Walokole wengi wana magonjwa ya afya ya akili?

Walokole wengi wana magonjwa ya afya ya akili?

So kipi kinaanza,
1) Anaanza kuwa na shida ya afya ya akili ndio inampelekea kuokoka? Au

2) Anaokoka halafu shida ya afya ya akili inakuja?

Nisaidie mkuu kuna kautafiti nakafanya
Utafiti wangu unaonionyesha kwamba anaanza na nusu afya ya akili lakini akishaingia ndani ya ulokole anakuwa na afya ya akili kamili mkuu.
 
Mleta mada punguza msongo wa mawazo. Matatizo ya mamako siyo matatizo ya walokole.
 
Sijui kwa nini, nikimuona mtu yoyote anahubiri neno la Mungu mtaani may be Sokoni au maeneo yoyote ya wazi ikiwa tu atakua amepauka pauka anaonekana ni maskini huwa najikuta nampuuza na kumwona kachanganyikiwa kama alivyosema mleta uzi.. Halafu wengi wao wanaoneka hawako sawa.
 
Kuokoka sio shida kabisa, kuokoka ni kuacha dhambi na kuishi maisha matakatifu, Bibilia haijasema mtu akiokoka ashinde kwa mchungaji, au kanisani, anatakiwa akafanye kazi, unauza nyumba, tunategemea aliyeokoka anaitunza familia, ana upendo anajali wenzake, ukiona mtu ameokoka hayo hafanyi ujue kuna namna nyingine hayuko sawa
 
Back
Top Bottom