Waliobadilisha Maisha yangu....

Waliobadilisha Maisha yangu....

Hehehe, ama kweli mtalaka hatongozwi.
Dedikesheni: ya kariakoo wayataka weye, ya mikindani wayatafuta wewe, utazua baa kizee wewe. . . .
Sijui kauimba nani. BAK best wa mabestee, tafadhali fanya mambo.
Na asante kwa kuyabadiliaha maisha yangu pia (namaanisha tafadhali)

halafu kwa nini ulijificha siku ile pale brajec?
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha.

Unanikumbusha ule wimbo wa

rudi eee duri eee
rudi mama watotooo
umetoroka nyumbani bila taarifa yeyote mamaaaa

kama nilikukosea unihurumie mpenziee
kama nilikukosea naomba msamaha

Hehehe, ama kweli mtalaka hatongozwi.
Dedikesheni: ya kariakoo wayataka weye, ya mikindani wayatafuta wewe, utazua baa kizee wewe. . . .
Sijui kauimba nani. BAK best wa mabestee, tafadhali fanya mambo.
Na asante kwa kuyabadiliaha maisha yangu pia (namaanisha tafadhali)
 
Last edited by a moderator:
Najua MODS wanaweza kudhani hii ni Chit Chat..lakini naomba wasiipeleke huko kabisa kwa sababu hii ni KWELI kabisa...na members wenzangu nilikuwa naomba kwa moyo wa Kitanzania kila mtu atambue watu wake sita ambao kupitia THREADS au POSTS zao WAMEBADILISHA au WAMEONGEZA KITU katika ufahamu wake wa jinsi ya kukabiliana na MAHUSIANO au URAFIKI in 2012... Binafsi nashukuru baadhi ya watu kupitia PM au hapa Jamvini wamekiri kuridhishwa na SHAURI zangu....LAKINI mganga HAJIGANGI na mimi pia ninao watu sita ambao KIUKWELI wamenisaidia sana KUIMARISHA NDOA yangu...OMBI langu kupitia HUU UZI naomba kila mmoja awatambue watu wake SITA ambao KUPITIA SHAURI/POSTS/THREADS zao basi basi mambo yao yamebadilishwa na kama sio kuboreshwa kabisa....Wa kwangu Mie ni hawa:

1 Mtambuzi
2 gfsonwin
3 snowhite
4. The Boss
5. Dark City
6. Father of All

N:B Naomba tuwe Serious Jamani ili tuwaenzi wale waliotusaida..hii itasaidia watu kutoa mawaidha na kuacha utoto..



Asante sana SnowBall....
I am so humbled......

hata mimi wapo watu weengi humu wananifunza jambo jipya kila siku
nina apreciate uwepo wa watu hao humu,including you..
thanx a lot
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu nilikuwa namuogopa. Afu si ulisema nisije, ulitaka unizodoe mbele ya Mtambuzi akanicharaze home eeh?

Siku ile nilimpga ban Mtambuzi. Si umeona yupo kimya? Neksiti taim meki shua unakuja.
 
Last edited by a moderator:
Humbled bro, Thanks.
Jf kwa ujumla wa thread zake zote, hususan jukwaa la MMU tangia 2007 na wachangiaji wake wote.....nikiwataja wote patakuwa hapatoshi, ila wanaonigusa directly ni pamoja na...

Soulmate aka MwanajamiiOne, mama wa "nalivua pendo", BelindaJacob mama wa "ameuteka moyo wangu", Nyamayao, King'asti, AshaDii, Lizzy, WomanOfSubstance, na wengineo wengi wengi kina LD Maty, etc etc...

Kina baba na kina kaka kama vile mkongwe Asprin ...huyu mzee wa "ulikuwa wapi siku zote"... 😉 klorokwini The Finest, The Boss, swahiba Dark City, EMT, Tuko, kamanda wangu MTM, Eiyer mwenyewe na wengi wengineo.

