Walokole wengi wana magonjwa ya afya ya akili?

Walokole wengi wana magonjwa ya afya ya akili?

Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!

Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia. Guess what? Mama aliuza nyumba na kiwanja, pesa zote kapeleka kwa mchungaji(Moses Kulola).

Baada ya hapo tuliishi maisha ya shida sana, taabu mno! Huku akitujaza sumu kwamba baba katutelekeza, baba ni mbaya, baba hamjui yesu, anavuta sigara na mengine mengi!

Mungu si Athumani tumekua tukamtafuta baba(kwa sasa ni marehemu).

Sasa tunauona moto alioukimbia baba!

Nilijiapiza kutokuoa mwanamke mlokole, hata wife siku akirenda tu kwenye makanisa ya kilokole, it is over!

Nawasihi sana vijana wenzangu, usithubutu kuoa mlokole!

USISEME HUKUAMBIWA
Walokole hawana tofauti na hawa wanasiasa wa kiuanaharakati. Wamejaa changamoto nyingi. Ila cha ajabu viongozi wanaowaita wachungaji huo wapo tofauti sana na waumini wao.
 
Hata mimi aisee mwanaume mlokole simtaki.
Watu wanamtukuza mchungaji kama Mungu wao. Halafu wachungaji wenyewe aina ya kiboko ya wachawi na wale wengine wapuuzi..!!

Muda mwingi wanautumia kushinda kanisani na kwa mchungaji kuliko muda wa kutafuta pesa na kuangalia familia zao..!!
Sure!
 
😁😁 Nilikuwa natizama YouTube channel nikaona mambo anayo yafanya zumaridi Aisee ule ni zaidi ya uchizi
 
1. Mamako kushindwa kukaa na marehemu babako, si tabia ya kila mwanamke wa kitanzania
-mamako alirukwa na akili unataka uwajumuishe na mama wa kitanzania kwa sababu ya ujinga wa mamako.

2. Watu wameoa wakristo walokole na maisha yanaenda safi sana.

3. Mamako alikuwa na shetani binafsi na kiburi binafsi.
 
Walokole hasa wa makanisa ya mabati/majamvi au yaliyokuwa hivyo hamna kitu,bora mpagani.
Kuna dogo anaishi na mke wake kwenye kiwanja changu ananilindia. Sasa kuna kifaa nilihifadhi kwa huyo dogo nikawa nakihitaji nikafanyie kazi.

Nikamcheki dogo kwenye simu ili aniletee mahali nilipo, akasema hayupo nyumbani na mke wake simu yake imeharibika, hivyo ikabidi niende nyumbani kwake. Kufika hapo kwa dogo nikakuta wanasali (walokole kama 10 hivi)ile kijumuiya nadhani ilikuwa asubuhi. Nikapiga mahesabu kusubiri mpaka wamalize kusali nitakuwa nimechelewa kazi yangu. Nikanyata mdogo mdogo mpaka wanaposali nikakatisha ibada nikasema samahani kwa usumbufu za asubuhi, hakuna alieitikia, waliniangalia kwa hasira na dharahu, miguuni nilikuwa na vumbi. Basi mke wa dogo akawa ameniona nikamwambia anipe kifaa.

Nakiri kukosea kwa kukatisha ibada lakini kwa watu wa Mungu kweli walitakiwa wanisikilIze kwanza bila kuonyesha hasira na dharau maana pengine nilikuwa nahitaji msaada mkubwa kwao,pengine kuna ajali nahitaji msaada.
So wanaishi kwenye kiwanja chako halafu wana kuletea drama !? Au Mimi ndio sijaelewa!?
 
Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!

Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia. Guess what? Mama aliuza nyumba na kiwanja, pesa zote kapeleka kwa mchungaji(Moses Kulola).

Baada ya hapo tuliishi maisha ya shida sana, taabu mno! Huku akitujaza sumu kwamba baba katutelekeza, baba ni mbaya, baba hamjui yesu, anavuta sigara na mengine mengi!

Mungu si Athumani tumekua tukamtafuta baba(kwa sasa ni marehemu).

Sasa tunauona moto alioukimbia baba!

Nilijiapiza kutokuoa mwanamke mlokole, hata wife siku akirenda tu kwenye makanisa ya kilokole, it is over!

Nawasihi sana vijana wenzangu, usithubutu kuoa mlokole!

USISEME HUKUAMBIWA
Ulichokiongea kina ukweli asilimia 100, dada yangu aliacha kazi eti kisa boss wake kamkataza kwenda kwenye maombi Tena ya kila siku.

Yaani afunge kazi Kila siku saa 8 anakwenda kanisani wewe ungeweza. Na kwa sasa maisha yamempiga Ila nakuombea kwa Mungu arudi kwenye mstari wa maisha
 
So wanaishi kwenye kiwanja chako halafu wana kuletea drama !? Au Mimi ndio sijaelewa!?
Anaeishi ni dogo mmoja na mke wake . Mke wake ndie mlokole.Nadhani wana ile kusali kwa zamu kuzunguka kwa kila nyumba, na ile siku ilikuwa zamu ya kwenye mji wangu anaokaa huyo dogo.Kwa ile siku aliekuwa anajua pale ni kwangu ni yule mke tu wa dogo.
 
Back
Top Bottom