Walokole wengi wana magonjwa ya afya ya akili?

Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!

Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia. Guess what? Mama aliuza nyumba na kiwanja, pesa zote kapeleka kwa mchungaji(Moses Kulola).

Baada ya hapo tuliishi maisha ya shida sana, taabu mno! Huku akitujaza sumu kwamba baba katutelekeza, baba ni mbaya, baba hamjui yesu, anavuta sigara na mengine mengi!

Mungu si Athumani tumekua tukamtafuta baba(kwa sasa ni marehemu).

Sasa tunauona moto alioukimbia baba!

Nilijiapiza kutokuoa mwanamke mlokole, hata wife siku akirenda tu kwenye makanisa ya kilokole, it is over!

Nawasihi sana vijana wenzangu, usithubutu kuoa mlokole!

USISEME HUKUAMBIWA

Ingawa Mimi pia nimeokoka lakini hoja yako ina mashiko kwa sababu ni hali halisi iliyopo kwenye jamii.
Shida sio kuokoka. Shida ipo hapa:
1. Umeokokea wapi(Madhabahu ya kishetani au ya Ki-Mungu,sio kila anayejiita mtumishi wa Mungu ni mtumishi wa Mungu. Sio kila linalojiita Kanisa ni Kanisa,mengine ni mabehewa ya kuvuruga Nafsi za watu na kuzisafirisha kuzimu kwa njia za siri)

2. Mafundisho baada ya kuokoka.
Mtu alivyo ni kwa alacho. Kuna Makanisa yana mafundisho ya kishetani yenye agenda ya Kuua na kuangamiza Nafsi za watu na ustawi wa maisha yao.

Haya mawili yachunguzwe Kwanza kabla ya kuwachunguza waumini.
 
Na wanaoathirika zaidi ni wanawake
Mama yangu ni wiki ya pili yuko kwa suguye anaumwa miguu eti ameenda akaombewe nimemkanya nimechoka.
Anasubiri apeane mkono wakati mwingine ukiwaza sana unaweza walaumu ccm lakini watanzania wengi hawajitambui
 
Hahahaha, ila bado lawama hawakwepi maana nahisi wao ndio wamefanya Hivi watu kuwa wajinga na tegemezi
 
Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!

Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia. Guess what? Mama aliuza nyumba na kiwanja, pesa zote kapeleka kwa mchungaji(Moses Kulola).

Baada ya hapo tuliishi maisha ya shida sana, taabu mno! Huku akitujaza sumu kwamba baba katutelekeza, baba ni mbaya, baba hamjui yesu, anavuta sigara na mengine mengi!

Mungu si Athumani tumekua tukamtafuta baba(kwa sasa ni marehemu).

Sasa tunauona moto alioukimbia baba!

Nilijiapiza kutokuoa mwanamke mlokole, hata wife siku akirenda tu kwenye makanisa ya kilokole, it is over!

Nawasihi sana vijana wenzangu, usithubutu kuoa mlokole!

USISEME HUKUAMBIWA
Kwenye medical term inaitwa "religious pychosis" or "spiritual psychosis" - mtu akifikia hatua hiyo anakua mgonjwa wa akili na inabidi apate msaada wa kitabibu (Psychological interventions ).

Bahati mbaya watu wengi hawalifahamu hili 😪 na familia nyingi wamekua wahanga.
Poleni sana na asante kwa kutukumbusha kuwa makini na jambo hili.
 
Hapo shida sio mama bali ni baba, kwa nini alikimbia mji? Pia baba alikuwa si mpambanaji ndo maana akatawaliwa na mkewe. Mama ni maamuzi yake kuuza au kununua kitu kwa sababu ametafuta mwenyewe, we tafuta vyakwako mkuu na utoke hapo nyumbani usije ukajaza mimba mabeki tatu.
 
Wewe kilichokuumiza ni matendo ya mama yako na mchungaji aliyemshawishi, ulichoeleza haiwezi kuwa tabia ya walokole wote.
 
Back
Top Bottom