Big up & Much Respect!


Much respect
i am so humbled
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
waliobadilisha maisha yangu!naruhusiwa kutaja zaidi ya sita naamini!
- @gfsnowin sina la kusem jinsi unavoniboost maujuzi
- The Boss need i say more?
- SnowBall napenda jinsi ulivyo mkweli kwa yale yanayopita kichwani kwa wanaume,unatusaidia sana kujua mnawaza nini
- FP napenda jinsi ulivyo na ushauri wa kidada mkubwa hasa
- Kaunga to be frank unanipa raha sana na aina ya thread unazoanzisha humu
- Dark City u really remind me of my father napenda aina yako ya kufikiri
- Mtambuzi i see ,wewe ni zaidi ya mwalimu kwa post zako
- watu8 na Boflo u guys mnafanya nizidi kuiona jf ni nyumbani!
jamani listi ako ndefu sana ila kiukweli nikiangalia mi kila member humu ana nafasi ya kunifanya niyatambue maisha kwa namna yake,mfano mtu kama Mkumbavana na Wiyelele hawa huwa wanifanya nimshukuru sana Mungu kwa aina ya mume aliyenizawadia!see so pacha wangu SnowBall list ya wanaobadilisha maisha yetu humu inabidi iwe kubwa sana since JF NI DARASA LA KILA KITU I SEE!


Nakutajia wako uliowasahau lol
1.horsepower
2.Fp..
...........endelea lol
 
Ulimwengu wa "keyboard" - many thanks to the "father_of_world_wide_web"...!
 
1. AshaDii dada wa maushauri kila nisomapo post zako najifunza kitu hongera sana
2. Lizzy japokuwa amepotea jamvini thread zake zilikuwa zinanikosha
3. afrodenzi amenisaidia sana kwenye ushauri nje ya key board
4. The Boss- big five
5. BAK amechangia zaidi kuendelea kupenda music mara nyingi kwa kusikiliza mziki imenipunguzia mawazo
6. gfsonwin uvumulivu wako nimejifunza mengi kupitia story yako imechangia kumsaidia mtu aliye nje ya JF
7. snowhite mwalimu wa walimu big up
8. na member wote kila moja kwa nafasi yake amechangia kunichekesha/kufurahi kujifunza hapa JF

JF daima


I am humbled
karibu saana..
you are far too kind..
 
Nakutajia wako uliowasahau lol
1.horsepower
2.Fp..
...........endelea lol
FP nimemtaja yule tena si unajua ni dada mkubwa ananikoromeaga siku nyingine!napenda mtu akiwa na guts za kuniscold kama we unavonichenjia siku moja moja!typical kaka na dada zangu lol! HorsePower pia ni miongoni mwao ,ndo mana nikamwambia pacha wangu afanye idadi isiwepo tutaje tu!ila kwa umakini!
 
Kwanza kabisa mnisamehe kwa list ndeefu, for kwa kweli nawasiliana na wengi na wengi wanigusa.

SnowBall (ujue nilikuwa nikikuchanganya sana na snowhite) Kama kawa siwezagi kuandika post fupi… Lol! Wanaonifaham nadhani wameshazoea hali hii… Hii imekuja wakati muafaka, tukiwa tunafunga mwaka. Much appreciation to you.

Kwa wale woote walio ni acknowledge na wanao ni kubali bila hata wao kuweza niorodhesha humu… Nasema "I am really humbled" na Pamoja sana with Love.

Inaweza ikawa kama mzaha, ila kwangu ukweli ni kuwa nina members zaidi ya 100 ambao na acknowledge kunigusa kwa namna moja ama nyingine. Nikiri kuwa Kuna wale ambao wamenibadilisha maisha yangu directly or indirectly. Ni wazi kuwa watu watofautiana katika ‘impact' na intensity ya ubadilisho huo. Ila ukweli unabadiki kuwa ni members wengi mno ambao wananigusa JF.

