Waliobadilisha Maisha yangu....

Waliobadilisha Maisha yangu....

Na hii mida hii...
Naona mbingu zikimshukia Asprin...ila upside down!
Bwana akasema,

Ungekuwa na imani ndogo kiasi cha chembe ya haradali, ungeuambia mlima huu ung'oke ukaote baharini.... Na hakika ungekutii.

Lakini nikifananishe na nini kizazi hiki?

Kwa maana Yohana amekuja hali wala hanywi mkasema tazama yu ana pepo, lakini mwana wa Adamu amekuja akila na kunywa mkasema tazama huyu, mlafi tena mlevi; rafiki yake watoza ushuru!!

Nikifananishe na nini kizazi hiki???
 
1. AshaDii ++++ the genius female
2. Kiranga
3. The Boss
4. Nicholas
5. Invisible
6. gfsonwin
7. Mwanakijiji
8. Maxence Melo
9. Boflo.....funny man
10. Lara 1.....mtambo
 
Bwana akasema,

Ungekuwa na imani ndogo kiasi cha chembe ya haradali, ungeuambia mlima huu ung'oke ukaote baharini.... Na hakika ungekutii.

Lakini nikifananishe na nini kizazi hiki?

Kwa maana Yohana amekuja hali wala hanywi mkasema tazama yu ana pepo, lakini mwana wa Adamu amekuja akila na kunywa mkasema tazama huyu, mlafi tena mlevi; rafiki yake watoza ushuru!!

Nikifananishe na nini kizazi hiki???

Posted Yesterday 23:40.......
 
Back
Top Bottom