Walokole wengi wana magonjwa ya afya ya akili?

Walokole wengi wana magonjwa ya afya ya akili?

Mlokole hawezi fanya hvyo, na pastor alopokea hiyo pesa hakufanya sahihi,(Kilokole)
Vijipastor vilivyoshindwa maisha na kuamua kujificha kwenye kivuli cha ulokole vinaleta taswira mbaya kwa jamii.

Huo ni ufyatu wa akili ya huyo mama na bangi alizovuta ujanani sio tafsiri ya ulokole.
FAMILIA NI PRIORITY YA KWANZA KWENYE ULOKOLE.

 
So kipi kinaanza,
1) Anaanza kuwa na shida ya afya ya akili ndio inampelekea kuokoka? Au

2) Anaokoka halafu shida ya afya ya akili inakuja?

Nisaidie mkuu kuna kautafiti nakafanya
Hili jambo nililijadili last week kichwani mwangu.
Kwamba wanavurugwa ndipo wanaenda kuokoka au wanavurugwa huko huko makanisani?
Mimi pia ni mlokole lakini najitambua
 
Ni kweli si sahihi kusema kila mtu wa dini fulani ni mbaya. Lakini pia si sahihi kumhukumu kila asiyeamini kama “kipofu” bila kusikiliza hoja zake.

Biblia yenyewe inasema: “Msihukumu, msije mkahukumiwa.” (Mathayo 7:1)

Pia inasema , “Jaribuni mambo yote; lishikeni lililo jema.” (1 Wathesalonike 5:21)

Kuhusu Yesu kushuka na hukumu, hata Biblia inasema kuna mambo ambayo watu hawajui kwa hakika:
“Lakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika wa mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.” (Mathayo 24:36)

Kwa hiyo jambo la msingi si kuwashambulia wengine, bali kila mmoja aonyeshe ukweli kwa tabia, haki na ushahidi.

Yesu alisema: “Kwa matunda yao mtawatambua.” (Mathayo 7:16)

Hivyo tusipime watu kwa chuki, tupime kwa ukweli na matendo.
hapana mie sihukumu ? wala ila uhalisia wanamuabudu shetani au wapo kifungoni
Lakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika wa mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.” (Mathayo 24:36) ....saa gani ? saa ya kushuka toka angani au the last day ?
 
1 wakorintho 1:
18 Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.

19 Kwa kuwa imeandikwa, Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, Na akili zao wenye akili nitazikataa.

20 Yu wapi mwenye hekima? Yu wapi mwandishi? Yu wapi mlete hoja wa zamani hizi? Je! Mungu hakuifanya hekima ya dunia kuwa ni upumbavu?

21 Kwa maana katika hekima ya Mungu, dunia isipopata kumjua Mungu kwa hekima yake, Mungu alipenda kuwaokoa waaminio kwa upuuzi wa lile neno linalohubiriwa.

26 Maana, ndugu zangu, angalieni mwito wenu, ya kwamba si wengi wenye hekima ya mwilini, si wengi wenye nguvu, si wengi wenye cheo walioitwa;

27 bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu;

28 tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko;

29 mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.
 
So kipi kinaanza,
1) Anaanza kuwa na shida ya afya ya akili ndio inampelekea kuokoka? Au

2) Anaokoka halafu shida ya afya ya akili inakuja?

Nisaidie mkuu kuna kautafiti nakafanya
Inategemea mkuu

Karibu 80% ya walokole ni watu waliookoka kwasababu wanapitia changamoto kubwa ambazo upeo wao wa kupambana umefika kikomo ndio wanakimbilia kwenye MIUJIZA kutatua matatizo yao

Kwa msingi huo maana yake wanaingia huko tayari wakiwa na stress za kufa mtu
Na wakifika huko changamoto zao haziishi badala yake wanaanza kuaminishwa ujinga na kuanza kuishi kwenye ulimwengu wa KUFIKIRIKA na ndio wanachanganyikiwa kabisaaa
 
Usiombe mkeo mlokole aubiriwe kuhusu Sadaka ya kujilipua halafu hubiri likamuingia.
Hii sadaka hii...sijawai kuielewa kabisa, kwanza tu inaitwa" kujimaliza"...yani ndio unajifunga kiroho kwa kauli tu eti kujimaliza!
Na wasivo na huruma wanataka mtu atoe hata nauli ya kurudia home, asiache senti mfukoni....pastor hapo v8 inamsubiri nje.
 
Inategemea mkuu

Karibu 80% ya walokole ni watu waliookoka kwasababu wanapitia changamoto kubwa ambazo upeo wao wa kupambana umefika kikomo ndio wanakimbilia kwenye MIUJIZA kutatua matatizo yao

Kwa msingi huo maana yake wanaingia huko tayari wakiwa na stress za kufa mtu
Na wakifika huko changamoto zao haziishi badala yake wanaanza kuaminishwa ujinga na kuanza kuishi kwenye ulimwengu wa KUFIKIRIKA na ndio wanachanganyikiwa kabisaaa
Kweli mkuu Asante kwa maelekezo mazuri. Kuna jambo haliko sawa. Mimi nampenda Yesu, but I don't identify myself as mlokole. Walokole wanakuua huku wanakuchekea, huku makazini ndio balaa. Wazee wa kujihesabia haki
 
Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!

Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia. Guess what? Mama aliuza nyumba na kiwanja, pesa zote kapeleka kwa mchungaji(Moses Kulola).

Baada ya hapo tuliishi maisha ya shida sana, taabu mno! Huku akitujaza sumu kwamba baba katutelekeza, baba ni mbaya, baba hamjui yesu, anavuta sigara na mengine mengi!

Mungu si Athumani tumekua tukamtafuta baba(kwa sasa ni marehemu).

Sasa tunauona moto alioukimbia baba!

Nilijiapiza kutokuoa mwanamke mlokole, hata wife siku akirenda tu kwenye makanisa ya kilokole, it is over!

Nawasihi sana vijana wenzangu, usithubutu kuoa mlokole!

USISEME HUKUAMBIWA
Nilipanda bajaj moja na waumini wa Gwajima walikuwa wanaenda kwenye mkesha. Aisee niliona mama mmoja katoa simu yake juu ya screen kamsevu Gwaji boy na mkononi anapete ya ndoa kabisa. Ikabidi niulize kwa heshima kwamba vipi mzee leo hatohudhulia mkesha akasema yeye atakuja baadae yuko kwenye majukumu ya kazi. Kwa ile picha ya Gwaji boy nikajua kabisa huyu mama anampenda sana mchungaji wake kuliko mume wake na ukicheck kabeba mafurushi kibao kupeleka kanisani. Mda mwingine Dini ni nusu ya uchizi!
 
Back
Top Bottom