Waliobadilisha Maisha yangu....

Waliobadilisha Maisha yangu....

Hahaha! Zumbemkuu mbona sasa hatugawani? (I kid) Lol. Kila la kheri mkuu, kumbe nitakuwa nakutaja taja mambo yanyoke moja kwa moja. Naamini kabisa kuwa ni mzima wa afya.
mie mzima wa afya aisee, nilikuwa namalizia ku'design ka'residential so nkasena nichungulie JF nilale ndo nakutana na baraka zako! to be honest wewe ni mtu pekee JF unayenibadilisha kutoka maisha ya u'radical kuwa social zaidi, stay blessed sister. nimem'miss sana na FF, sijui kapotelea wapi.
 
Nyoote humu jamvini mmenigusa kwa namna moja ama nyingine. Na nashukuru sana kwa hilo. Shukran za pekee zimwendee AshaDii.
WanaJF wote.....Mbarikiwe
 
mie mzima wa afya aisee, nilikuwa namalizia ku'design ka'residential so nkasena nichungulie JF nilale ndo nakutana na baraka zako! to be honest wewe ni mtu pekee JF unayenibadilisha kutoka maisha ya u'radical kuwa social zaidi, stay blessed sister. nimem'miss sana na FF, sijui kapotelea wapi.

I miss FF too... Yaani ile vibaya mno! Zumbemkuu I am humbled kuwa in one way or another pia ninaweza kukufanya ubadilike for the better. Shukrani kaka... Pamoja sana na kila la kheri hiyo kesho.

Nikutakie usiku mwema.
 
AshaDii, umeandika ukweli kabisa. Huwa nakuona mara nyingi na kukusoma ingawa shida inakuja kuwa unachoandika mara nyingi nakuwa nakubaliana nacho na hivyo kubaki NEUTRAL. Utaongeza nini kwa jambo lililoandikwa vema?

Cha muhimu ni kuendelea kuishi pamoja katika dunia yetu hii ya JF bila kujali Jinsia, Dini, Rangi, Kabila, uwezo wa kifedha etc.
Kuna watu hata siwasiliani nao… Nawasoma sana tu, na mara nyingi yale ambayo wanaandika ni msingi kwangu na hujifungua/kunijenga na kunikomaza ama tu kunipa angle nyingine ya mtazamo, hasa katika yaliyo msingi kama Nguruvi3, Zitto, Mkandara, Mchambuzi, Sikonge (nae akiamua), MzeeMwanakijiji , JingalaFalsafa, zomba, Jasusi, pascal, Kiranga, Ngongo (hapa na pale), jmushi1, Zakumi, Nsiande, Kiranga, Companero, Father of All, Shark, Molemo, Mag3

P.S:- Ngabu
mbona unaniwekea kiwingu cha kuitwa genious?:becky: (Lol!
 
Hahaha. Ama
bwana nipe pesa
watoto wana njaa
na mimi mke wako
nimechoka kutangatanga
hata majirani
wamechoka kuniona
nao husema fungeni mulango she is comingiiiii (msisitizo tu)
ha ha ha.

Unanikumbusha ule wimbo wa

rudi eee duri eee
rudi mama watotooo
umetoroka nyumbani bila taarifa yeyote mamaaaa

kama nilikukosea unihurumie mpenziee
kama nilikukosea naomba msamaha
 
[U said:
SnowBall;[/U]N:B Naomba tuwe Serious Jamani ili tuwaenzi wale waliotusaida..hii itasaidia watu kutoa mawaidha na kuacha utoto..[/QUOTE]

Nakushukuru sana kwa kujua ni nini faida ya kuwa katika jamvi hili na kuonesha kujali michango ya wenzetu ambayo kwa njia moja au nyingine imetutoa katika hatua moja hadi kufika 100 zaidi. Ila kikubwa zaidi nimependa pia ushauri huo ulioutoa. UDUMU KATIKA JF.
 
mimi niwashukuru wote kwan kwan niripatwa na tatizo la mahusiano nikamsimulia dada yang yeye akanishaur pia akasema wacha pia awaulize mabest zake wa jf kwa wakat huo sikujua inahusiana na nin ila alikuwa akinisomea mulichochangia kuhusu yule bint aliyetaka kunipoteza.mung awabaraki kwan ushaur wenu umenipa nguv upya
 
Thank you dada yangu AshaDii...I will always be there for you until death takes us apart.
 
Last edited by a moderator:
Ntakuwa mchoyo wa fadhila kwanza nisipomshukuru
1 invisible kwa kuniwezesha kufika jukwaa letu lile
2 chama
3 zomba
4 ritz
Hawa watatu wa mwisho wamenigusa kwa mamna moja ama
nyingine ujumbe kwao ukombozi umekaribia
 
Sasa hizi ni dalili za wazi kwamba kesho Dili langu la pesa wala halina kipingamizi, ukitajwa maana yake someone cares about you. Thanks AshaDii na ndugu yangu mwingine aliyenitaja, viroba vimeshakolea saa hizi jina limenitoka.

Ila nitakuwa mchoyo wa fadhila bila kumkumbuka Jason bourne mzee wa fix a.k.a Willy Gamba, huyu anaongoza kwa kupiga watu kamba hapa JF.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu AshaDii,
Thanks for your acknowledgements, mawazo na ushauri wako jukwaani ni tiba tosha kwa mahusiano ukizingatia kuwa ukarabati ni aspect muhimu sana katika nyanja hiyo. Mkuu SnowBall umeleta kitu kizuri sana ....Kwa kuhofia kusahau kutaja wengine na kwakuwa kausingizi kameanza kujongea nawashukuru JF wote Particularly MMU kwa michango yenu inayotufanya tuendelee kuiona JF kama klinic ya mahusiano yetu....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom