Joe Milla
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,613
- 2,882
Shida ndo hiyo sasa, watu wa dini mnachagua maneno ya Mungu yakuyafata na yapi yakuyaacha wakati yote ni Maneno ya Mungu hutakiwi kuyaacha hata moja. Kusema ilikuwa kwa wakati huo inamaanisha hilo neno limepitwa na wakati haliwezi kufatwa kwa kwenye dunia ya sasa.hakuna ushahidi wa hilo jambo kutokea. Usimwamini mleta mada kwa haraka hivyo. Hata hivyo Biblia haifundishi mtu auze kiwanja/ nyumba yake na pesa apeleke kwa mchungaji wake. Mtu yeyote aliyeokoka huwa ana akili njema maana KUMCHA Mungu ni chanzo cha MAARIFA.
kuna visa vya watu kuuza Mali zao na kuleta fedha miguuni pa mitume. Kipindi Kanisa linaanza, wakati wa MATENDO ya mitume, unakumbuka kisa cha Anania na Safira? (hii ni wakati ule, sio sasa)