Kuna watu hata siwasiliani nao… Nawasoma sana tu, na mara nyingi yale ambayo wanaandika ni msingi kwangu na hujifungua/kunijenga na kunikomaza ama tu kunipa angle nyingine ya mtazamo, hasa katika yaliyo msingi kama Nguruvi3, Zitto, Mkandara, Mchambuzi, Sikonge (nae akiamua), MzeeMwanakijiji , JingalaFalsafa, zomba, Jasusi, pascal, Kiranga, Ngongo (hapa na pale), jmushi1, Zakumi, Nsiande, Kiranga, Companero, Father of All, Shark, Molemo, Mag3!
As I was explaining to my high school class in the mid nineties, after delivering an impromptu presentation on cosmogony and the big bang theory (which flabbergasted not only the entire class, but also the social studies teach who found it more than he could chew) it's not so much that Kiranga is extra smart as it is that sometimes we abandon scholarship to the extent that even an average kid from a non-privileged background who managed to burrow through the boroughs in search of the appropriate public library would look stellar just because he is repeating the classics and reading the Newsweek-like rags at British Council and USIS.
1. EMT
2. The boss
3. Nyumba Kubwa
4. gfsonwin
5. Mtambuzi ........Sijasahau mpaka leo story ya "alikuwa zaidi ya mama"
6. Mimi mwenyewe platozoom wakati mwingine najishangaa navyoandika AU Kucoment kupitia hii ID. Kupitia hii ID nimejifunza mengi sana........ nimeweza kuitumia kupata marafiki na pengine kushauriana na kukasirikiana na watu. Kifupi Mimi na Platozoom tunaishi nchi tofauti lakini tunakutana kwenye keyboard.
je huwa una mgawia hata 10% baada ya kuonekana kwamba kukutaja kwake ndio upataji dili kwako?
Mie ntakupenda siku ukiacha kusarandia nyumbani kwangu tu
Za siku? Bishanga umamficha wapi?
Kuna wale wanaingia katika kundi la tukutanao mara kwa mara, mara discussions (hasa private) yahusuyo mambo katika jamii yetu iwe social ama political issues, most katika hawa ni list of my JF buddies thou among a few kama BelindaJacob, EMT, Azimiojipya, PakaJimmy, jouneGwalu, Steve Dii, Eqlypz, sherifApraio, Kivumah, 3D. , Ndahani, SHERRIF ARPAIO, Madabwada, WomanOfSubstance,
mkuu dili la leo ntamtumia 50% hahahahahaha....je huwa una mgawia hata 10% baada ya kuonekana kwamba kukutaja kwake ndio upataji dili kwako?
Dah!!!Mimi kwakusema ukweli kwangu sina chakusema ila kama nilivyowahi kuongea hapa Mimi binafsi sikuwahi kutambua kuna dunia nyingine nyuma ya keyboard!!!Ukweli ndio huu lakini jamii inayokaa kwenye dunia iliyo nyuma ya keyboard nikubwa nainayojiamini sana!!Mimi kwa watu walionifanye nibadlike naomba niseme kuna jamii inayoishi katika dunia ya jamiiforus.com napenda kuipa pongezi za dhati ila kwa ujumla wao nawapenda wote!!Kuwataja majina nashindwa ila kwa bandiko hili nawaomba mjitambue kwa ujumla wenu kuwa nyie nizaidi yangu mimi nawakubali na kuwa heshimu sana nawaombeni mungu awabariki!!