole kuvua mke. Kule utaambulia vyura, kaa na watoto wa kenge!

Ni afadhali umtafute mke (hata malaya) mtaani kisha umfunde taratibu arejee kwenye uke wema kuliko kwenda ulokoleni kutafuta mke mwenye hofu ya Mungu. Wasichana waliofanya uhuni hadi wamefika mwisho wa uhuni, hukimbilia kwa manabii kutafuta waume wa kuwaoa. So, usije ukarogwa ukaenda kwenye makanisa ya kilokole kutafuta mchumba wa kuoa. Imekula kwako jamaa yangu

Hebu wewe fikiria wanawake waliokata tamaa kama hawa hapa. Kuna mke hapa? La hasha! Hawa wote wameishatumika sana huko mitaani, sasa wamekuja kwa walokole kufanya utapeli wa ndoa.

View attachment 2834386
Kisa cha kweli
Jamaa yangu mmoja alienda kutafuta mke wa kilokole akamuoa. Mwanzoni alionekana mke maridadi kabisa. Ni kawaida kwa wanawake kujigeuza kuwa kondoo wakati wa uchumba ilhali wamevaa nafsi za chui. Basi alipoingia kwenye ndoa siku moja wakati wanakulana tunda la ndoa, mwanamke akamuomba mume amdinye kwa mpalange. Mume akadhani ni masikhara au labda anapimwa imani yake ya kiroho. Kumbe mwanamke alikuwa serious bhana!

Iibidi kiitishwe kikao cha familia kujadili jambo hilo. Ndipo ilipokuja kubainika kuwa yule mwanamke alikuwa mhuni tu aliyeamua kujivisha ngozi ya kondoo na kukimbilia kwa walokole kutafuta huruma ya kuolewa. Hatimaye ndoa ilisambaratika wakagawana mbao kila mmoja akaendelea na maisha yake.

Kwa hiyo ndugu zangu kuweni makini sana pindi mnapotafuta wanawake wa maisha. Ni mara 100 utafute msichana mtaani kuliko kwenye makanisa ya kilokole. Kule wamejaa matapeli wa kutupwa kuanzia kwa mitume wenyewe hadi kwa waumini.

Nawasilisha.
Mada yako inajichanganya halafu haiana ukweli wowote.
1. Unasema ni bora uoe malaya wa mtaani halafu umfunde mwenyewe halafu hapo hapo unasema wanakimbilia kwenye haya makanisa ni wale malaya waliokosa wanaume.
2. Mfano mmoja uliotumia siyo kipimo sahihi cha kufanya hitimisho.
3. Makasani kuna wanawake na wanaume matapeli, na pia mtaani ni hivyo hivyo. Jambo la muhimu ni wewe mwenye kufanya uchunguzi.
 
1. Malaya wa mtaani ni afadhali kuliko malaya mlokole
2. Huo sio mfano bali ni kisa kilichompata ndugu yangu wa karibu baada ya kuoa mwanamke tapeli wa kilokole. Mifano ipo mingi, hebu tazama hiyo video ya kisulisuli kwenye video utagundua jambo.
3. Matapeli wa mitaani ni rahisi kuwang'amua kuliko wale wa makanisani......wa makanisani utapeli wao ni wa kidijitali. Unakuja kuwagundua ukiwa umeishapigwa kitu kizito kichwani.
 
Unapoenda kanisani huendi kuonana na malaika. Kwenye nyumba za ibada kunawatu wa aina zote, mpaka wachawi.

Unapaswa kuwa na jicho na masikio ya kiroho kuweza kubaini nani atakufaa na nani hakufai.

Mawe mawili kwenye debe la mchele, hayabadilishi mchele kuwa ulezi.
 
Hilo neno 'Kiroho' 'Roho' Linamaanisha nini? Maana jiraniq akiota ndogo anasema ana roho,akifanya maamuzi anasema kiroho'........
 
Unapoenda kanisani huendi kuonana na malaika. Kwenye nyumba za ibada kunawatu wa aina zote, mpaka wachawi.

Unapaswa kuwa na jicho na masikio ya kiroho kuweza kubaini nani atakufaa na nani hakufai.

Mawe mawili kwenye debe la mchele, hayabadilishi mchele kuwa ulezi.
Ndio maana nimetoa angaliza kwa waoaji wasikimbilie makanisani kichwa kichwa. Kule kumejaa wanawake malaya, wanafiq wazandiki na matapeli wakubwa. Usipokuwa makini unaweza kuoa mnyonya damu halafu ikawa shida.
 
Back
Top Bottom