sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,321
- 4,767
Wakuu msaada kwenye tuta wale wenye exposure zao mnajua haya mambo yanavyoenda ebu nipeni madini napataje mchumba wa kizungu kupitia apps maana nimedownliad hizo app naona kila kitu ni complicated. Wazungu hawanizingatii na mimi ndio target yangu wanajitokeza wabongo ambao najua mwisho wake ni vizinga . Alafu kingine wazungu siwezi watumia message natakiwa nilipie hata likes zangu kuziona natakiwa nilipie yani very complicated. Suggestion zimejaa wabantu tupu yani kina boke, koku, aika, somoe
Wataalam nipeni madini natoboaje bila kuingia gharama za premium membership maana ni expensive au apps zip naweza pata access zote for free?
Mie nataka sana wazungu wa Scandinavian niondoke kabisa bongo au kama ni wa hapa wawe wa masaki wale corporate sio volunteers.
Wazungu wazuri
Wazungu wazungukeni
Wazungu wana rizki
Acha nijiweke kwa wazungu tubadilishe rangi ya kalio tutengeeze generation ya neema.