Na naamini bado kuna members nimesahau kikubwa niya yangu ya acknowledgement in heartfelt. Na namshukuru Mungu kwa kunijaalia kumbu kumbu, kila mmoja ya nilie mtaja naweza kabisa kumbuka ni kwa namna gani alini/anani impress na ni lini ilikuwa mara ya kwanza na kwa nini namkubali; from the simple reason kuwa na appreciate uwepo wa wote wale ambao twakutana hapa jamvini. Na sababu jamvi ni kubwa… Hata list ni kubwa pia.

Kuna wale ambao SIWEZI kwa namna yoyote ile kuwasahau kwa kunipokea vema jamvini wakati mgeni kabisa na sijui pa kuanzia nao ni; Tall, Rutashubanyuma, The Finest, The Boss, Michelle, Gaga na BAK.

Waliokuwa na Direct impact kwangu
kwa kupitia JF ni Maxence Melo, Roulette, Kaizer , King'asti.


Kuna mods ambao wamekuwa msaada mkubwa sana kwangu katika kuweka wepesi wa maisha yangu hapa JF kama vile mkuu wao Invisible, Roulette (alter wangu), Paw (my good friend), Cookie, Mike McKee, X-PASTER na I like PainKillers style pamoja na wale ambao sijataja labda sababu siwajui vema kama nilio acknowledge.

Kuna wale wanaingia katika kundi la tukutanao mara kwa mara, mara discussions (hasa private) yahusuyo mambo katika jamii yetu iwe social ama political issues, most katika hawa ni list of my JF buddies thou among a few kama BelindaJacob, EMT, Azimiojipya, PakaJimmy, jouneGwalu, Steve Dii, Eqlypz, sherifApraio, Kivumah, 3D. , Ndahani, SHERRIF ARPAIO, Madabwada, WomanOfSubstance,

Kuna kundi la MMU…. Hawa I always consider my family
(sina maana wengine sio… Lol); Ila hili kundi likija MMU linajulikana kama wana MMU, as much as sio wazamani kivile BUT still I can say with confidence kuwa they are more MMU than any other group that can be acknowledged hivo. Hawa watu in a way wamechangia sana kwa mimi falling in Love with JF, for hapa JF – MMU is my home.

MwanajamiiOne, afrodenzi, Maty, Lizzy, Chauro, Gaga, Michelle, Nyamayao, BlackBerry, Mwali, Maty, Smile, FirstLady1, WiseLady, Mayasa, Blaki Womani, Preta, Kipipi, Elizabeth Dominic, nyumba kubwa, MziziMkavu, gfsonwin, Mwa J, Husninyo, DaMie, @Cheusimangala, Darlingtone, Zion Daughter, Kongosho, Cantalisia, Dena Amsi, CUTE, MAMMAMIA, Sinzinga, platozoom, FP , Mamndenyi, BADILI TABIA, LD , Kipipi, Kabakabana, Kaunga, Keren_Happuch, Nemo, JS , obsesd, bht, Tulizo, Teamo, Asprin, TIMING , queenkami, hashycool, klorokwini , @Uporoto1, Kimey, RR , Nyani Ngabu, Eiyer, Mentor, @Excellent Dark City, Bishanga, Mtambuzi, Mbu, fidel81, Bigirita, Mr Rocky, Dreamliner, Mwita Maranya, Vin Diesel, Baba_Enock, Elia, figganigga, @Ulimkafu, PetCash, Pdidy, M'Jr, fazaa, Maundumla, ndetichia, Saint Ivuga, Rejao, Superman, OlesAIDIM , Speaker, Manumbu, Kimbweka, KakaKiiza, Manyanza, HorsePower, ndyoko,

Kuna watu hata siwasiliani nao… Nawasoma sana tu, na mara nyingi yale ambayo wanaandika ni msingi kwangu na hujifungua/kunijenga na kunikomaza ama tu kunipa angle nyingine ya mtazamo, hasa katika yaliyo msingi kama Nguruvi3, Zitto, Mkandara, Mchambuzi, Sikonge (nae akiamua), MzeeMwanakijiji , JingalaFalsafa, zomba, Jasusi, pascal, Kiranga, Ngongo (hapa na pale), jmushi1, Zakumi, Nsiande, Kiranga, Companero, Father of All, Shark, Molemo, Mag3

Kuna watu ambao ni mchanganyiko… Siwasiliani nao mara kwa mara, but hao watu acknowledgement na heshima kati yetu ipo hapo; iwe tukiwasiliana jamvini, kwa kupigiana simu, kwa consulting hapa na palem - iwe kwa pm ama namna yoyote ile...

Arushaone, Ritz, mohamed Shossi , zumbemkuu, mohamed Mtoi, Matola, zumbemkuu, Taz, daughter, consingliere, mitishamba, Apollo, Bishop Hiluka, Okya, Young Master, Purple, kilimasera, Ab-Titchaz, Meezy, Askari Kanzu, SMU vivian, charminglady, AMINATA 9, JAMmif Mkuu wa chuo, Tuko, bacha, director1, @C6, Mrembo by Nature, Twande, Maganga Mkweli, Leonard Robert, Raia Fulani, Lokissa, Golden Mpoleeee, Bujibuji, Memo neggirl, Gaijin, Erickb52, Yummy, Nazjaz, Madame B, MadameX, MKATA KIU, moto2012, MZIMU, Nicas Mtei, Zinduna, sakapal, Katavi, Boflo, JB WISER, Globu, SALOK, Albina, bucho, njiwa, Ritz, kokuTUNA, Straddler, sun wu, BE IN U (Nipo so disappointed you never came back). Judgement, @Merrita, Ambitious, Mkirua, Mphamvu, paulss, Gezus, NDINDA, Paxman, Matola, Amyner, The Priest Mpatanishi e.t.c

Kuna watu ambao uwepo wao natambua ingawa hatuna ukaribu na wengine ni wapya kabisa kama TIQO, Ciello, kingkong, cacico, engmtolera, Ndallo Natalia, Erotica, LARA1, Concious, Natalia, TEMPOLALE, Ruttashobolwa, watu8, Blaine, jamiif, Mr. President Baba V, Nzi, MANI, flora msoffe, Ye Soya e.t.c.

Katika hiyo list hapo juu… Kuna members I Love, Kuna members I respect, wale ambao I adore, wale ambao genuinely wanafurahisha na kuchekesha na kufanya siku blue zi bloom iwe kwa kushiriki ama kuwasoma, kuna wale bado nawasoma, kuna wale I enjoy discussing with. Hayo yakiwa machache ya mengi ambayo Napata hapa. Na hizo ni baadhi ya sababu I really appreciate kuwa JF Member...

Pamoja Saana with Love,

AshaDii.


P.S:- Ngabu
mbona unaniwekea kiwingu cha kuitwa genious?:becky: (Lol!
 
Last edited by a moderator:
AshaDii again.... loh!
yaani nimetajwa mara 2, hahahahaha, leo ntaota ndoto nzuri sana aisee!
halafu kila AshaDii akinitaja humu siku inayofuata napataga dili za maana tu yaani umebarikiwa mamawee sioni wa kukufananisha nae hapa JF.
 
AshaDii again.... loh!
yaani nimetajwa mara 2, hahahahaha, leo ntaota ndoto nzuri sana aisee!
halafu kila AshaDii akinitaja humu siku inayofuata napataga dili za maana tu yaani umebarikiwa mamawee sioni wa kukufananisha nae hapa JF.


Hahaha! Zumbemkuu mbona sasa hatugawani? (I kid) Lol. Kila la kheri mkuu, kumbe nitakuwa nakutaja taja mambo yanyoke moja kwa moja. Naamini kabisa kuwa ni mzima wa afya.
 
Back
Top Bottom